kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa dhuluma kubwa iliyopo sasa nchini kutoka vyombo vya dola, tunahitaji mabadiliko haya.

    RAIS MPYA WA ZAMBIA AMFURUSHA OFISINI MKUU WA POLISI (IGP), MKUU WA MAJESHI (CDF) na DPP, AAHIDI KUMALIZA UTAWALA KANDAMIZI WA MTANGULIZI WAKE RAIS mpya wa Zambia Hakainde Hichilema jana Jumapili August 29,2021 ameteua wakuu wapya wa jeshi na kuwaondoa wakuu wote wa polisi akiwemo IGP na...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Salamu kwa mpendwa Anania,sononeko la nafsi na mapitio ya vita kubwa vya wakati huu

    Siku za hivi karibuni moyo wangu umegubikwa na simanzi nzito. Simanzi inayoletwa na kumbukumbu za zamani zenye kuhuzunisha sana. Kumbukumbu za wapendwa wangu waliotangulia mbele ya haki . Kumbukumbu za mambo yote tuliyofanya pamoja ambayo yalifanya maisha kuwa na maana. Kumbukumbu hizi...
  3. JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Wazazi msizae zae ovyo watoto kama 'Hamza'

    Ni kweli kitendo kilichofanywa na kijana Hamza( R.I.P) sio cha kiungwana na hakifai kuigwa katika jamii Lakini vile vile, afande Sirro amepotoka kwa kauli yake kwamba wazazi wasizae watoto kama 'Hamza' kwa sababu kuzaa ni mipango ya Mungu ambayo binadamu hawezi kujipangia au kuamua azae mtoto...
  4. JamiiForums Tanzania Bro ametuachia Janga kubwa sana, sababu tu ni Upendo wake kwetu

    Ametuachia toto Jinga sana. Tumelikuza limefika miaka 30 linataka oa. Tunaliuza umejipanga una Tsh ngapi. Linasema halina hata shillingi. Bwege kabisa fala, zumbukuku, topolo kabisa. Tunaliambia sasa wewe unatakaje kuoa huna kitu. Nenda kajipange linalia kuwa angekuwepo baba yake angeliozesha...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya kosa kubwa kama Hayati Magufuli kuhusu upinzani

    Ni miezi michache tu toka Hayati Magufuli afariki lakini historia yake huwezi kuandika bila mabaya aliyowafanyia raia wake kwasababu tu ni wapinzani. Naona kwa mwendo huu wa Polisi wanampeleka Rais Samia hukohuko huyo aliye mdanganya kwamba kunyanyasa wapinzani itasaidia kamshauri vibaya na...
  6. JamiiForums Tanzania Naliona shimo kubwa mbele yetu

    Wasalaam. Kama taifa ni kama tumepoteza dira na matumaini kwani miongoni mwetu tunaishi na manung'uniko, visasi, uhasama, dhulma, na kuombeana hata vifo na kupambikiana kesi za kipuuzi. Ukweli mchungu ni kwamba chama cha mapinduzi ndio kimetufikisha hapa tulipo na tunakaribia njia panda...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini wananchi wana chuki kubwa na Jeshi la Polisi?

    Wanadhulumu raia mali zao? Wanabambikia raia kesi? Wanachukua rushwa kwa nguvu? Wanapiga raia hovyo hovyo? Wananachukua wake za watu kwa nguvu? What' s wrong with PT?
  8. JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa sana kwa Wilaya kongwe ya Kyela kukosa gari la Zimamoto

    Kyela ni miongoni mwa Wilaya kongwe kabisa za Tanzania , lakini ni Wilaya ya mwisho kabisa kufaidi keki ya nchi hii , kwa miaka yote tangu uhuru imeongozwa na Wabunge wa ccm tu , akiwemo yule mmoja aliyetamba hadharani kwamba ANAMILIKI DIGRII 4 na wala hana njaa yoyote . Halmashauri ya Wilaya...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna kundi la vijana wa Kitanzania wanahusiana na makundi ya kigaidi. Kwa sasa hawa ndio maadui wa taifa letu

    Kuna vijana wengi sana wa kitanzania ambao walishakuwa brainwashed na kujiunga na makundi ya kigaidi kama Al shabab. Vijana wengi sana toka mikoa ya pwani, Tanga , Arusha walishajiunga na kundi la Al shababu na wengi tu walishawahi kuhudhuria mafunzo ya kigaidi huko Somalia. Hata hayati...
  10. JamiiForums Tanzania Simu Janja kama Mashine ya EFD - Nafuu kubwa kwa wajasiliamali na wafanya biashara

    AMBWENE KONZO LIMITED WANAKUPA NAMNA , RAHISI, SALAMA NA NAFUU ZAIDI YA KUTOA RISITI ZA TRA KWA KUTUMIA SIMU,KOMPYUTA,POS AU MFUMO WAKO ULIONAO. HUNA HAJA YA KUNUNUA MACHINE. ILIKUPATA HUDUMA UNATAKIWA KUWA NA: NAKALA YA TIN CERTIFICATE NAKALA YA KITAMBULISHO BARUA YA MAOMBI KWA TRA KUTOKA...
  11. JamiiForums Tanzania Ukimsikiliza huyu mtu kuanzia mwanzo hadi mwisho halafu usiweze kuwa na maendeleo makubwa ya kwako binafsi basi wewe una tatizo kubwa mno

    msikilize huyu mtu ana hoja nzito zinazoweza kufanya upige hatua kubwa sana kwenye maisha yako msikilize mwanzo hadi mwisho mswahili mwenzetu huyu ana hoja nzito mno
  12. K

    JamiiForums Tanzania Tofauti kubwa ya dhamira baina viongozi wa Yanga na Simba ni hii hapa

    Ni kweli timu zote mbili kwa hivi sasa zinaendeshwa na wawekezaji wenye malengo binafsi zaidi tofauti na hapo awali walipokuwa pembeni wakisaidia kama wafadhili. Lakini ukifanya tathimini zaidi utagundua kuwa timu hizi mbili ambazo ni kubwa hapa nchini zina malengo tofauti kwa sasa katika...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Klabu kubwa 40 afrika hadi leo tarehe 25/08

    kama team yako haiko kwenye list kuwa na heshima na adabu halafu kaa kimya heshimu wakubwa zako
  14. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Habari wana Jamiiforum, Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development. Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri wa kisheria kuhusu bomba kubwa la maji kupita kwenye uwanja wangu!

    Mdogo wangu amejikusanya na kununua kauwanja anakotaka kujenga nyumba ya kuishi ajabu wakati mafundi wanachimba msingi wamekutana na bomba kubwa la maji hali ambayo hatukuitarajia! Wadau tunaomba ushauri wa kisheria wa nini kifanyike
  16. JamiiForums Tanzania Sababu Kubwa Inayopelekea Biashara Nyingi Mpya Kushindwa.

    Rafiki yangu mpendwa, Bill Gates ajaye hataanzisha Microsoft. Mark Zuckerberg ajaye hataanzisha Facebook. Elon Musk ajaye hataanzisha Tesla. Na Bakhresa ajaye hataanzisha Azam. Lakini ni vitu gani ambavyo watu wapo ‘bize’ kufanya? Kuiga wale waliofanikiwa, kufanya kama walivyofanya wao wakiona...
  17. JamiiForums Tanzania Tozo za miamala ni njia ya kufidia pesa zinazokujenga miradi kama Burigi National Park na Ikulu Dodoma?

    Ingekuwa sawa kama ongezeko la tozo za miamala na mafuta kwa wanyonge lingelenga kwenda kununua meli kubwa za uvuvi ili tuvue kisasa kwenye kina kirefu, kununua matrekta kwa wakulima ili walime mashamba makubwa, kuchimba madini ya kimkakati kama chuma au kusambaza nishati ya gesi nchini ili watu...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Naombeni kujua ni kozi zipi zenye uwezekano mkubwa wa kupata mkopo

    Naombeni kujua ni kozi zipi zenye uwezekano mkubwa wa kupata mkopo kwa uhakika, mimi nmeomba economics and agribusiness, vipi nikibahatika kudahiliwa, nitaweza pata mkopo kwa uhakika?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Eneo kubwa la Pori la Jeshi kuanzia Nzuguni mpaka Mji wa Serikali Dodoma, kunaharibu mandhari ya Jiji la Dodoma

    Kwa wanaoifahamu Dodoma, bila shaka watakuwa wanaelewa eneo hilo la Jeshi ambalo ni pori kubwa na sasa linageuka pori katika ya Jiji la Dodoma baada ya mji huu kuendelezwa kama Makao Makuu ya Nchi. Kwa sasa, eneo hilo la Jeshi, linakuwa pori linalotenganisha makazi ya watu baada ya viwanja...
  20. JamiiForums Tanzania Zipo sababu za kutosha za kulilalamikia Jeshi la Polisi kusapoti Chama Tawala kwa asilimia kubwa

    Yawezekanahiyo Video wanapasha misuli joto ama yawezekana wanafurahi pamoja kama watanzania, silipingi hili kwa sababu amani , umoja na mshikamano ndo jambo la msingi. Lakini content ya hiyo Nyimbo inalenga kukisifia chama tawala pia. Tuache mambo ya kamanda Shana, wacha yale ya aliyekuwa OCD...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…