kuamini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kabisa Rais hafahamu chochote kuhusu haya ya utekeaji? Hiki ni kipimo kizuri

    Wakuu, Kumekuwa na member wengi ambao wanaona na kusema kwamba haya ya utekaji, torture na mauwaji, mh Rais hafahamu chochote na wakaenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna hujuma dhidi yake. Nadhani kuna mambo kadhaa anayoweza kuyafafanya kama ni kweli hafahamu chochote kuhusu yanayoendelea na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kuamini kwamba hakuna binadamu kwenye mabilioni ya solar systems ni akili au matope??

    Mimi naamini wapo binadamu au at least viumbe wenye akili kwenye observable universe zilizo thousands of light years from the earth. Na swali langu ninalolitafiti mpaka leo: Imani juu ya asili ya ulimwengu ilianzia wapi? Wale wenzetu huko kwenye sayari zingine, what kind of faith do they...
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu

    Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu. Pia nyie wanawake mnaosema mtaendelea kuwakomesha Michopuko yetu kwa ulozi acheni Mara moja. Maana sio rahisi Mwanaume amuone Mwanamke Mrembo na amuache hivi hivi.
  4. adriz de mbusii

    JamiiForums Tanzania Video yafichua IDF kuua kwa makusudi watu wa Msaada : Bado tuendelee kuamini taarifa za Israel (IDF) kwa uongo wao uliofichuliwa ?

    Moja kwa moja. Kwanza kabisa niweke wazi kuwa Mimi sio Pro_Hamas wala Pro_Jews msimamo wangu kuhusu hii vita na yanayoendelea nimeelezea katika nyuzi hizi https://www.jamiiforums.com/threads/nawalaumu-sana-hamas-serikali-ya-israeli-pamoja-na-wale-wanaowaunga-mkono.2167817/ Mwingine...
  5. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Picha X-rays kali za kutisha ambazo ni ngumu kuamini

    Maisha ni safari ya ajabu, Hizi picha hapa chini sio za kuchora, ni matukio halisi yaliyotokea. 1. Mwaka 2020, msichana mmoja alipata ajali mbaya akiwa ndani ya gari huku miguu yake ikiwa juu ya dashboard. Ajali ilipotokea, mguu wake ulisukumwa kwenda nyuma vibaya na hii ni picha ya X-ray...
  6. DeepPond

    JamiiForums Tanzania Waafrika: Anayeabudu jiwe ili abarikiwe anamcheka anayeabudu mti Kwa kuamini atabarikiwa

    Wakuu, Utakuta Mwafrika anayesafiri kilometa za kutosha kwenda saudia arabia kusujudu lile jiwe jeusi "kimondo" ili abarikiwe, amekaa anamcheka anayevaa kipande Cha mti shingoni "rozali" kwa kuamini atabarikiwa. Ila Cha ajabu hao wote wawili wakikutana pamoja, Wanamcheka sana yule anaeabudu...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wazungu waliacha kuamini uchawi na kuua wachawi ? nini sababu ya kufutwa kwa Witch hunting ulaya na marekani ?

    Watu wakijipa muda zaidi na kusoma kuhusu history za uchawi hasa msako wa wachawi (Witch Hunts in the Western World) kwenye karne zilizopita ulikuaje na kwa nini kilisababisha msako huo usitishwe. pia wakasoma kuhusu msako wa wachawi uliotokea marekani pia maarufu kama The Salem Witch Hunt na...
  8. Now and then

    JamiiForums Tanzania Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli

    Nilianza kuamini uwepo wa Mungu baada ya kifo cha Magufuli. Maana watu walilalamika juu ya utawala mbovu Ila baadae Mungu aliamua kujibu Ahsante Mungu
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi wakristo Tunajua na kuamini vipi kama dhambi zetu zinasamehewa kweli?

    Enzi za Musa na manabii wengine na hata wafalme walikuwa wakikosea Mungu anawaadhibu palepale na kisha Nabii anaambiw na Mungu kuwa watu hawa wamefanya machukizo kadhaa wa kadhaa. Bali na yote walikuwa wanatoa sadaka na dhabihu za kuteketezwa. Na hapo Mungu aliwajibu kuwa dhambi zao...
  10. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Upuuzi, ushamba, kuamini watu wasio na elimu, utoto na imani za kishirikina zimeigharimu Yanga

    Yanga ni washamba kundi kubwa halina elimu (makomandoo, wanachama na mashabiki wao. Ushirikina Mzee mpili, Magoma na wazee wote Yanga) Ushhamba (Ali Kamwe, Manara, Hersi na Privaldinho), utoto na upuuzi mwingi Arafat, Hersi na wengine wengine wanaosapoti ujinga) Leo kwa aibu wanang'ang'ania...
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je kuna haja ya kuamini ukristo na uislam wakati vimejengwa kwenye uongo?

    Wanabodi, hakuna haja ya kuzungusha. Hakuna ubishi. Waanzilishi wa Ukristo na Uislam ni Yesu na Muhammad. Hakuna ubishi kuwa hakuna anayejua namna hawa waanzilishi walivyofanana wala kuwa. Hakuna ubishi, wakristo wana picha feki za wazungu waliomuigiza Yesu. Hakuna ubishi, waislam hata...
  12. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuamini kuwa wanawake wana roho mbaya na ubinafsi mkubwa sana

    kuna mke wa jirani yangu anaitwa mama D Huyu mama D nimemkuta anaishi na mtoto ambaye Ana umri 18+ huyu mtoto Ana undugu na mume wake . Sasa nimemtfutia Kazi huyu binti Kazi yenyewe atalipwa 300K Kwa mwezi Sasa mama D amekasirika hatari anadai huyo mtoto hafai na hiyo Kazi nimtafutie...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

    Sawa Erick Kabendera ameandika kwamba raisi Magufuli alimpiga risasi ya kichwa Ben Saanane pale Ikulu Dar es Salaam. Sasa ukitaka kujua umbumbumbu wa watu, ni pale mtu anaibuka tu na kusema Kabendera mwongo! Watu hata hawataki kuhoji taarifa hii Kabendera kaitoa wapi - japo ametaja wazi kuwa...
  14. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Watanzania huwa wepesi kuamini uzushi

    Mimi ni Mtanzania nalifahamu vizuri Taifa langu na haiba ya watu wake, moja ya tatizo kubwa la raia wa Kitanzania huwa ni wepesi sana Kuamini uzushi, jambo likisemwa wao hua wanalipokea kama lilivyo bila kulifanyia tafiti au kusikiliza upande mwengine unasemaje. Wanasiasa wanaocheza siasa za...
  15. Area 56

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea Chadema naanza kuamini wale Wabunge 19 wana baraka za Mbowe na chama kwa ujumla

    Wamehitahidi sana kutuzuga na kumlaumu Ndugai kuwabeba na kuwakumbatia Wabunge wanawake 19 kutoka Chadema almaarufu Covid 19. Muda ni mwalimu mzuri, Mbowe ni mnafki sana, alishalamba asali, akija kwetu wananchi anajifanya hajui lolote kumbe nyuma ya pazia alishalamba asali. Kwaa yanayoendelea...
  16. Scars

    JamiiForums Tanzania Je, kweli ni bora kuamini Mungu yupo halafu siku ya mwisho usimkute, kuliko kutoamini halafu ukamkuta?

    Makala hii nitaiweka kwa vipande kuepusha kero ya usomaji. Moja ya hoja maarufu kutoka kwa watu wanaoamini Mungu (Theists). Ni hoja ambayo imelenga kuweka matumaini ya mwelekeo katika maisha ili kuwafanya watu waone kuamini Mungu yupo ndio uchaguzi bora zaidi (rational) kwasababu haitakupa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Jaji Warioba: Tusidanganyike kuamini walioenguliwa hawakufuata masharti

    Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba akizungumza na wanahabari leo Jumatano Disemba 04, 2024, mkoani Dar es Salaam kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024 amesema: "Haiwezekani kwamba wananchi waamini kwamba walioenguliwa (Kwenye uchaguzi wa...
  18. Man Middo tz

    JamiiForums Tanzania Acha kuamini Furaha inapatikana kwenye mapenzi

    Acha kuamini kuwa ili uwe na furaha unahitaji mahusiano. Wakati mwingine unachohitaji ni kazi, pesa, na nguo mpya tu. #Madodi ✍🏼
  19. K

    JamiiForums Tanzania Unahitaji kuwa kilaza wa kiwango cha SGR kuamini kuwa Hayati Magufuli alipanga kuwa rais wa milele

    Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!. Uzuri wa...
  20. E

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ntakuwa wa Mwisho kuamini wagombea wa CHADEMA Serikali za mitaa wanaweza kujaza form za uteuzi kwa ufasaha

    TAMISEMI kipindi kingine angalieni namna ya kuwasaidia kujaza form wapinzani. Ukiangalia tu elimu ya Mwenyekiti, uje kwa viongozi wa kanda unaweza pata picha mgombea wa kitongoji au mtaa
Back
Top Bottom