kuandika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Black Bolt

    JamiiForums Tanzania White Board ya kuandika (For schoo/For personal) Bei 60,000 Tzs

    Nauza hii White Board unaweza kutumia kufundishia, kupangilia mipango yako, Progress, To do list nk Nakupa Makers zake na ufutio Bei 60,000 Tzs
  2. T

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Tanzania Daima linashindwa cha kuandika kwa mrengo wa kupinga linaishia kuipamba Serikali

    Hili ni gazeti lilijizolea umaarufu siku za nyuma kwa kuanika maovu mbalimbali ya watendaji wa serikali na chama tawala. Lakini Kwa sasa hali ni tofauti sana hakuna tena zile habari za kusisimua ambazo zilikua zikitufungua wananchi macho na maskio ili kujua mambo mbalimbali maovu yanayoendelea...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuandika kitabu kuelezea UDIKTETA wa Magufuli

    Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli. Na nikishauza kopi za...
  4. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Kaa mbali na Mwanamke asiyejua kuandika jina lake kwa usahihi

    Kaa mbali sana na mwanamke anayeandika jina lake kwa staili hii akiamini amelipatia - Mtu anaitwa Lilian yeye anajiandika Lilyan/Liliani au Lylyany. - Janeth yeye anaandika Janethi/Janeti/Janethy - Mary au Maria yeye anaandika Marry/Merri/Meli/Malia - Priscilla/Priscillah anaandika...
  5. heartbeats

    JamiiForums Tanzania iPhone6+ kuandika No service jinsi ya kufix

    Wakuu Nina iphone six plus ila ukiweka chip inaandika no service, ktk setting network inaandika not available Carrier pia not available
  6. Spaghetti

    JamiiForums Tanzania Jifunze namna ya kuandika mkataba kisheria unapouza au kununua

    MKATABA MZURI HUWA NA HAYA: ( a ) Lazima uwe na majina ya wahusika ambayo yatakuwa yameandikwa kwa urefu na kwa kueleweka.Mfano jina liwe Paschal Mayenge Archard. Epuka kuandika vifupi mfano P.M. Archard. Jina linatakiwa liwe katika ukamilifu wake na hasa pawe na majina matatu kamili. Pia...
  7. Brojust

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wangu juu ya biashara ya kuandika proposal inalipa 100%

    Habari za jioni wapambanaji, Nawasalimu kwa jina la jamuhuri. Mimi ni kijana mtafutaji, lakini tokea nipo chuo(Mzumbe) nilijikuta napenda tu kuandika proposal za biashara, kipindi hicho tulikuwa tunaandika wakati wa zile party za kukaribisha wanafunzi wapya maarufu kama freshers Bash. Basi...
  8. Amaru

    JamiiForums Tanzania WikiLeaks: Kikwete aliwaombea Jairo na January Makamba mafunzo US

    JK made a personal request to ambassador retzer for a management training of his closest aides, named january makamba and david jairo. This is why he hesitated remolving him from office. .and Requests Capacity-Building for State House Staff ---------------------------------------------...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi idadi ya wasiojua kusoma na kuandika inazidi kuongezeka nchini Tanzania

    Kulingana na UNESCO hadi mwaka 2015, kiwango cha watu wazima kusoma na kuandika cha ni 77.89% nchini Tanzania. Wakati kiwango cha wanaume kusoma na kuandika ni 83.2%, kwa wanawake ni 73.09%, kuonyesha pengo kati ya jinsia. Kwa mujibu wa taarifa nyingi zilizopo ni kwamba Tanzania imeshuka kwa...
  10. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Wanahabari 50 wa Tanzania kujifunza kuandika habari za fedha na biashara

    Taasisi ya Bloomberg Media Initiative Africa (BMIA) imetangaza kuanza kwa awamu ya pili ya programu ya mafunzo ya uandishi wa habari za fedha (FJT) kwa waandishi wa Tanzania. Mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha waandishi wa habari wa fedha na biashara kuandika habari za kina zinazohusu sekta...
  11. Edward Mangapi

    JamiiForums Tanzania SENSA 2022: Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini

    SENSA 2022 Nimefanikiwa kujaza form ya maombi ya kazi ya muda kwa ajiri ya kazi ya sensa 2022,lakini nimekosea kuandika majina ya mdhamini mmoja yaani jina la kwanza nimeliweka mwisho na jina la mwisho limekuwa la kwanza. nimejaribu ku log in kwenye account ili nifanye editing ya majina lakini...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Huku Kwetu Tanzania tuna Maprofesa Vyuo Vikuu hata Kuandika tu Kitabu cha Kurasa 10 wameshindwa, ila wanachojua ni Kujimwambafai tu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, amezungumza na kusaini kitabu cha Mtoto wa Kitanzania Ada Marie Kemilembe (9) mkazi wa Columbia, Maryland, alipokutana nae Jijini Washington DC Nchini Marekani. Taarifa: Ikulu Tanzania Asikudanganye Mtu ukizaliwa au kuishi...
  13. Gentleman96

    JamiiForums Tanzania Huruma malipo ya Uandikishaji Makazi Mkoa wa Mbeya

    DHURUMA MALIPO YA KUANDIKISHA POST CODE ............... (retweet hadi kwa waziri) Nasikitika kuandika kuhusu dhuruma iliofanyika Mbeya, zoezi la uandikishaji post code limefanyika Mkoa wa Mbeya na kwa wizi wa malipo kwa vijana waliofanya kazi. .. Baada ya matangazo ya kazi hiyo kutoka vijana...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Jumanne Kishimba: Asilimia 90 ya wataalam wetu wanajua kusoma na kuandika ila hawana maarifa

    Akichangia bungeni leo mbunge huyo wa kahama ameshangazwa na namna wataalamu wetu wanaacha mambo ya kuwasaidia wananchi na kuiga mambo na kufanya kwa kufuata mkumbo badala ya kutumia akili zao kufikiri namna ya kuwarahisishia maisha wananchi. Ametoa mfano wa baadhi ya mambo yanayofanywa bila...
  15. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Wahukumiwa kifungo cha nje miezi sita kwa kufanyiana usaili ulioratibiwa na Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma

    Mahakama ya Wilaya ya Dodoma imewatia hatiani waombaji kazi wawili Mabula Edward Kanga pamoja na Joel Johnson Kimatare baada ya kufanya udanganyifu wakati wa zoezi la usaili kwa nafasi za Uhandisi Ujenzi uliofanyika tarehe 08 Mei, 2021 katika Ukumbi Wa Chuo Kikuu cha UDOM. Kutokana na umakini...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kwanini Baba wa Taifa Mwalimu J.K. Nyerere hakunyanyua kalamu kuandika maisha yake?

    KWA NINI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE HAKUNYANYUA KALAMU KUANDIKA MAISHA YAKE? Naikumbuka siku hii kama jana vile. Niko nje ya mipaka ya Tanzania ni nyakati za usiku niko kwa rafiki yangu mmoja ambae ajabu sana yeye ananiambia kuwa aliona kitu katika maandishi yangu toka enzi...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kiingereza cha Watanzania wengi ni cha kuandika, kusoma na kuongea kwa kusoma maandishi. Tatizo ni kusikiliza, kuelewana na kuongea freely

    Kiingereza cha watanzania wengi kinawasaidia na kinaishia kwenye kuandika status, kuelewa kilichoandikwa kwa kiingereza mfano magazetini na pale kinapotumika kuongea kwa kufatiliza maneno ambayo yameshaandikwa kwa mpangilio kwamfano kutoa hotuba kwa kufatiliza speech iliyochapishwa kwenye...
  18. Acehood

    JamiiForums Tanzania Nafanya kazi ya kuandika (writing/copywriting), kutafsiri (translation), na editing "Freelancer"

    Ni matumaini yangu kuwa kila anayesoma uzi huu ni mzima wa afya. Mimi ni kijana, Nimehitimu mwaka jana (2021). Nina vifaa kama simu (smartphone) na kompyuta mpakato (laptop), vinavyoweza kuniwezesha kufanya kazi tajwa hapo awali yaani, writing/copywriting, translation na editing. Kwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umenifurahisha sana kwa maamuzi makubwa uliyofanya kwa maslahi mapana ya Taifa

    1.Mhe Rais naomba kuchukua Nafasi hii binafsi kukushukuru Kwa maamuzi makubwa uliyofanya Kwa maslahi mapana ya Taifa. Mimi ni mwana Chadema na siku zote msimamo wangu utabaki kuungana na wanaotenda haki na wanaostawisha Taifa na Dunia. 2. Mhe. Rais nina watoto na wajukuu, naamini wewe pia una...
  20. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Inaripotiwa kuwa vifo zaidi ya 7,000 hutokana na miandiko mibaya ya Madaktari

    Kulingana na tafiti ya the Institute of Medicine (IOM)- 2006, majeruhi 1.5 million kila mwaka hutokana na wafamasia, waudumu wa afya kushindwa kusoma maandiko ya madaktari. Vifo zaidi ya 7000 hutokana na mgonjwa kupatiwa dawa isiyo sahihi tofauti na maelezo ya madaktari. Muda mwingine hata...
Back
Top Bottom