Samia Kubadili Dar & Dodoma: Miundombinu Mipya

Samia Kubadili Dar & Dodoma: Miundombinu Mipya

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
560
Reaction score
519
20260521_093438.jpg

Dkt. Samia Suluhu Hassan kubadili majiji, Dar es Salaam na Dodoma.

šŸ“ŒAtatandaza Flyover Tabata, Morocco, Mwenge hadi Kongowe

šŸ“ŒZitafuata pia za makutano ya Fire, Magomeni na eneo Kamata

šŸ“ŒDar, Mkoa Pwani kushuhudia barabara njia 8, Dodoma njia 6
 
Hahahaaa!! Ngoja kwanza nicheke. Kama zilizopo zinamshinda mpk ss tangu afe JPM road ya ubungo mataa n mpk kimara bado kuisha. Je ni miaka mingapi? Najua Mello na CCM mtafuta comment yangu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Ni vizuri. Kitu wameshindwa ni sewage system, tunatembea mavi yanatiririka maeneo mengi ya mji wa Dar.Kama hakuna sewage system na pia barabara za mitaa ziukajengwa mji utabaki mchafu tu.
 
Hii serikali ya sasa ni ya Dar na Dodoma sisi watu wa mikoani hakuna tunachofaidika nacho isipokuwa kujengewa matundu ya vyoo vya shule.
 
Hahahaaa!! Ngoja kwanza nicheke. Kama zilizopo zinamshinda mpk ss tangu afe JPM road ya ubungo mataa n mpk kimara bado kuisha. Je ni miaka mingapi? Najua Mello na CCM mtafuta comment yangu.
Kazi ni kipimo cha utu
Kuna vibarabara vya 2km vya DMDP vinewashinda kumaliza huku mtaani. Wamechimba mashimo wameacha yanajaa maji tunafuga kambale. Sasa bahatika kuona inayotengenezwa uone vituko vya mkandarasi wa kichina mpaka unashangaa kwanini walimpa huyu maana kuna wazawa wanafanya kazi nzuri kuliko hawa jamaa.
 
Back
Top Bottom