kubaki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria afungua kesi kupinga Jaji Mkuu kubaki kazini baada ya muda wa kustaafu kupita

    Kesi hiyo ya kikatiba imefunguliwa na Wakili wa kujitegemea, Humphrey S. Malenga katika Mahakama Kuu Masjala ya Dar es Salaam ikiwa ni siku chache tangu Rais Samia amuongeze muda Prof. Ibrahim Juma Profesa Juma, ambaye alizaliwa Juni 15, 1958, amekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania tangu Septemba 10...
  2. comte

    JamiiForums Tanzania Iko hatari ya bandari kubaki bandari bila mizigo

    Ukiingia kwenye mtandao wa SPLASH 247.COM utaona makampuni ya usafirishaji wa mizigo duniani yanavyoshidana kumiliki pia bandari maeneo mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa kila mwenye mizigo atapeleka kwenye bandari zake tu labda alazimike kufanya pale ambapo hatakuwa na namna...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Nini faida na hasara za kubaki au kuuvunja muungano wetu?

    Si mara ya kwanza kwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuzua manung'uniko na hata ushauri kuwa ima uvunjwe au urekebishwe. Wapo, hasa Wanzibri, wanaoona kama Zanzibar imemezwa na Bara. Pia, wapo, hasa watu toka Bara, kuwa Zanzibar inapendelewa. Wanadhani ilipaswa kuwa kama si wilaya basi mkoa...
  4. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

    Takriban 90% ya threads zote kwenye JF ndani ya siku hizi 2 zinahusu sakata la mkataba wa Tanzania na DP WORLD ya UAE. 99% ya comments hazikubaliani na namna Rais Samia na Bunge walivyo handle mkataba huu. Kuna vitu 3 vikubwa ambavyo hata wale wanaounga mkono ubinafsishaji hawakubaliani:- 1...
  5. Ngungenge

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia wajanja wasikuingize mjini

    Rais samia usisahau mwaka jana Rais wa Malawi Chakwera alibaki mdomo wazi baada ya kupigwa na kitu kizito wajanja walimuingiza mjini walimpoteza maboya yeye mwenyewe, waziri wa kiliimo na waziri wa fedha hivyo kuwa makini sana hili game ni game kama ma game mengine cheza kwa tahadhari. Dp World...
  6. Tukuza hospitality

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tatizo la ajira laweza kuisha na kubaki kuwa historia Tanzania

    Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanahitaji mambo muhimu kama ifuatavyo: Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi bora. Utawala bora na uwajibikaji vipo ndani ya siasa safi na uongozi bora. Tukiimarisha utawala bora na uwajibikaji katika nchi yetu, tatizo la ajira litaisha na kubaki kuwa historia...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kocha Nabi: Uongozi wa Yanga utaamua kama natakiwa kubaki au kuondoka

    Kocha Mkuu wa Yanga, Mohamed Nabi amesema kuendelea kwake kusalia ndani ya klabu hiyo kunategemea mipango ya uongozi wa klabu baada ya tathmini ya msimu huu na nini wanahitaji kwa msimu ujao.
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hili suala la wanafunzi kubaki shule lina umuhimu mkubwa kwa maisha ya baadaye ya mtoto wako

    Wazazi mwanao kama yupo form four, aendelee kusoma na kujisomea, haya matamko ya wanasiasa ni matamko ya kisiasa. Wewe mwanao yupo shule ya kata, na unajua kuwa ili aweze kupata nafasi ya kwenda hata VETA au kuongeza ujuzi wowote basi cheti cha Form four lazima. So akili kichwani, yaani mzazi...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ashatu Kijaji: Biashara Kariakoo zinaendelea, wafanyabiashara wametumia Demokrasia na Uhuru wao kufungua au kutokufungua

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023. WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema “Bado Serikali haijajiridhisha kwamba uraia pacha ni takwa la...
  10. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania Ukiendelea kubaki humu na hali ya hewa hii tukueleweje?

    Ikifika saa 5 wote tuwe tumeshalogout, maana hali ya hewa inaruhusu kwa kifo(kilimo) cha mende (maharage) supu ya mbuzi kagoma kwenda na kilimo cha kuchuma tembele.
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mitambo ya IPTL imeibiwa na jengo kubaki Gofu. Iliwekwa rehani na Herbinder Seth

    Nilishuhudia gari la mwisho lililobeba chuma chakavu kutoka IPTL likikamatwa pale Skansika usiku wa Jumapili 05/03 2023, ambapo watu 3 waliokuwa kwenye gari na Polisi waliokuwa wakilinda Mitambo walikamatwa na Kupelekwa Kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa Maelekezo ya Muliro. Gari lenye mzigo...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naungana na DC Mwanukuzi kupinga wezi wa kuku kufungwa wezi wa mamilioni serikalini kubaki ofisini

    Naungana na Andiko la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Bassila Mwanukuzi kuhusu wezi wa kuku kufungwa na wale wa fedha za umma kubaki ofisini. "Wale watumishi walioisababishia serikali hasara ya mamilioni kwa ajili ya ubadhirifu na ambao chini ya uongozi wangu tulichukua hatua kwa muujibu...
  13. winnerian

    JamiiForums Tanzania Mamlaka na nguvu ya Rais iendelee kubaki kama ilivyo kwenye Katiba

    Kamwe mtu ambaye hana nguvu wala mamlaka hawezi kufanya maamuzi sahihi na yenye tija kwa wale anaowaongoza. Pia kinga ya Rais ibaki kama ilivyosasa kumtoa wasiwasi wa kufanya maamuzi na kutoa amri. Unapokuwa na wasiwasi pamoja na uoga wa kukosea huwezi kufanya kazi kwa ufanisi na uhuru. Kitu...
  14. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Nansio Ukerewe: Kijana aponda mbwa na jiwe kwa mkono wake na kubaki umenyooka

    Kijana huyo ambae hajafahamika majina alimponda mbwa na jiwe jana usiku majira ya saa 2 usiku. Tukio hilo la kustaajabisha liliyokea/limetokea Ukerewe Nansio maeneo ya Bakwata (Musoma road) mwisho wa lami. Picha kukujia punde
  15. N

    JamiiForums Tanzania Waliowahi kurukwa na akili naombeni kujua uzoefu wenu na namna mlivyoweza kurudi Kwenye normal state

    Salaam Kwenu wakuu! kama Kuna members walishawahi kupitia changamoto ya kurukwa na akili naomba wanisaidie uzoefu wao. Nifanye Nini natamani sana kujua yafuatayo kutoka kwao. 1. Ukirukwa na akili maisha unakuwa unayatafsiri katika namna ipi katika angle ya Pesa, na mapenzi? 2. Mtu akikuita...
  16. zephania5

    JamiiForums Tanzania SoC02 Heri kubaki na afya njema kuliko kutafuta matibabu bora

    Awali ya yote, nipende kumshukuru Mungu mwenyezi atupae uhai na uzima bure, pamoja na afya kwa wana jamii forum wote. Afya njema iko juu ya mali na utajiri. Afya bora ni zaidi ya umaridadi au umashuhuri, na tena afya ni zaidi ya kutokuwa na ugonjwa. Zipo tafsiri mbalimbali juu ya afya ikiwemo...
  17. Willima

    JamiiForums Tanzania Wanawake wana haki ya kubaki na majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa

    Wanawake kubadili majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa na kufuata majina ya waume zao ina onyesha au kuashiria hali ya utegemezi wa mwanamke kwa waume zao, mwanamke kufuata jina la mume wake baada ya kuolewa kunaashiria kuwa yeye ni mali ya mwanaume (mume wake), na anakosa mamlaka ya...
  18. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Shida ya umeme mkoa wa Pwani kubaki historia. Bil. 130/- zatengwa kumaliza kabisa tatizo

    Serikali ya Rais Samia Suluhu itatumia kiasi cha Tsh. Bil 130/- kwenye ujenzi wa kituo cha kupooza umeme Chalinze mkoani Pwani. Kituo hiko kinatajwa kuwa kikubwa, na cha kwanza nchini ambacho kitakuwa na jukumu la kupooza umeme unaotoka katika bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP). Mradi huo unaitwa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha nishati katika maeneo ya migodi, Je kubaki historia?

    Tanzania ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimebarikiwa kuwa na rasilimali nyingi sana ikiwemo madini, lakini isivyo bahati pia ni miongoni mwa nchi ambazo hazinufaiki na madini hayo hii ni kutokana na technolojia duni ikiwepo ni ukosefu wa nishati ya umeme ya uhakika ya kuendeshea...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mnapotengana mnawapa mzigo mzito watoto sio tu wakiwa wadogo bali hata wakiwa watu wazima

    Kwema Wakuu! Huenda ukawa unajiuliza ni Kwa nini Taikon anapenda kujadili masuala ya familia, ndoa, na wanawake. Kwa kifupi tuu ni kuwa Msingi Mkuu wa Jamii ni Familia Bora, familia Bora ni matokeo ya ndoa iliyofuata misingi ya uadilifu. Familia Bora huleta jamii Bora, jamii Bora huzaa taifa...
Back
Top Bottom