Niliwahi kuonya kuwa maandamano kama yale ya 29/10/2024 yangepata ugumu kufanikiwa kwa sababu wanaopanga walitangaza muda mrefu na kuwapa upande wa pili muda na nafasi ya kujipanga kwa Plan A, B, C hadi D.
Nina theory moja ambayo ninayo na naendelea kuifanyia kazi inayosema kuwa baada ya vyombo...
CCM ikifanikiwa kubaki madarakani kwa uchaguzi huu wa kiinamacho ulioharibika na baada ya machufuko yaliyotokea hali ya ukandamizaji itakuwa mbaya zaidi, nchi itaingia kwenye udikteta mbaya zaidi utakaorasimishwa kwa sheria mbaya zaidi za bunge la chama kimoja. CHADEMA itafutwa rasmi, viongozi...
Kwa sasa hakuna kinachoendelea nchini, viwanja vya ndege vimefungwa, bandari imefungwa, mtaani watu biashara zimesimama, huduma za ki bank nazo zimesitishwa (kwa sasa huwezi kufanya muamala wowote iwe kwa simu au bank).
Kufika kesho maamuzi yanatakiwa yawe yamefanyika na nchi irudi kwenye...
Huyo Msafwa wa Mbeya Clemence Mwandambo nampinga kwa vingi ila katika hili ana uzito
Umasikini utakufanya utengwe hadi kanisani
Ukiwa masikini sahau kuzikwa na maaskofu utazikwa na wasaidizi.
Ukiwa masikini utatengwa na watu, ukiwasogelea wanahisi unataka kuwaomba hela.
Ukiwa masikin huna...
Ndugu zangu Watanzania,
Hali ya hamasa ya wananchi mitaani katika kushiriki uchaguzi ni kubwa sana na kiu ya watanzania ipo juu sana katika kusubiri muda uwadie ili wajitokeze na kumiminika katika vituo vya kupigia kura kumchagua Rais Samia na wagombea wote wa CCM ngazi ya ubunge na udiwani...
GT
Itakuwa story kubwa sana kesho. Wavaa suti.watajazana kusikia nini kinasemwa aha ha ha
Tutabiri kauli ya Malasusa ah ahaha mtego mtegoni. Sijalelewa kupingana na serikali.
Tangu mwanzoni mwa wiki Hi kumekuwa na shida mitandaoni
1. Kutuma pesa
2. Kupokea msg za uthibitisho
3. Miamala kuchelewa kusoma
4. Msg za kawaida kuchelewa sana kufika
5. Internet kusumbua sana nknk
Yaani ni kama vile msg kuna mahali zinapitia kwanza kisha ndio zinamfikia mlengwa!
Najiuliza tuu...
Ukweli usiopingika, Nchi hujengwa na umma wa wote
Linapotokea tishio lolote aidha la kijamii au tishio la nchi na serikali, kubwa kabisa la kutizama, Ni kupima athari za jambo hilo kwa haraka na kisha kuchukua hatua, sijawahi kukubaliana na yeyote, eti anishawishi kwamba, iko faida katika...
Tafiti za Afrobarometer zimeonesha chini ya 50% ya Waafrika Kusini wanapendelea demokrasia kuliko aina nyingine za utawala. Kwa mara ya kwanza katika kipindi cha zaidi ya miaka 25 ya tafiti nchini Afrika Kusini, idadi ya raia wanaounga mkono utawala wa kijeshi ni kubwa kuliko wale wanaoupinga...
Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na Wananchi wasiogope badala yake wajitokeze kwa wingi kutekeleza jambo hilo ambalo ni haki yao kikatiba...
Kwa walio na uwezo wa kuona mambo kwa jicho la tatu wataona Dkt. Bashiru atakuwa kiongozi mkubwa sana wa Taifa na anaweza kurejeshwa kwenye ukatibu Mkuu kiongozi au ukatibu Mkuu wa CCM. Hili ni mara ya pili nalisema juu ya Dkt Bashiru
..alidai waliomteka dada yake amewaona.
..na akadai anawajua waliowatuma.
..badala ya kuwaweka wazi yeye akaendelea na mambo yake.
..watekaji wakajipanga upya na sasa wamemteka.
..hili ni fundisho kwa sisi wengine tuliobaki.
..Si busara kutowafichua wahuni, na watekaji.
Miaka 20 iliyopita Rais mkapa alifungua mlango kwa waekezaji wa madini kule kanda ya ziwa ila kwa masikitiko makubwa mpaka leo kuna umaskini wa kutisha wakazi wa kule hawaoni faida ya madini na yale makampuni- utakua upunguani kuwapa makampuni ya kigeni gesi yetu eti hatuwezi na tutakuwa...
Ni takribani mwezi mmoja sasa maeneo mengi ya Kibaha MailiMoja kuna changamoto kubwa ya maji na majibu ya Mamlaka ya Maji yamekuwa ya kuungaunga.
Awali walitoa taarifa kuwa maji yatakoseka kwa siku chache takribani tatu hadi nne kutokana na maboresho ya mitambo yam aji, lakini ilipita wiki...
Si mitaani, si majumbani, si vijijini si kwenye mitandao, kauli ya Watanzania kwa sasa ni moja tu, Jeshi lichukue nchi na kuionyoosha.
Kauli hizi za Watanzania hazijaja bure, kauli hizi za Watanzania ni ishara ya mwisho ya kukata tamaa kwa Wananchi.
Kauli hizi za Watanzania ni uthibitisho kuwa...
Baada ya Kauli ya mzee Butiku, ambaye naamini atakuwa ametumwa na watu wa mfumo ili kumkana afande Tesha, mimi nimuombe tu mzee Warioba kuwa yeye peke yake kwa sasa ndiye akiongea kitu umma utamsikiliza, namshauri asichukue upande, asimame kama msuluhishi na ajiepushe kuuza mtaji huu muhimu...
Wametumia miaka mitatu na nusu tu kujenga na kumaliza kabisa daraja lote, kwa mwendo huu ndio maana Wachina wameridhika na utawala wa uimla wa Wakomunisti maana ni kama wanawatendea raia wao miujiza katika maendeleo.
Wakuu jf amani ya Bwana ikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake ,poleni na Tanzania pia.
Kwa mara ya kwanza nchi ya tz inaweza kwenda kwenye uchaguzi mkuu katika alert kubwa , why , na nini kipo Ikulu kisa madaraka tu ambayo huwezi zikwa nayo, baki nayo milele.
Leo wenda vijana wetu katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.