Hapa tulisema kuwa wengine sio manabii ila tunaona mbali sana. Kitendo cha CHADEMA kususia uchaguzi ni 'suicidal mission' kwao lakini hawakuelewa.
Kitendo cha Heche kusema uchaguzi haukuwa huru kimejaa majuto sana ,wanatamani muda urudi nyuma wafanye maamuzi sahihi. Unawezaje kukosoa kitu...
Hii inchi ilikuwepo kabla ya ccm na TANU hivyo itaendelea kuwepo hata ccm itakapokua imekufa kabisa, maana sasa iko ICU ikishikiliwa na vyombo vya dola.
Hivyo, ni kosa kwa ccm kuamini kwamba wao ndio wamiliki wa Tanzania na vyote vilivyomo. Na hivyo kujifanyia wanavyotaka hadi kuvuruga...
Wazee hili swala la Makaburi ya watu ya pamoja ni tuhuma nzito sana. Labda itokee tu serikali (inasingiziwa). Kwamba watu wauliwe ,then ili kupoteza ushahidi wa idadi ya watu mnawazika kwenye makaburi ya pamoja kwa siri itakuwa one of the big Mistake ever committed. Watu wangerudishiwa miili...
Kwa nchi za nje kuna huduma maalum za hitmen, hawa ni kazi zao rasmi kabisa
Ila kwa Tanzania haya mambo bado sana, labda iwe kwa matajiri walio connected lakini kwa asilimia kubwa haya matukio na kesi za kutumiwa majambazi ukichunguza kwa karibu huwa ni wanafamilia au ndugu.
Bado nafanya uchambuzi wangu kumhusu huyu Lucas Mwashambwa khasa baada ya kuendelea kutoa mada zake mbili baada ya kuapishwa waziri mkuu Mwigulu Nchemba na baada ya hotuba ya raisi mteule aliepatiana kwa wizi wa kura Samia Hassan.
Moja ya mada zake mbili za hivi karibuni ni hii ya leo alotoa...
Hivi kweli polisi wetu ni binadamu au mashetani yenye sura za binadamu? Natamani nao walipwe hivyo hivyo na si kwa kungojea Mungu bali kuwalipizia kisasi bila kujali nani alihusika wala hakuhusika. Sijui kama hawa viumbe wanastahili kuishi hata sekunde moja.
Mungu alimwahidi Ibrahimu akisema: “Nitawabariki wakubarikio, na atakayekulaani nitamlaani” (Mwanzo 12:3). Kauli hii haikubaki historia tu, inajidhihirisha mpaka leo kwa mataifa na watu binafsi.
Marekani ni mfano wa taifa la watu waliobarikiwa kwa sababu wanaiunga mkono Israeli. Tangu...
Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya.
Inakuwaje chadema inakuwa na...
Habarini,
Mwafrika yoyote aliyesoma kweli na kujitambua lazima keshaelewa kuwa uislama na ukristo ni uongo kulingana na malengo na hasara zake kwa waafrika ikiwepo kupiteza asili na utamaduni wa Waafrika wa ukweli ktk kuabudu na kuamini.
Hivi kweli inawezekanaje mtu amesoma kuanzia la kwanza...
Baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ile mwaka 2021, kuna uzi niliuanzisha nikihoji kifo chake.
Uzi wenyewe ni huu hapa:
https://www.jamiiforums.com/threads/fixed.1847493/
Nilihoji kwa kutumia hisia tu maana sikuwa na ushahidi wowote ule.
Ila sasa nimeanza kuipata picha jinsi ilivyo baada...
Ni uvivu tu wa kufikiri na kutambua kuwa KUAMINI kitu ni mashaka badala yake ni KUJUA ni kujua kitu.
Waafrika wengi wamepotoshwa kuwa kuna kumwamini yesu na muhamadi ambao ni njia ya kwenda kwa Mungu.
Inakuaje uamini kitu ambacho hukijui iwapo tunaamini kuna kufa kwa sababu tunajua watu...
Ndivyo ilivyo JK mambo yake yanaenda wala hajali na ya wahuni wenzake nao mambo yao yanaenda hivyo wahuni wameshikamana na wamekuwa na nguvu na wakiachwa wakajijenga zaidi hali itakuwa mbaya zaidi kuja kuirudisha nchi kwenye mfumo wa kutawalika vizuri
GT
CCM minds zao ziko corrupted kiasi kwamba hawawezi kuona hatari mbele hata mambo madogo madogo..huku kwenye social media watu wenye Ubongo wao na kuoana mbali ndo wamejaa siyo hao wachunga ng'ombe mnaowakusnaya majukawaani kwa malori.
Mpaka dakika hii huwa najiuliza hii NRNE ina mwaka mzima...
Salute to you all hustlers .....
Direct to the topic,
Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k.
Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka kwenye familia hizo kiuhalisia hawawezi kunielewa ni sawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi hawawezi...
ccm
hali
hali mbaya
hizi
katika
kesho
kuamini
makini
maslahi
mbaya
msimu
njia
siasa
siasa za ccm
taifa
vijana
vyama
vyama pinzani
wanaharakati
wanasiasa
CCM wamekuwa wakijigamba kwamba nchi wameitoa mbali, wameleta maendeleo. Upande wa upinzani wanasema nchi imekuwa ya hovyo kabisa ni afadhali mkoloni. Sasa mimi naweka ushahidi wote hapa kuunga mkono hoja za Chadema.
Wadau hili jambo linatia hasira sana pamoja na kuogopesha kabisa. Raisi atakayeipokea hii nchi atakuwa na wakati mgumu sana.
Kabla ya kusomwa hii bajeti Chadema walipigwa stop kwa sababu wangeeneza habari hizi kwa wananchi nakuwatia uchungu mkubwa sana. Maana hata matumizi yake hayaeleweki...
Inaweza ikakushangaza lakini huu ndio ukweli wenyewe.
Katika jamii zetu za kiafrika wanawake walio wengi wanakuwa hawapo tayari kushiriki tendo pasipo ahadi ya kupewa pesa au zawadi fulani.
Yaani ili mwanamke akupe tendo basi ni lazma utoe kitu flani.
Hali hii inafanya wanaume wengi kuamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.