Watu Milioni 771 duniani hawawezi kusoma na kuandika

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kujua kusoma na kuandika bado ni inabaki kuwa ndoto kwa watu wengi duniani, ilihali elimu ni huduma ya msingi inayotolewa kwa wananchi ili kuwapa stadi na maarifa.

Kwa mujibu wa Takwimu za Shirika la Umoja wa Mataifa la UNESCO, vijana/watu wazima milioni 771 hawana msingi wa kujua kusoma na kuandika, wengi wao wakiwa wasichana/wanawake.

Kutokujua kusoma na kuandika hufanya iwe ngumu kupata ujuzi, na hivyo kuwazuia watu kushiriki kikamilifu katika jamii zao.

======

Since 1967, International Literacy Day (ILD) celebrations have taken place annually around the world to remind the public of the importance of literacy as a matter of dignity and human rights, and to advance the literacy agenda towards a more literate and sustainable society.

Despite progress made, literacy challenges persist with at least 771 million young people and adults lacking basic literacy skills today.

Rapidly changing global context took a new meaning over the past years, hampering the progress of global literary efforts. In the aftermath of the pandemic, nearly 24 million learners might never return to formal education, out of which, 11 million are projected to be girls and young women. To ensure no one is left behind, we need to enrich and transform the existing learning spaces through an integrated approach and enable literacy learning in the perspective of lifelong learning.

This year’s International Literacy Day will be celebrated worldwide under the theme, Transforming Literacy Learning Spaces and will be an opportunity to rethink the fundamental importance of literacy learning spaces to build resilience and ensure quality, equitable, and inclusive education for all.
 
Hapo cha msingi ujue kutembea na kukimbia tu, hayo mengine tuwaachie wenyewe. :D:D
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom