kuandika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magical power

    JamiiForums Tanzania Ongeza mafanikio: Faida tano muhimu za kuandika namba 24 kwenye kiganja cha mkono.

    ONGEZA MAFANIKIO: FAIDA TANO MUHIMU ZA KUANDIKA NAMBA 24 KWENYE KIGANJA CHA MKONO. SEHEMU YA PILI. 👉Katika sehemu iliyo pita niliweka msingi wa awali ili kuweza kuelewa ni nini hiyo namba 24. Ule ulikua kama mwanzo tu na kuna baadhi ya watu walikurupuka kwenda kuchora namba 24 kwenye viganja*...
  2. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuanzisha thread kisha kuwa na zero replies?

    Ulishawahi kuandika uzi then ukawa na zero replies yaani hakuna mtu kajibu chochote? ulijisikiaje?😅😅😅😅
  3. Dialogist

    JamiiForums Tanzania Nimepata Tashtwiti Kuandika Juu Ya Usalama Barabarani Na Jeshi Letu La Polisi

    Wanabodi Habarini... Leo Nimesimamishwa Na Askari Wa Usalama Barabarani akwa Kosa La Kutofunga Mkanda. Nilipomuona Ananifata Nikajiongeze Kufunga Kumbe Kashaniona. Ikanibidi Nikiri Kosa Na Kuomba Kujirekebisha, Tukaongea Kikubwa Yakaisha. Swali Ambalo Nilijiuliza Na Hata Yeye Nilimuuliza...
  4. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Wale Tunaopenda Kuandika Ebu Pitieni Hapa

    Waandishi mambo vipi,hapa nazungumza na wale wote ambao huwa tunaandika humu jukwaani,iwe topic yoyote na mambo yoyote yale na hasa hasa wale wataalamu wa itaendelea Kwanza ifahamike kwamba ili msomaji apate hamu ya kusoma maandishi yako basi hakikisha unafuata kanuni za uandishi walau kwa...
  5. Abtali Mwerevu

    JamiiForums Tanzania Usaili wa Kuandika Ajira za Walimu Daraja la III C Maswali Gani Yataulizwa?

    Zimesalia siku mbili usaili wa walimu daraja la IIIC uanze. Hata hivyo, Daraja la IIIC ulishaanza kwa wale ambao masomo yao hayakuwa na usaili wa kuandika ila usaili wa mazungumzo pekee. Kwa wale wa usaili wa mazungumzo, mambo yanaanza tarehe 24/01/2025. Walimu wengi hawafahamu katika usaili...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Usaili Gaming Board Tanzania

    Nauliza kwa ambae amewai fanya usahili Gaming board Tanzania, written yao ni multiple choice au kuandika yaan maelezo mengi mengi au kwa mwenye idea huwa zinakuaje?
  7. Mrndumbarojl

    JamiiForums Tanzania Maswali ya usaili wa kuandika (Aptitude Test) Kada ya Elimu Masomo Yote

    *THE FOLLOWING ARE THE APTITUDE TEST PRACTICE FORMATS 1. THEY ARE SUBJECT-SPECIFIC Focusing on teaching methodology and application mastery assessments. To answer effectively, you should have subject-specific knowledge and be familiar with teaching pedagogical issues. 2. THEY ADHERE TO THE...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuendelee kuandika majina ya Mama kwenye mali zetu.

    Kama ulidhani mali zako zitakuwa salama ukiziandika kwa majina ya mama yako au ndugu mwingine, basi fikiria upya. Kuna madhara mengi unayoweza kuyapata ikiwepo kupoteza uhalali wa umiliki wa mali hizo. -------------------------------------------...
  9. Trainee

    JamiiForums Tanzania Hoteli na Migahawa ya siku hizi imekaa kimchongo sana yaani hawataki kuandika menyu kabisa!

    Kwanza enzi hizo tulizoea jina moja tu la hoteli. Hili neno mgahawa lilikuja kama jipya/geni hivi na tukazoea taratibu kwahiyo hapa nitatumia neno mgahawa au hoteli kumaanisha kitu kimoja. Sizungumzii makitu makubwa makubwa hapa nazungumzia vimigahawa vya kawaida vinavyopatikana uswahilini...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini baadhi ya Wazazi/Walezi Tanzania ukiuliza umeandika Wosia anaona kama unataka kumuua?

    Wakuu Hivi kwanini Tanzania ukimuuliza Mzazi au Mlezi umeandika Wosia? Anaona kama unataka kumuuwa vile, kumbe ni wajibu wake kuandika ili kuepusha usumbufu na migogoro hapo baadae.
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Guéhi aibua gumzo EPL baada ya kuandika 'I Love Jesus' kwenye kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde/LGBTQ+

    Beki wa kati wa Crystal Palace na England, Marc Guéhi huenda akachukuliwa hatua za kinidhamu na Shirikisho la Soka la Uingereza (FA) baada ya kuandika “I LOVE JESUS” kwenye kitambaa chake cha unahodha wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu dhidi ya Newcastle mchezo uliomalizika kwa sare ya 1-1...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuna watu Polisi wanajua kupindisha maelezo nadhani enzi za Hitler angewaajiri wamsaidie Joseph Goebbels kwenye kuandika propaganda!

    Yaani, katika kila tukio linalotokea, nadhani kuna watu huko Polisi ambao kazi yao ni kupindisha ukweli wa mambo kwa namna ambayo hata yule Joseph Goebbels, mkali wa propaganda wa Hitler, angewaonea wivu kwa namna ambavyo wanajua kupindua mambo! Hebu angalia hili tukio la Mgombea wa Chadema...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Chat gpt imenitimizia ndoto ya kuandika kitabu changu, sina haja ya kumlipa proof reader kusahisha makosa ya grammer / broken english

    Nilikuwa na ndoto ya muda mrefu sana ya kuandika kitabu changu cha taaluma niliyosomea, kuna somo nipo nondo vibaya mno !! Hofu yangu kubwa ilikuwa ni english kwenye mambo ya grammer, articles, prepositions, nk. Chat GPT imenipa confidence kubwa sana, nachofanya naandika kurasa moja au mbili...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe ukiwa chama cha upinzani unasahahu kusoma na kuandika

    Nimetafakali na kuwaza sana zaidi ya wagombea elfu 16 za wagombea wa vyama vya upinzani walikosea kujaza form. Cha ajabu form hizo ziliandikwa kwa k Swahili. Lakini cha ajabu CCM walijaza kwa ufasaha wote. Hii ndio sababu ya kuuliza hivi ukiingia champ chochote cha upinzani una sahahu hapo...
  15. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Nimejisikia tu kuandika hivi leo

    Mmetoka wote chuo, halafu unataka ukute kijana uliyekuwa unadate naye chuoni awe ana kila kitu kama nyumba, gari na kazi nzuri, mbona wewe huna? Kwani unataka kuolewa na baba yako? Angalieni Dream, Vision, ethics na discpline na mkaanze kupigana pamoja kujenga maisha yenu. Hao ambao mnawaona...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia Azizi Ki baada ya kufanyiwa sub alipanda gari na kuondoka hata kabla mechi haijaisha

    Hii inatoka kwa rafiki yangu mmoja shabiki wa Yanga lia lia ambae ameumizwa sana na matokeo ya leo utafikiri yeye ndio Injinia Hersi Said. (Anaepaswa kuumia ni Injinia Hersi sio wewe ambae hata Yanga hawakujui wala hunufaiki chochote na Yanga) Jamaa anasema Aziz Ki mara baada ya kufanyiwa...
  17. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Nimemkiliza huyu mwanasheria lakni ukweli sijaona shida yoyote ktk kuandika Mali zangu Kwa jina la mama.

    Wakuu Kila mmoja na mawazo msimamo na akili yake!. Sijaona point yoyote ya muhimu au kama kunasababu nyingine iongezwe, haijalishi mama atanidhulumu atakuwa amedhulumu Cha mwanae. Haijaliishi ndugu zangu wakagawana na Mali zangu Haina shida na ni jambo jema tu. Shida ni mwanamke achukue Mali...
  18. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa X (TWITTER) waifunga akaunti ya kiongozi wa kiislamu Ayatollah Khamenei, baada ya kuandika ujumbe wa kuikosoa Israel

    Mtandao wa kijamii wa X zamani (Twitter), umesimamisha na kuifungia akaunti ya lugha ya Kiebrania ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei. Hatua hiyo imekuja saa chache baada ya akaunti hiyo kutuma ujumbe unaosema, “Utawala wa Israel ulifanya makosa. Ulikosea katika...
  19. P

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tatizo la maji kwa nchi iliyobarikiwa vyanzo vingi kama Tanzania, linatatiza sana moyoni mwangu

    Maji ni muhimu sana kwa maisha ya viumbe hai. Sasa inapotokea huduma hii haipatikana tena kwa nchi iliyobarikiwa vyanzo vingi vya maji kama Tanzania, natatizika sana moyoni mwangu. Wenzangu watanzania weusi mliopewa dhamana ya kuzisimamia rasilimali za nchi hii basi niwaombe tu kuwa mtimize...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mkasome vitabu vya Kiswahili darasa la pili mpaka darasa la nne ili muweze kuandika na kuongea vizuri

    Hongera kwa watunzi wa vitabu, hongera kwa wahakiki . Vitabu vile vya Lugha ya Kiswahili darasa la pili mpaka darasa la nne vinatosha kabisa kufanya kumfanya mtu ajue kuzungumza na kuandika Kiswahili fasaha. Nyie ambao mnatia aibu hebu nendeni mkatafute hivyo vitabu viwatoe tongotongo. Ni...
Back
Top Bottom