Mwendo ni Bandika Bandua,
Kifupi hatusajili kwa ajili ya kushindana na Yanga, maana sio level yetu, tumeshaiacha mbali.
Wale wa Vidonge Vya Presha kama kawa msisahau kesho kukaa na vidonge vyenu karibu. Kama vimeisha nunueni kabisa. Na Ikiwezekana itaneni kabisa muulizane kesho ni nani ili...