kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na miradi mingi ya ujenzi na yenye thamani kubwa sana. Kenya yafuata

    Wakati serikali ikiendelea kuwekeza katika miradi mikubwa ya maendeleo hasa katika sekta ya miundombinu, ripoti ya ujenzi ya The Africa Construction Trends Report (2019) iliyoandaliwa na Kampuni ya Deloitte kutoka nchini Uingereza inaonesha kuwa Tanzania inaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Utalii una fursa kubwa sana ila njia tunazozitumia ndio zinatufanya tusifaidi matunda ya utalii

    Utalii ni mpana sana una vitu vingi sana ambavyo kuulewa inataka muda. Na si kila mtu anaweza fanya kazi katika taasisi za utalii ile ni professional kufikia hadi level ya PhD. Kwa mfahamu wa wengi wetu tunawafahamu tu waongoza watalii (tour guides), receptionists katika hotels ambao wamefanya...
  3. JamiiForums Tanzania Ifahamu PROM NIGHT, tamasha kubwa la kutoana bikra linaloandaliwa mashuleni kila mwaka huko Marekani

    Tamasha hili huandaliwa maalum kabisa kwa ajili ya wanafunzi wa 'high school seniors / juniors' ambao wanamaliza shule na hivyo hukusanyika kama njia moja wapo ya kuagana na kupongezana. Katika hatua za awali za Tamasha hili huanza kwa kupiga picha za pamoja baina ya marafiki na wapenzi...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wetu hawajui kuwa Tanzania ni nchi kubwa sana Kimataifa! Tanzania ina rekodi ya kipekee Duniani bado haijavunjwa!

    With due respect, naomba niseme kuwa Tanzania viongozi wengi hawajui ukubwa na umuhimu wa nchi ya Tanzania kwenye jicho kuuu la Ki mataifa. Naomba niwakumbushe yafuatayo: Rais Bill Clinton akiwa madarakani aliwahi kutembelea Tanzania Rais Bill Clinton akapokelewa kijiti na Rais George Bush...
  5. JamiiForums Tanzania Ukerewe yalalamikia bei kubwa ya umeme, wananchi wanalipa 2,500 kwa unit 1 ya umeme

    Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Dk Medard Kalemani ametoa maagizo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella kuhakikisha anafuatilia gharama za umeme zinazotozwa kwa wananchi wa kisiwa cha Ukerewe mkoani humo. Imeelezwa leo bungeni kuwa Watumiaji wa umeme katika Wilaya ya Ukerewe Mkoa wa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nina kazi kubwa ya ofisini ya 'ku type' lakini nimeona nipige picha then na convert kwenda PDF then kwenda Word then

    .....na copy na ku paste words, lakini imekataa ku copy wala ku paste words toka kwenye picha. Yaani inakuwa km ina copy picture yote badala ya ku copy words peke yake, maana Mimi nina shida na words nilizopiga picha Wajuvi naombeni muongozo wenu. cc: ma chief wote wa jukwaa la tech.
  7. JamiiForums Tanzania Mvua ya mawe kubwa kuwahi kutokea duniani

    Mwaka 2017, Shirika la hali ya hewa duniani (WMO) lilitangaza mvua kubwa ya mawe kuwahi kutokea duniani. Baada ya uchunguzi wa kina, ilionekana mvua iliyowahi kutokea Uttar Pradesh, India, tarehe 30 April 1888 ndio mvua kubwa kuwahi kutokea duniani, na ikaingia kwenye rekodi ya dunia ya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida kubwa 10 za kuwa na kitambulisho cha taifa

    1. Vitasaidia kuongeza wigo wa mapato ya Serikali. 2. Vitasaidia kumtambua mhusika kirahisi anapohitaji kupatiwa huduma katika taasisi mbalimbali kama vile benki, taasisi za mikopo na huduma za afya. 3. Vitarahisisha kuwatambua wakwepaji wa kurejesha mikopo kutoka kwenye benki na asasi...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania kwa nini haihamasishi mauzo ya nyama ya punda China wakati soko liko kubwa mno?

    China nyama ya punda na ngozi za punda zina soko kubwa mno. Kwanini serikali haihamasishi ufugaji mkubwa wa punda Tanzania na kuanzisha minada ya punda?
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kama haya matokeo ni ya kweli tuna shida kubwa

  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais anapewa hadhi kubwa Bungeni

    LIMEULIZWA swali katika group moja la WhatsApp ambalo nimo, nimelijibu kule ila kwa faida ya wengi, nalitolea ufafanuzi na hapa. Swali ni kwa nini Rais ambaye ni Mkuu wa Serikali anapewa hadhi kubwa ndani ya Bunge ambao ni mhimili mwingine, lakini Jaji Mkuu hapewi wakati ni kiongozi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kama idadi ya wanaokutembelea nyumbani kwako ni ndogo, usitegemee kupata traffic kubwa mitandaoni

    Kanuni ndio hiyo, Mafanikio yako mtandaoni yanapimwa na mafanikio yako in the real World! Ukitaka kuwa na accounts kama Youtube insta mategemeo ya kupata watu wengi wa kutembelea pg yako yanaakisiwa na namba ya wanaokutembelea kwako au hata kukucheki kwenye simu.
  13. JamiiForums Tanzania Maneno: Silaha kubwa ya Mwanamke na jinsi inavyochangia Ukatili Majumbani "Domestic Violence" wakati ingeweza kutumika otherwise

    Kuna Mjadala mkali sana Unaendelea twitter, kuhusu domestic violence. Ukihusisha watu wa kawaida, celebrities, Twitter influencers wadau wa haki za wanawake "Feminist" nchini Tanzania. Mjadala umechagizwa zaidi na video ya mdau mmoja, ambaye alionekana akimpiga vibaya mke wake, ni mtu ambae...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kama kuna jambo kubwa la maana unataka kulifanya, ni bora msikutane kimwili na mwenza wako?

    Habari wadau wa nguvu wa JF. Nimesikia watu wakisema mapenzi yana gundu. Yaani kama kuna jambo zuri lenye manufaa unataka kulifanya, eti ni bora msifanye mapenzi na mapenzi/mchumba/ mume au mkeo hadi utakapoanza kufanikisha jambo hill. Mara nyingi mambo kama hayo ni Maombi/sala, interview ya...
  15. JamiiForums Tanzania Iraq: Iran yashambulia kwa makombora kambi mbili za Jeshi za Marekani, Ain al-Asad na Erbil

    Iran imerusha makombora zaidi ya 10 ikilenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq ikiwemo Kambi ya Jeshi ya Ain al-Asad ambapo kuna Majeshi ya Marekani ikiwa ni siku chache baada ya Marekani kumuua Qassem Soleimani Chaneli ya Taifa ya Iran imesema, Jeshi la Kimapinduzi la Nchi hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza

    Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza. Meli hiyo imetia nanga kwenye gati jipya la kisasa lililoboreshwa ambalo ni sehemu ya maboresho yanayoendelea Bandarini.
  17. JamiiForums Tanzania Simon Msuva amesajiliwa Benfica ya Ureno

    MICHEZO: Dkt Jonas Tiboroha, Meneja wa Simon Msuva, mchezaji wa Taifa Stars, amesema Msuva amejiunga na klabu ya Benifica ya Ureno kwa mkataba wa miaka 3 akitokea klabu ya Difaâ El Jadidi Amesema ataanza kuitumikia Benfica Julai 2020 na sasa anaenda kwa mkopo katika klabu ya Panathinaikos ya...
  18. JamiiForums Tanzania INAUZWA TABLET inauzwa

    Jipatie tablet ya vodafone vfd 1100 iko katika hali nzuri mno,haina shida yeyote ni nzima kabisa kama unavyoiona kwenye picha, inakwenda kwa bei ya 100,000 mazungumzo yapo. Napatikana Mbeya nicheki kwa 0767142928 karibu tufanye biashara.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…