kuandika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuandika taarifa za uongo gesti

  2. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Uzi Maalumu kwa Ajili ya Kujifunza Jinsi Ya Kuandika Prompt mbalimbali kuziweka kwenye Akili Mnemba

    Kabla ya Yote Thread Hii inahusu Prompt zote, Maandishi Ramani,vitabu,tafsiri , barua,uandishi, Utengenezaji wa Kila Kitu haijajikita Kwenye picha Peke yake.., Kwahiyo nawaomba Mod Wasiunganishe na Uzi wowote.. Nimeona Wengi tukisumbuka Kutengeneza Prompt mbalimbali Kwa Ajili ya Matumizi ya...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Usaili wa kuandika msaidizi maendeleo ya jamii daraja la pili

    Tafadhali mwenye maswali ya usahili utumishi msaidizi maendeleo ya jamii daraja la pili au whatsup group anisaidie
  4. R

    JamiiForums Tanzania Marais wa Tanzania, rekebisha tabia ya kuandika vitabu kukiri "unyama" mlio watendea wananchi mnapotoka madarakani . Tenda haki muwapo madarakani.

    1. Nyerere alikiri kuwa kosa kubwa alilolifanya ni kumnyonga Mwamwindi 2. Mwinyi................................................ 3. Mkapa akijutia mauaji ya Zanzibar 4. Kikwete.................................................................... 5...
  5. SwahiliScribe

    JamiiForums Tanzania Maandishi yananitesa kuandika

    Habari zenu wapendwa wanajukwaa. Nawasilisha, kama wewe ni mwanafunzi, mwalimu, au mtafiti anayekumbana na changamoto za kuandaa maandishi bora, basi usiwe na wasiwasi! Nimekuwa nikitoa msaada kwa watu mbalimbali katika kazi za maandishi, na niko tayari kusaidia hapa pia. Naweza kukusaidia...
  6. Heritage123

    JamiiForums Tanzania 🧠 JINSI YA KUANDIKA LANDING PAGE INAYOUZA (Step-by-Step)

    Landing page ni sehemu ya kwanza mteja anakutana nayo — kama mlango wa duka lako. Ukiwa boring au usioeleweka, hataingia ndani. Hii hapa ni formula ya kuandika landing page kali, inayo-convert kwa kutumia psychology ya mteja wa kibongo au wa mtandaoni: 1. HEADLINE YENYE KUKAMATA AKILI Hii ndio...
  7. sangaone98

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu jamaa huwa anatumia muda gani kuandika mistari yake sio kwa ufikirishi huu

    Heshima yenu wakuu, niende direct kwenye mada. Alizongwa na zimwi aliskika jirani akitoa hoja kwa kijiji, sababu ya kukosa elimu ya maambukizi walihisi kulogwa ndio tafsiri ya gonjwa la ukimwi. Huo ni ugonjwa jamani kama magonjwa mengine alisema mwalimu, Mwenyekiti alifoka na kumwambia kaa...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu

    Huu mfumo wa raisi akifa mtu ajitwalie madaraka ya aliye fariki kirahisi tu unaweza kuingiza mtu anayejua kusoma na kuandika tu. Huu mfumo wa kuiba kura na kuwa na tume isiyohuru unaweza kutuingizia watu wanaojua kusoma na kuandika tu. Kwahiyo kwa misingi hii mtegemee nini ? utaona mtu anauza...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dudubaya: Katiba imeruhusu kuwa na wabunge wajinga

    Msaani Dudubaya amesemea kwamba Katiba ya nchi imeruhusu mtu akijua kusoma na kuandika anaruhusia kugombea ubunge kitu ambacho kimezalisha wabunge wasiojuwa sheria na katiba. Ukijua kusoma na kuandika darasa la saba uwe ubunge kwa dunia ya sasa kwa sababu ubunge umekuwa ni biashara, jitu...
  10. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Hivi kujua kusoma na kuandika ndio sifa ya kitaaluma inayomtosha mtu kuwa Mbunge, katika Tanzania ya sasa?

    Tunapofikiria reforms za mifumo yetu ya uchaguzi, sisi kama wananchi ni vyema kwenda mbele zaidi ya agenda ya reform kama zinavyodaiwa na wanasiasa. Si puuzi umuhimu wa hoja za uenguaji wa wagombea, wizi wa kura na utangazaji wa matokeo batili, lakini hata kama yanayolalamikiwa yatabadilika...
  11. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Maburungutu ya pesa waliyopewa waandishi wa habari pale Oysterbay yamewachochea kuandika habari za CHADEMA

    Ni wazi waandishi wa habari hivi sasa hawaandiki habari wanazozipata kutoka upande wa uongozi wa CHADEMA ikiwemo mikutano ya No Reform No Election, wao habari kuu pekee wanayoiandika, ni kuhusu wanaohama Chadema kumfurahisha aliyewamwagia maburungutu ya pesa.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Afisa mazingira daraja la ii tunapaswa kusoma wapi angalau kuvuka usaili wa kuandika

    Naomba kujuzwa wapi tusome nafasi ya afisa mazingira daraja la II kwa ailiyewahi kufanya usaili kwenye hii kada
  13. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Leo na mimi nimeamua kuandika

    Wala sina mambo mengi zaidi ya kusema nampenda sana mke wangu Ester, huyo mtoto wa kichaga ananimaliza sana. Mungu akulinde sana Ester wangu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuandika hapa kuhusu jambo hili na leo limetokea

    Nilitowa ushauri itolewe elimu madhubuti kuhusu madhara ya kutochanja mbwa,kuacha mbwa wanazurula na iwe kampeni maalum.Nimeumia sana 😭😭😭 mtoto wa miaka 15 amefariki leo kutokana na kuumwa na mbwa wiki3 nyuma. Umasikini nao ni mbaya sana wazazi hawakuweza kumudu matibabu mfululizo wamempoteza...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Njia ipi Unatumia kuandika your code solution OOP(Object oriented Programing) vs FP(Functional Programing

    Nimeuliza hivi coz sio expert ktk Programing ila nina ufaham na nazid kuprogress ktk hii career na ni raha hiki kipind cha AI inafanya bugs kua rahis kusolve.. 😀😀 so Let's talk about it..
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi LATRA: Wanahabari tumieni kalamu vizuri kuandika habari zinazohusu Uchaguzi Mkuu

    Mkurugenzi Mkuu LATRA wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), CPA Habibu Suluo amewaasa Wanahabari kutumia kalamu zao vizuri kuandika habari zinazohusu uchaguzi mkuu na kuepuka habari zinazopotosha Jamii pamoja na kuandika kwa umahiri habari zinazohusu sekta ya usafiri nchini. Amesema...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuandika wakristo wakitawala kuna kuwa na uvunjifu wa haki. Naomba nifute kauli Ile.

    Hamjambo wote! Bado ninaendelea kujiuguza lakini naendelea vizuri. Miaka kadhaa iliyopita wakati wa JPM niliwahi kuandika kuwa anapotawala Kiongozi Mkristo nchi inakuwa kwenye Hali ngumu huku nikiwasifia na kuwapa nafasi waislam kama watu wanaojali na kupenda Haki. Nakiri Leo kuwa niliandika...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Usaili wa kuandika TRA uliofanyika tarehe tarehe 29 na 30 March 2025

    MAMLAKA YA MAPATO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA Dar es Salaam, 26 Aprili, 2025: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwataarifu wasailiwa wote waliofanya usaili wa kuandika tarehe 29 na 30 Machi, 2025 katika vituo tisa (9) vilivyokuwa vimeandaliwa hapa Nchini...
  19. technically

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Kabendera kuandika in the name of president part 2

    Unafiki wa waandishi wa Tanzania vibaraka wa wazungu ndio utauona hapa Sasa. Watu Kama kabendera sasahivi yupo kimya kwa sababu maslahi yake hayajaguswa!! Kabendera yanayotokea hayaoni hata kuandika Habari za uchunguzi juu ya utekaji kimya Yule jamaa aliyetekwa buza Yuko wapi mpaka leo? Ila...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kunamtu humu aliwahi kuandika Mbowe anafabya kazi na CCM na akasema hamtaamini ni miaka 2 sasa imepita

    Hakika kwa yanayoendelea naamini,toka amepigwa kwenye kura hakuwahi kuongelea Chadema wala kuhudhuria vikao,hata jana kwenda kumsalimu Lissu ni kujiosha tu nami nasema mtakuja kuamini msiyoamini. Hata wengi wanaopinga na mambo ndani ya chama ni watu waje wa karibu,wengine viongozi wenzake mf...
Back
Top Bottom