kuandika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama mtu anafika chuo kikuu na kuhitimu bila kujua kusoma na Kuandika je lengo la Elimu ni lipi hapa Tanzania?

    Ajira ni ngumu yes Lakini Kama watu wanagraduate chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7 TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa Elimu waliyonayo sio relevant na level zao. Ukitaka kuamini...
  2. Hivi inawezekana mtu akawa wa kwanza kwenye usaili wa kuandika wa utumishi halafu asiitwe kazini

    Kama kichwa kinavyojieleza, Nina mpwa wangu naishi naye alifanya usaili utumishi kwa kada ya sheria. Katika mtihani wake alibahatika kupata 90/100 akaibuka wa kwanza kwenye mtihani wa kuandika. Lakini cha ajabu mpaka sasa hajaitwa kazini. Tumekua nawasiwasi labda alitudanganya. Hivi...
  3. Watanzania wengi hawajui kuandika, lakini wao hujidhania wanajua

    Hebu andika sentensi ya maneno kumi tuone uwezo wako wa kuandika Kiswahili.
  4. Rukwa: Zaidi ya Wanafunzi 24,000 hawajui Kusoma, Kuandika na Kuhesabu

    Kwa mujibu wa Afisa Elimu Mkoa, Samson Hango, Idadi hiyo ni kati ya Wanafunzi 300,000 waliopo Darasa la Kwanza hadi la 7 kutoka Shule za Msingi za Mkoa wote. Takwimu hizo zilikusanywa Desemba 2022 kupitia Mpango wa Serikali wa 'Shule Bora' unaofadhiliwa na UK Aid kwenye mikoa 9 ya Tanzania...
  5. L

    Wenzhou, Zhejiang China: Wanafunzi wa kigeni wajifunza kuandika neno "Fu" ili kusherehekea mwaka mpya wa jadi wa China

    Januari 19, huko Wenzhou, mkoa wa Zhejiang, China, katika makazi ya Luyuan, Wilaya ya Lucheng, wakazi waliwafundisha wanafunzi wa kigeni kuandika neno "Fu" (linamaanisha "baraka" katika lugha ya Kichina) ili kusherehekea sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China.
  6. H

    Tukutane hapa, Tunaotarajia kufanya usaili wa kuandika kada ya MTAKWIMU DARAJA LA PILI, mwajiri MDA's & LGA's.

    Msaada wa aina ya maswali ya usaili kada ya takwimu. Tusaidiane hapa material ya kusoma na topics za kujiandaa.
  7. Karibu Bright and Genius Editors upate huduma bora

    BRIGHTING AND GENIUS EDITORS TUNAANDIKA NA KUHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO: Business Proposal/Plan Katiba za Vikundi Cover Letter na CV/Resume Website Content Barua za Wadhamini Study Plan na Statement of Purpose Personal Statement Mikataba LAKINI PIA TUNAHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO: 9. Thesis...
  8. M

    Wakuu wa freelancer naomba mnisaidie kuandika proposal

  9. Jifunze namna ya kuandika Business Plan

    Tar 7-8/01/2023 saa 3-9 jion Arusha, Maji ya chai, mafunzo namna ya kuandika BUSINESS PLAN kwa ajili ya ufugaji wa Kuku wa Nyama, Mayai na wa kienyeji, lengo ni kukusaidia kuwa na uwezo wa kuandika mchanganuo wa mkopo. Mahali: Arusha Maji ya chai. Mafunzo ni bure. 0788811136
  10. Anayeweza kuandika bussiness Loan Proposal kali anione

    Kichwa cha habari chajieleza inahitajika anayeweza andaa loan proposal kali amcheki muhusika whatsapp 0658285874 na ofa yake.
  11. Ni sawa mwanafunzi kamaliza form 6 hajui hata kuandika "hello world" ila anategemea kusomea computer science / engineering kutamfanya awe nondo ?

    Maeneo ya kazini huwa kuna madogo wa chuoni hapa nafahamiana nao wakiniletea kazi za viti, vitanda, meza, n.k. Sasa mwezi uliopita kwenye pirika pirika za vyuo kufungua katika story za hapa na pale kuna madogo walikuwa wanapiga story za ku code, kuna mwenzao alikuwa kamaliza certificate kaingia...
  12. Uzinduzi wa Jengo la Maalim Seif: Alberto na Jabir - Kalamu Zinazosema na Kuandika

    Hata kama hawakuweka majina yao sentensi zao zitakujulisha waandishi hawa. Kulia ni Jabir Ali na kushoto ni Ali "Alberto" Saleh. Hakuna asiyewajua watu hawa. Makala zao wasomaji hawazipiti lazima watazisoma. Waandishi hawa makala zao zinauza na kujenga gazeti na mwisho wa siku gazeti linapata...
  13. Kwanini nilinyanyua kalamu kuandika historia ya TANU?

    KWA NINI NILINYANYUA KALAMU? Naona ukumbi kama vile umejaa na kinachosubiriwa ni kuanza mazungumzo. Najiuliza mwenyewe kwa nini niliamua kuandika kitabu hicho hapo juu kueleza historia ya TANU ilhali tayari historia ya TANU mbayo ndiyo historia ya uhuru wa Tanganyika ilishaandikwa na Chuo Cha...
  14. Hili la Wabunge kujua kusoma na kuandika tu halitoshi, TZ tubadilike Dunia inatuacha nyuma

    Ukifuatilia siasa za Tanzania kuna mambo mengi sana yanachukuliwa poa lakini kiuhalisia yanaweza kuwa kikwazo cha Tanzania kutofanikiwa kwenye mambo mengi. Kuna jambo ambalo najua mimi sitakuwa wa kwanza kulizungumza, hili suala la Wabunge wetu kuwa sheria au niite kigezo cha kwanza lazima ajue...
  15. Ivory Coast yaunda simu maalum ya wasiojua kusoma na kuandika

    Simu hiyo mahiri inayofanya kazi kwa sauti inalenga soko kubwa ambalo halizingatiwi kutoka nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ambako mamilioni ya watu wanakabiliwa na changamoto za kutojua kusoma na kuandika Itatumia mfumo wa uendeshaji unaoitwa "Kone" ambao umeundwa na kampuni ya Cerco...
  16. Mkoa wa Mara washika nafasi ya 5 kwa wanafunzi wasiojua kusoma na kuandika

    Taarifa iiyotolewa Afisa Elimu wa Mkoa, Benjamin Oganga imeonesha pia kuwa mkoa huo umeshika nafasi ya 5 kitaifa kwa kuwa na wanafunzi wanaohitimu darasa la 7, bila kujua kusoma na kuandika. Oganga ameongeza kuwa ufatiliaji uliofanywa unaonesha ndani ya miaka mitano, wanafunzi 350,000 katika...
  17. Watu Milioni 771 duniani hawawezi kusoma na kuandika

    Kujua kusoma na kuandika bado ni inabaki kuwa ndoto kwa watu wengi duniani, ilihali elimu ni huduma ya msingi inayotolewa kwa wananchi ili kuwapa stadi na maarifa. Kwa mujibu wa Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la UNESCO, vijana/watu wazima milioni 771 hawana msingi wa kujua kusoma na...
  18. R

    Naombeni kufundishwa kuandika assembly language in 8086 Trainer kit

    Habar wakuu Mdogo wenu nshavurugwa huku nina 8086 Trainer kit sijui kuitumia kuandika assembly language program naweza kuzipata online shida ni kuziandika nifanyeje Shukran
  19. Wale tuliowahi kuwa na wapenzi wasiojua kusoma na kuandika tukutane hapa

    Habari za majukumu wadau, ni matumaini yangu kuwa wote tumeonesha uzalendo kwa kushiriki vizuri zoezi la sensa 2022. Dodoso za sensa zimenifanya nikumbuke visa nilivyowahi kukutana navyo kwenye mahusiano. Ilikuwa mwaka 2010 enzi hizo nilikuwa naishi Masaki, Haille Selassie Road(nyumbani)...
  20. S

    Hakuna haja ya kuandika Wosia kama Mahakama inaubatilisha

    Tunaaminishwa kwamba ili kuondoa migogoro ya kugombea mali za Marehemu ni muhimu kuandika wosia. Maana ya wosia: refers to the document written by a testator that details what is to happen to property owned by that testator upon death. Kwa mantiki hiyo wosia ni matakwa ya mwenye mali kuamua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…