kuanzisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya Kuzingatia Ukiamua Kuanzisha Ghetto Lako 🏠🔥

    Kuanzisha ghetto si tu suala la kupata chumba cha kupanga, bali ni hatua ya kuanza maisha mapya kwa heshima na mpangilio. Ili kuepuka kuishi hovyo na kukosa misingi ya starehe na usafi, zingatia haya mambo muhimu: 1. Tathmini Kipato Chako Kabla ya kuchukua chumba, jiulize kipato chako...
  2. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Kama unahitaji kuanzisha blogu + mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki

    Kama unahitaji kuanzisha blogu + mpaka kupata Google Adsense akaunti nicheki, Nina uzoefu na blogu + ujuzi wa IT, nitakusaidia kusajili jina la blogu Yako, kupata akaunti ya Google AdSense na n.k. nicheki WhatsApp/sms/call +255 0756704145
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, vyombo vya habari vinapotumika kwenye matangazo ya vyama fulani, ni njia ya kuathiri demokrasia na uchaguzi huru?

    Wakuu! Hivi karibuni baadhi ya vyombo vya habari vimeanza kutangaza kauli mbiu za vyama vya siasa. Hali hii inanitia wasiwasi kuhusu uadilifu na mustakabali wa demokrasia yetu kipindi cha uchaguzi. Swali: Je, hili si mwanzo wa kampeni kabla ya muda wake? Na je, taarifa hizi kwa wapiga kura...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Biashara unazoweza kuanzisha ukiwa na milioni moja ( Tsh 1,000,000)

    Hamjambo! Leo sitakuwa na maneno mengi. Ukiwa na milioni Moja hizi ni biashara unazoweza kuzifanya; 1. Fundi Nguo! Chukua sherehani tatu za 250,000/= inayobakia tafuta Frem ya elfu 50. Nunua vifaa kisha anza kupiga kazi. Cherehani zingine mbili tafuta mafundi, piga kazi. 2. Saluni ya kiume...
  5. biz_mtaa

    JamiiForums Tanzania Unatamani kuanzisha biashara ya event planning? Zijue hizi siri za kufika malengo ya wateja wako katika kuandaa matukio yao

    Kama mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya event planning, jambo kubwa linalokutofautisha na ushindani ni uwezo wa kuhakikisha kila tukio linaendana na malengo ya mteja wako. Tukio linaposhindwa kuendana na matarajio ya mteja, linageuka hasara, sio tu kwa mteja bali pia kwa sifa ya biashara...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SADC na Marekani kuanzisha jukwaa la majadiliano

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki kikao cha awali cha maafisa waandamizi cha Jukwaa la Majadiliano kati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Serikali ya Marekani...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)

    Je, unahitaji Mpango wa Biashara wa Kuanzisha Kituo cha Kujaza Gesi Asilia (CNG)? Yaani: Business Plan for Establishing a CNG Refueling Station Biashara ya kuanzisha kituo cha kujaza gesi asilia (CNG) nchini Tanzania ni fursa kubwa na ya kipekee, hasa kutokana na mabadiliko ya dunia kuelekea...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna kabila lolote Tanzania lililowahi kubuni mfumo wake wa maandishi

    Katika makabila zaidi ya 120 Tanzania, lipo hata moja lililowahi kupata akili ya kugundua maanishi yanaweza kutumika kama njia mbadala ya kuongea maneno kwa mdomo ? Ni lugha ya maandishi, Sio kuchora au kuchonga vinyago
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo apokea na kuanzisha Kifimbo cha Mbio za Mfalme wa Uingereza

    Waziri Kombo apokea na kuanzisha Kifimbo cha Mbio za Mfalme wa Uingereza Katika Viwanja vya Michezo vya Jakaya Mrisho Kikwete, Kidongo Chekundu, Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amepokea Kifimbo cha...
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Air bnb,ni nini?,nawezaje kuanzisha biashara hii,inayoshika kasi kwa nyakati hizi.

    Wenye uelewa watujuze hii kitu,inafanywaje?,mazingira gani mazuri kwa biashara hii?, vyumba vya aina hufaa kwa biashara hii?je banda zuri la manyasi linafaa kwa biashara hii?vibali vyake vinapatikanaje?,jinsi gani utafawafanyia wateja bookings kutoka nje ya nchi,na mengineyo, Kwani,MH.Rais wetu...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Abbott wasaini Makubaliano ya kuanzisha Uzalishaji wa Vipimo vya haraka vya Magonjwa

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Afya imesaini makubaliano ya ushirikiano (MoU) na kampuni ya kimataifa ya huduma za afya Abbott, kwa lengo la kuchunguza uwezekano wa kuanzisha uzalishaji wa vipimo vya haraka vya magonjwa mbalimbali hapa nchini. Makubaliano hayo...
  12. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Young Africans SC (Yanga) Kuanzisha Tiketi za Kidigitali

    Napenda kutoa ushauri kwa Kitengo cha Masoko/Uhamasishaji cha Klabu ya Yanga kuhusu fursa ya kuongeza mapato ya klabu na kuimarisha ushirikiano na mashabiki walioko ndani na nje ya nchi kupitia Tiketi za Kidigitali (Digital Support Tickets). Maelezo ya Wazo: Katika siku maalum kama vile Yanga...
  13. Knock life

    JamiiForums Tanzania Je umri wa miaka 32 ni umri sahihi wa kuoa na kuanzisha Maisha ya kifamilia?

    Wakuu , Kutokana na Changamoto za Maisha nimefikiria kusogeza siku mbele hasa kuhusu kuoa. Je umri wa miaka 32 ni rafiki na unafaa MTU kuanzisha familia au MTU anakuwa amechelewa? Ahsante.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya serikali, kuanzisha chombo kitakachodhibiti suala la mavazi vyuoni

    Muonekano na tabia ya mtu daima hupambwa na mavazi. mavazi hubeba dhima kuu za tabia ya mwanadamu kisaikolojia . Na ndio, maana hata tapeli, nyakati nyingine, akitaka kumkwida mtu huangazia kwanza muonekano wa mtu, uliobebwa na mavazi . kifupi yako mavazi ukivaa hata kama moyoni unajiona...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha mahakama kuifungia CHADEMA kufanya siasa wakati huu, imethibitisha wazi ulaghai uliofanywa na Nyerere na CCM katika kuruhusu vyama vingi

    WaTanzania mtamwelewa sasa Lissu anavyosema Nyerere ameitendea uovu mwingi nchi hii! Alishiriki kuanzisha VYAMA VINGI vya ulaghai kwa katiba ileile ya chama kimoja! Zaidi aliongeza na Sheria za kihuni kwamba matokeo ya Rais yasihojiwe mahakamani! Sasa wananchi wameshtuka wanataka katiba na...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuanzisha makanisa ,misikiti na NGOs utazamwe upya

    Kwa sasa imekuwa jambo rahisi sana katika kuanzisha hizi taasisi kupitia mifumo ya kieletroniki . Ni vyema Regulatory authorities kujitathmini na kufanya mapitio ya kina namna mtu au taasisi anavyoweza kuanzisha taasisi yake. Uwepo wa mifumo ya kieletroniki usitafsiriwe kuwa ni rahisi tu...
  17. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuanzisha naye familia

    Jamani ni me natafuta mwanamke wa kuanzisha naye maisha na familia pia.umri wangu ni miaka 29 kazi yangu ni mfanya biashara mdogo,location nipo mbeya kama uko tayari nichek pm
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Aina 4 za wanawake ambao hutakiwi kuanzisha nao Familia hasa Ukiwa na umri chini ya miaka 45.

    AINA 4 ZA WANAWAKE AMBAO HUTAKIWI KUANZISHA NAO FAMILIA HASA UKIWA NA UMRI CHINI YA MIAKA 45. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Umri wa 20-45 ni umri muhimu Sana kwako kama kijana wa kiume. Huo ndio umri ambao unanguvu ya kujenga empire yako. Kumbuka mwanaume hazaliwi akiwa na thamani. Kama...
  19. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Africa haiwezi kuanzisha MET GALA yake? JP2025 inaonyesha hilo kama linawezekana kabisa!?

    1. Afrika ina utajiri mkubwa wa mitindo na tamaduni: Kila nchi ina nguo za kipekee: Kitenge, Kente, Maasai Shuka, Shweshwe, na nyinginezo. Tuna wabunifu wenye vipaji vikubwa kama Maxhosa (Afrika Kusini), Lisa Folawiyo (Nigeria), Anita Dongre, na wengine. 2. Tayari kuna nyota wakubwa wa...
  20. Webabu

    JamiiForums Tanzania Nchi za kiarabu zakutana Iraq na kupiga picha ya pamoja siku moja kabla ya Israel kuanzisha operesheni ya kuiteka Gaza.

    Mataifa ya kiarabu yameendelea kujitusi yenyewe kwa kufanya kikao nchini Iraq na kuondoka bila matamo yanayoendana na wakati. Katika mkutano huo wa 34 mataifa hayo yamerudia azimio la kuijenga upya Gaza na kwamba wanapinga kuhamishwa kwa wapalestina kutoka ardhi yao hiyo. Mkutano huo...
Back
Top Bottom