kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Suala la michango shule za serikali ni changamoto kubwa sana serikali litazameni kwa ukubwa sana

    Nimeona leo waziri mkuu akitoa maelekezo mepesi kwenye jambo zito hilo jambo ni zito tena zito kweli mnasema kweli elimu bila malipo na serikali kila mwezi inapeleka pesa mashuleni pesa ambazo matumizi yake na mambo mengine yanaitaji uwazi sasa niwape changamoto tu hizo shule za serikali si zipo...
  2. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Taifa la Iran humu tujuane pliz!

    Wale wafuasi wa wa Iran a.k.a wazee wa threesome, naomba tujuane ili tufurahie ushindi mkubwa ambao tumeupata Katika mtifuano wa mashariki ya kati. Ayatollah secretarybird, nawakaribisha kwa raha tele 😎. adriz.
  3. haszu

    JamiiForums Tanzania Aah! nimepenyezewa hapa, wanaume wenye sura personal wanatumia gharama kubwa kuwapata wapenzi kuliko sisi ma-Handsome

    Kama Handsome boy atatumia $1, bas mwenye sura ngumu/personal atatumia $600 hadi -800 katika huduma ili kumshawishi msupa, pia wanaume hao hutumia hadi Tani moja ya perfume na lotion ili wanukie vizuri na kuwavutia wanawake. Kwa wale ma handsome, napenda niseme, tuko vizuri sana na mambo kwtu...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Tunashindwa nini kujenga Maghala ya Mafuta ili tuwe na akiba kubwa tuuze hata nje ya nchi?

  5. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania 🚀 Geuza Biashara Yako Kuwa Brand Kubwa Leo!

    Karibu sana wewe unayetaka kuipeleka biashara yako kwenye kiwango cha juu zaidi! 🚀 Kama una ndoto ya kuwa na website ya kisasa, yenye mvuto na inayouza kwa niaba yako masaa 24, basi huu ndio wakati wako. Tunakusaidia kuunda website za biashara na za utalii zenye ubora wa hali ya juu...
  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Sipendi ugaidi wa Iran, ila hiki Trump anataka kufanya leo ni kosa kubwa

    Masaa machache yamesalia kabla Marekani haijapiga mifumo yote ya umeme na madaraja na miundo mbinu mingine, naona Trump anaendelea kutokwa na maneno makali kwamba amedhamiria kufanya kweli. Jameni ifahamike idadi kubwa ya Wairan ni watumwa tu wa hiyo dini na kwamba hawaungi mikono maugaidi yake...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hii ishu ya nyeti kupotea na Niki kuachana na Mke wake-Ni michezo tu ya kuficha jambo kubwa na zito la Kitaifa kwa sasa

    Hizi Mbanga za eti mtu kaombwa 500 halafu kashikwa bega halafu nyeti zimepotea pamoja na Niki Mkuu wa Wilaya kuachana na Mke kisa DNA, hii ni michezo tu katika namna ya kuficha jambo kubwa la Kitaifa lisijadiliwe. Watanzania tujiulize jambo gani kubwa linalohitaji mjadala wa Kitaifa lijadiliwe...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ila jamani hisia ni dubwana kubwa na lina nguvu sana

    IMAGINE Mwaka 2022 nilikuwa huko kigoma vijiji vya karibia na mpaka wa tz na burundi panaitwa kalinzi, huko ni mwendo wa baridi tu, kuna nanasi za kutosha. Sasa bhana kwasababu ya ugeni wangu sikuwa bado na mpenzi nilikuwa kuku mgeni. Kule bhana kuna watusi wa kumwaga wamepanda hewani weusi wa...
  9. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimeingia Sirari Kenya, tofauti ni kubwa sana, Watanzania bado tupo fofofo

    Wakuu, Narudia tena watz bado tupo fo fo fo Hivi karibuni niliamua nikazuru boda nikacheki maana sijawai toka nje ya nchi. Nikaamua kwene Border ya kenya na Tz. Nililala Sirari aisee pale ni kijiji, hamna chochote cha kusema kuna maendeleo, ni barabara moja na vumbi pande zote. NILIVYOVIONA...
  10. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Kosa kubwa la Tulia ni KIA !

    Heshima sana wanajamvi. Tulia wa leo si wa jana wala juzi. Tulia wa leo amefubaa,amenyong'onyea,amepauka, amekuwa kichekesho na mnyonge katika viambaza vya wenye mamlaka. Wengi mtakumbuka sakata la Kilimanjaro International Airport kumilikiwa na KADCO. Wabunge walipiga kelele kubwa ni kwanini...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tunapoteza nguvu kushughulika na upinzani kuliko Ripoti ya CAG

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa kauli nzito kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), akidai kuwa ripoti hiyo imeendelea kuwa "kumbukumbu ya kila mwaka" isiyo na matokeo ya kisheria kwa wabadhirifu wa mali za umma...
  12. 4

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya CHADEMA ni kubwa sana, Lissu na Heche Mungu awabariki sana

    Kwema wakuu, amani ya Bwana iwe juu yenu kila mmoja kwa imani yake. Rejea mada tajwa. Wakuu, Lissu na makamu wake Heche Mungu awabariki sana. Kwa sasa kama CCM hawajui ,asilimia 85 ya watanzania ni CHADEMA. Kwa nini nasema hivi Ichi chama misingi yake imejikita kwenye haki na watanzania wote...
  13. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Mafuta yanaenda kupanda Hadi 3,500/= Kwa Lita. Kwa magari yenye CC kubwa, kazi itakuwepo

    Ndugu zangu wale wenye magari yanayobugia wese tutapaki Tu mwaka huu, Kwa vipato hivi vya kuungaunga kazi itakuwepo mwaka huu endapo vita ya Huko mashariki ya Kati kama itachukua mwaka mmoja. Jana nilikuwa na mkurugenzi mmoja wa kituo cha mafuta akaniambia nijipange na bei hii mpya ya Tsh 3,500...
  14. Red black

    JamiiForums Tanzania Kila mtu asome constitution of United States of America 🇱🇷 mtajifunza jambo kubwa sana

    Third amendment
  15. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Iran yafanya shambulio Kubwa katika eneo la viwanda vya chuma na Chemicals huko Israel

    Katika Hali iliyotarajiwa ya kulipa kisasi baada ya marekani na Israel kushambulia viwanda vya chuma huko Iran. Muda mfupi uliopita Iran imefanya shambulizi na kulenga eneo la viwanda kusini mwa Israel ambapo uharibifu mkubwa na Moshi mzito umeonekana ukitanda katika anga kutokana na shambulizi...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tiba mpya kuboresha via vya uzazi, na urembo sehemu za siri

    My Take Tiba zingine ni upuuzi mtupu 😂 😂 ============ Wakati wanawake wakikabiliana na changamoto mbalimbali za kiafya zinazohusiana na sakafu ya nyonga, matumaini mapya yanaanza kuonekana kupitia tiba za kisasa, zikiwemo huduma za kurekebisha na kuboresha via vya uzazi pamoja na urembo wa...
  17. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya maili Moja mpaka Chalinze ni Kero kubwa

    Wakuu hi barabara tunasubiri Nini Kuitanua? Niliona kafulila kamfurusha Mbia ambaye alitaka Kufanya huu mradi na Serikali Kwa mode PPI ajenge halafu a impose Toll fee, Baada ya Kuongea vile hajarudi Tena kutoa way forward Barabara imekuwa kero Kubwa sana Kwa wasafiri Yani Foleni ya Kufa mtu...
  18. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wachapakazi Hodari' wanaishia kuwa punda wa ofisi, Huku 'Wambea' Wakipanda Vyeo?

    Leo tuweke mafaili ya ofisini pembeni na tuzungumze ukweli ambao Human Resources (HR) wako hatakuambia kamwe. Tangu tukiwa shule ya msingi tulikaririshwa fomula moja ya kijinga sana: "Soma sana, piga kazi kwa bidii, bosi atakuona, utapanda cheo na kutoboa kimaisha tuu." Ila Kwenye ulimwengu...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola

    Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola . Yaani wameshidwa kushindana kwa hoja za maendeleo na makada na viongozi wengi hawana vipaji vya kushinda kwa hoja. Kingine wamempa nguvu sana mwenyekiti kiasi kwamba sasa wanawekwa machawa na ndugu watupu na kwasababu...
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Trump amedai Iran imetoa “zawadi kubwa” kwa Marekani

    Rais Trump amedai kuwa Iran imeipa Marekani kile alichokiita “zawadi kubwa sana” kupitia wajadiliana wake, akihusisha suala hilo na mafuta na gesi. Kwa mujibu wa Trump, makubaliano hayo yanahusiana na eneo nyeti la mlango wa bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani. Hata...
Back
Top Bottom