Kama idadi ya wanaokutembelea nyumbani kwako ni ndogo, usitegemee kupata traffic kubwa mitandaoni

Mikopo Chefuchefu

JF-Expert Member
May 15, 2017
3,373
6,756
Kanuni ndio hiyo,

Mafanikio yako mtandaoni yanapimwa na mafanikio yako in the real World!

Ukitaka kuwa na accounts kama Youtube insta mategemeo ya kupata watu wengi wa kutembelea pg yako yanaakisiwa na namba ya wanaokutembelea kwako au hata kukucheki kwenye simu.
 
Umejuaje?
Toa chanzo cha hayo yote
Kwanini iwe hivyo?
Toa sababu na ufafanue
Una uhakika na unachosema?
Kwanini tukuamini wewe?
Unaweza kudhibitisha?
Una nia gani? ya kuleta hapa?
Na Kwanini ulete hapa?
Umefikiria nini mpaka uandike hivyo Na kuleta hapa?
Unatambua Kwamba hayo maneno uliyoandika unaweza kukatisha watu wengine tamaa?


Ukishindwa kujibu basi tambua huo ni muono wako tu, na kila mtu ana maono yake, kwa hiyo usijaribu kuaminisha watu wengine muono wako, baki nao, sababu kila mtu ana wake.
 
Back
Top Bottom