GT
Angalia hii list..haki tungekuwa na oil reserve kubwa Samia ageshanyakuliwa mapema sana na US kwa mauaji yale makubwa.
Pote penye oil reserve kubwa US kapiga hacheki na kima
Mazishi ya wasiokuwa waislam maiti huchelewa kuzikwa, sijui kwanini.
Maana inasababisha gharama kubwa na baadae wakati mwengine hutokea mitafaruku ktk familia na jamii.
Na yaona ya muasisi wa chadema.
Mazishi ya muislam hata awe mfalme, ukifa asubuhi mchana tunakupeleka ili wengine turudi...
Tunaomba mamlaka zinazohusika kutatua suala hilo mana wapo watoto wanaotegemea hilo kujisomesha na inapotokea linachelewa ndo mwanzo wa kuingia katika vitendo visivyofaa.
Pia wengine vipato vya wazazi vya hali ya chini na wanaamini ukishapata boom basi hatutawasumbua tena; sasa tatizo hatujui...
Anonymous
Thread
ela
hali
kubwa
ngumu
vyuo
vyuoni
wanafunzi
wanafunzi wa vyuo
1. Sababu ya Asili
Holodomor ilikuwa njaa ya bandia iliyoletwa na sera za kisiasa na uchumi za Soviet Union chini ya Joseph Stalin. Sababu kuu ni:
•Kutaifishwa kwa Kilimo: Wakulima wa Ukraine walilazimishwa kuuza mazao kwa bei ndogo kwa serikali, huku mashamba makubwa yakichukuliwa.
•Bajeti...
Watu wengi hudhani Dollar ndio safaru yenye thamani zaidi duniani ila ukweli ni kwamba Dollar ipo nafasi ya kumi kwenye sarafu zenye thamani zaidi duniani huku nafasi za mwanzo zikishikwa na sarafu kutoka nchi za uarabuni kwa sababu ya biashara za mafuta.
Na hii ndio list ya sarafu zenye...
Kujua siri za mtu yeyote.
Kujua siri za herufi.
Kujua siri za maneno.
Kujua shughuli za siri.
Kwa mashauri ya kijeshi ya kamanda.
Kujua siri za...
Kujua utajiri mtu alionao.
Kujua siri ya sanaa zote.
12\1 MEGILLA, E....... G......, I......, L......, L......, A.....M
12\2 SIMBASI, I...
EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa?
Utangulizi
Kwa kipindi cha hivi karibuni, teknolojia ya Epoxy Floor imekuwa ikizungumzwa sana kwenye sekta ya ujenzi, hasa mtandaoni. Wauzaji wa kemikali za ujenzi, wakandarasi, mafundi pamoja na wamiliki wa majengo...
Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu
Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda mfupi katika uwanja wa ndege wa Morocco baada ya maafisa kuhoji kiasi cha vito vya dhahabu alichokuwa...
Chama cha Mapinduzi badala ya kuwa msaada, kimegeuka kampuni binafsi ya watawala na familia zao.
Chama hiko kimegeuka kuwa saratani isiyotibika inayoitafuna Tanganyika.
Tushikamane kupambana na hili jinamizi ili tufurahie uhuru na ustawi wa nchi yetu.
Angalizo muhimu
CCM imeungana na vyombo...
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 5
Bei ya Khanga: sh 18,000/=
Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery.
Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja.
Delivery unalipia sh 2,000/= tu.
Mawasiliano: 0784 829565
@radhiyastore...
Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha.
Akisikia Iran kuna vita anapata raha sana.
Mostly ya watu ambao wanajifanya kuchukizwa na mauaji ya October 29 -31 moyoni...
Wasalaaaaam mabibi na mabwana. Ni Mc Mwakifulefule nasemaajeeè....? Leo ndo naanza rasmi dayati ya kuto kuingia twita maana kuna porno nyingi sana.
We fikiria toka saa moja jioni nipo twiter ambayo sasa hivi ni "X" naangalia mizagamuo tu sasa mashine iko hewani nashindwa kulala na punyeto...
Nenda mtaani uliza ni chama gani kikubwa cha upinzani Tanzania utajibiwa ni CHADEMA.
Uliza tena ni ipi sera yao kubwa kwa sasa, huwezi kupata jibu.
Unfortunately hata ukiuliza kwa member na viongozi wa CHADEMA kuwa sera kubwa ya chama chenu ni nini hawana majibu.
Wiki iliyopita Trump...
Wakuu.
Upi mtazamo wako kwenye bei inapokuja swala la kununua mavazi, nguo au mikoba nk?
Kuna viatu vinauzwa zaidi ya $200 (zaidi ya Tsh 500,000) wakati kiatu iko iko kwa muonekano unakipata Kariakoo kwa Tsh 50,000!
Pia kwa mikoba ya brand maarufu kama LV, Gucci, Hermes nk unakuta unauzwa hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.