Nina kazi kubwa ya ofisini ya 'ku type' lakini nimeona nipige picha then na convert kwenda PDF then kwenda Word then

Capitrait

JF-Expert Member
Jul 18, 2013
228
325
.....na copy na ku paste words, lakini imekataa ku copy wala ku paste words toka kwenye picha.

Yaani inakuwa km ina copy picture yote badala ya ku copy words peke yake, maana Mimi nina shida na words nilizopiga picha

Wajuvi naombeni muongozo wenu.

cc: ma chief wote wa jukwaa la tech.

15798428291243144138257980996746.jpg
 
Angalia online 'How to convert JPG to PDF'.

dodge
Nimejaribu Chief, lkn sikufanikiwa. Kila nikitaka ku copy maneno ina copy picha yote japo file linaonekana ni pdf au hata word lkn haiwezi ku copy hayo maneno
 
.....na copy na ku paste words, lakini imekataa ku copy wala ku paste words toka kwenye picha.

Yaani inakuwa km ina copy picture yote badala ya ku copy words peke yake, maana Mimi nina shida na words nilizopiga picha

Wajuvi naombeni muongozo wenu.

cc: ma chief wote wa jukwaa la tech.

View attachment 1332666
Kwa simu tumia hata Google lens,then utachukua maneno utakua unaya save pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
...
Muhimu picha iwe table water level na smoothen bila scratches na format ya picha inayokubalika.
Apply OCR.
Hii Pro PDF Scanner apk inaweza ila kama iko ofisini why not use scanner ...
...
 
.....na copy na ku paste words, lakini imekataa ku copy wala ku paste words toka kwenye picha.

Yaani inakuwa km ina copy picture yote badala ya ku copy words peke yake, maana Mimi nina shida na words nilizopiga picha

Wajuvi naombeni muongozo wenu.

cc: ma chief wote wa jukwaa la tech.

View attachment 1332666
Tumia OCR softwares ina detect hayo maneo lakini mara nyingi inabidi pia upitie usome uwa kuna mahali zinakoroga
 
...
Muhimu picha iwe table water level na smoothen bila scratches na format ya picha inayokubalika.
Apply OCR.
Hii Pro PDF Scanner apk inaweza ila kama iko ofisini why not use scanner ...
...
Sure, ila nataka kutumia simu
 
Back
Top Bottom