JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 8,245 Reaction score 11,470 Jun 8, 2026 #1 Natafuta musaada kubadili combination kwa kijana wangu. Ndoto yake ni kusoma HGE ama EGM. Kwa sasa amechaguliwa HGL lakini shule hakuna combination za HGE na EGM. Natanguliza shukrani.
Natafuta musaada kubadili combination kwa kijana wangu. Ndoto yake ni kusoma HGE ama EGM. Kwa sasa amechaguliwa HGL lakini shule hakuna combination za HGE na EGM. Natanguliza shukrani.
P PERAMIHO YETU JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 6,290 Reaction score 17,295 Jun 8, 2026 #2 Kaka unaish Dunia gani mbona wizara ilitoa tangazo la vijana kubadil tahasusi zao tena Toka mwez wa 3 had wa 5 mwanzon Wewe ulikuwa wapi wakat dirisha limefungwa? Mpelele private school Hesabu akipata alama gani?
Kaka unaish Dunia gani mbona wizara ilitoa tangazo la vijana kubadil tahasusi zao tena Toka mwez wa 3 had wa 5 mwanzon Wewe ulikuwa wapi wakat dirisha limefungwa? Mpelele private school Hesabu akipata alama gani?