kuandika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Jamhuri halionekani leo mitaani baada ya kuandika habari za Warioba, kulikoni?

    GAZETI la JAMHURI lililokuwa na mwendelezo wa Mahojiano maalum na Mzee wa Warioba yaliyofanywa na Mhariri Manyerere Jackton bahati mbaya leo nimelitafuta kwenye meza za magazeti sijafanikiwa kuliona kulikoni? au limezuiliwa kutoka leo? Je mwendelezo wa mahojiano na Mzee Warioba yaliyokuwa...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba aliwahi kuandika uzi humu kuwa alipewa utajiri na majini kutoka uajemi na akasema wahindi wanakitabu cha namna ya kuwatumikisha watu weusi

    Jamaa mjanja sana baada ya huo uzi hajawaahi tena kuonekana na hicho kitabu hakuwahi kukisema, 😂😂 Jf is a mystery sometimes
  3. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia, hukuna ushirikiano atakaoupata kuandika Katiba mpya, kuleta maridhiano na hata Tume aliyoiunda itasusiwa na wananchi wengi

    Huo ndio ukweli mchungu. Mambo hayo yanaweza kupatikana ai kufanikiwa tu wakati Samia na watuhumiwa wenzake wakiwa wanajitetea ICC au teyari ni wafungwa katika magereza mbalimbali duniani na si vinginenyo.
  4. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Wananchi wameanza kuandika matangazo ya maandamano ya D9 njia zote

    Wananchi wameanza kuandika matangazo ya maandamano njia zote za kuingia maemeo ya Ibada ili kesho watu wasome matangazo
  5. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Nimekosea kuandika maelezo hapo, nimeandika maandamano, je inaweza kuniletea shida

    Mdogo wangu kaniomba pesa kidogo anunue matumizi kujiandaa na tarehe 9, Huwenda kukawa na Curfew. Nimemtumia Pesa kwa Njia ya Kibenki na maelezo hapo nimejisahau nimendika "MAANDAMANO" JE INAWEZA KUNILETEA SHIDA JAMANI?
  6. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Hatuwezi kuandika Katiba Mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba haijachomwa ipo kwenye ilani

    "Hatuwezi kuandika katiba mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba hajachomwa ipo kwenye ilani"
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama ulitumia hili Daftari shule ya msingi anza kuandika wosia

    GT. Lazima umri umeenda mda wowote malaika watakuita ukafurahi nao.
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuandika kuhusu PAPU taarifa zimeongezwa angalia mishahara yake

    Hizi karibuni nililalama kwamba TCRA ambao wametakiwa kupokea maombi ya ajira za PAPU hawajaweka details. Soma Hizi nafasi za kazi za PAPU zinazopitia TCRA hazina infomation za kutosha rekebisheni Nadhani Uzi wangu waliusoma na kuweka taarifa za nafasi hizo, sasa angalia mishahara ilivyo...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuandika hapa kumhusu Gerson Msigwa kuwa ni Mtu mwenye Umasikini wa Akili wa Kudumu sikueleweka, ila sasa naamini mmeshanielewa

    Niseme tu kuwa Gerson Msigwa anahitaji miaka zaidi ya 200 kuwa na IQ kubwa aliyonayo JamiiForums Founder Maxence Melo
  10. Setfree

    JamiiForums Tanzania JF-Expert members - mnaujua ukweli huu? Maneno yote tunayosema na kuandika, Mungu anayarekodi. This is serious!

    Mada hii ni maalum kwa ajili ya JF-Expert members. Kuanzia leo, tambua kuwa maneno unayo-post humu, licha ya kuhifadhiwa na servers za JF, yanatunzwa pia kwenye "servers" za mbinguni. Yesu mwenyewe alisema, “Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa maelezo kuhusu kila neno walilonena...
  11. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya CHADEMA Kuandika Barua UN, US, EU, AU, EAC ni sawa na kupaka rangi upepo.

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza mpango wa kuandika barua kwa mashirika ya kimataifa Umoja wa Mataifa (UN), Umoja wa Ulaya (EU), Marekani (US), Umoja wa Afrika (AU) na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kikilalamikia mifumo ya uchaguzi. Kulingana na Makamu Mwenyekiti wake...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kuandika hapa kwamba Polepole alikuwa anamtumia Sabaya kuleta "mizigo" kutoka Manyara, naona sasa mwanga unafunguka

    Nimeshindwa jinsi ya kuupata ule uzi niliweka hapa miaka kama mitatu imepita. Kwamba procurement officer wa mizigo alikuwa Sabaya. Ndio maana alijiamini sana ndugu Sabaya. Haya sasa, na inasemekana Harakaraka yuko waya mkali. Anakula booster kila siku
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna kabila lolote Tanzania lililowahi kubuni mfumo wake wa maandishi

    Katika makabila zaidi ya 120 Tanzania, lipo hata moja lililowahi kupata akili ya kugundua maanishi yanaweza kutumika kama njia mbadala ya kuongea maneno kwa mdomo ? Ni lugha ya maandishi, Sio kuchora au kuchonga vinyago
  14. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma ya kuandika CV na barua ya kikazi

    Natoa huduma ya kuandika CV na barua ya kikazi kwa gharama ya 10,000 Tsh. Mawasiliano: 0756704145 Napatikana: dar es salaam, mbezi
  15. G

    JamiiForums Tanzania Quran hii iliyoandikwa imetoka wapi wakati Muhammad hakujua kusoma wala kuandika?

    Quran Al-An'am 6:7 - Na lau tungeli kuteremshia kitabu cha karatasi, wakakigusa kwa mikono yao, wangeli sema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uchawi dhaahiri. JE, NI QURANI YA AINA GANI ILITEREMSWA KWA SABABU KITABU CHA KARATASI HAKIKUTOKA KWA ALLAH?? Hapa allah anathibitisha kuwa...
  16. TheGreatASA

    JamiiForums Tanzania Fulsa ya kuandika kwenye Website

    Hello wadau. Fulsa imetolewa bure ya kuandika kwenye website. Website hii ni engineering blog, wadau wote wenye interest ya kuandika na kutaka ku share mambo mbali mbali ya kitaaluma wanaweza kufanya hivyo. Wahandisi, wanafunzi wahandisi, na wengine wote wanaoweza kuandika maada yoyote...
  17. captain 21

    JamiiForums Tanzania Usahili wa Kuandika, Wizara ya Mambo ya Nje

    Mambo vipi wakuu!? Kwa yeyote ambae ameshawahi kufanya usahili wa kuandika Wizara ya Mambo ya Nje (Foreign Service Officer), maswali yao huwa yanatoka maeneo gani??
  18. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kuandika barua

    Habari za mchana wakubwa, Naomba kama kuna mtu ambae amesha Wahi kupata changamoto kama niliyo kutana nayo mimi anisaidie, kwa kifupi ni kwamba mimi Niko nchii jirani ya Zambia. Sasa kuna mdogo wangu alitaka kuja kunitembelea Baada ya kukamilisha taratibu zote za kupata hati ya kusafiria...
  19. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuandika Copy Kali Inayouza (Hata Kama Huna Degree ya Masoko)

    Watu hawasomi copy zako kwa sababu ni nzuri — wanasoma kwa sababu wanajihisi kama wewe unajua tatizo lao. Copy nzuri haizungumzii bidhaa. Inaingia kichwani kwa mteja, inamgusa rohoni, kisha inamsukuma kuchukua hatua kama mtu aliyelogwa. 🧩 Subtopic 1: Fahamu Unamwandikia Nani Maswali ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Nchi ya laana: why? Mbunge anayejua kusoma na kuandika 17,000,000/month, Tabibu (CO) laki 7! Mwalimu laki 4..............hala

    Nchi ya laana
Back
Top Bottom