kuachana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nduza

    Ewura: Bei ya gesi ya kupikia imepanda kwa kati ya Tsh 2000 hadi 5000 kutokana na kupanda kwenye soko la dunia

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupanda kwa bei ya Gesi ya kupikia kwa kati ya Tsh. 2,000 hadi Tsh. 5,000 kulingana na ujazo wa Mtungi Mabadiliko ya bei hizo ni kutokana na kupanda kwa bei ya Gesi katika Soko la Dunia. EWURA imesema kampuni za Gesi ndizo zitaamua lini...
  2. Mtoto wa nzi

    Katika yale Mapambano ya Kuachana na Ulevi

    Nimefanikiwa kuacha kunywa bia Balimi , Safari na kuvuta fegeree embassy na sportsman .. Nimebaki njia kuu ni KONYAGI NA BANGI tu ... Na nnaona nnaenda vizuri ... Konyagi ipo njiani kuachwa ila bangi sitoacha kamwe .
  3. kyagata

    Ex wako anapokuwekea FBI wakuchunguze, anakua na maana gani?

    Habari wapendwa? Mfano, wewe na aliyekuwa mpenzi wako mmeachana, lakini cha ajabu huyo ex wako anakuwekea mashushushu(FBI) wakufuatilie nyendo zako, inakua na maana gani hii wakuu?
  4. Action and Reaction

    Mungu anachukia wanandoa kuachana

    Siku za leo neno kuachana kwenye ndoa kimekuwa kitu cha kawaida sana na isitoshe mpaka baadhi ya watumishi wa Mungu kuhalalisha kabisa na kuruhusu hili swala. Kwa kwale linaniumiza moyo sana. Sasa ndugu zangu Mungu hapendi hali hiyo pamoja na watumishi wake kuruhusu iwe kwa talaka au pasipo...
  5. K

    Nataka kuachana na Mwanamke niliyemtolea mahari

    Mimi ni kijana umri Miaka 28. Naishi Dar es Salaam. Baada ya kupata shauku kuoa niliamua kusafiri na kurudi kijijini kwetu ambako wazazi wanaishi. Nilifanya uchunguzi kwa binti kadhaa waliokuwepo kijijini. Kutokana na Mimi kutokuwepo kijijini kwa Muda mrefu ilikuwa ngumu kujua yupi ni mtu...
  6. EL ELYON

    Baada ya kuachana naye amekuwa msumbufu

    Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana. Leo naendelea na kisa cha aliyekuwa mwanamke wangu muha WA kigoma. Sasa RASMI niliamua kuondoka zangu nakumbuka niliamka alfajiri Sana kujiandaa maana nilikuwa nalala sebuleni tena chini nimetandika godoro yea alikuwa analala chumbani...
  7. M

    SoC01 Sababu za watu kuwa walevi wa Pombe, namna ya kuachana na tabia hiyo na faida za kutokunywa Pombe?

    Utangulizi: Ulevi wa pombe limekuwa ni janga linaloitafuna sana jamii yetu kutokana na kusababisha matatizo mengine mengi zaidi ikiwemo umaskini, migogoro kwenye ndoa, ugomvi na hata mauwaji, watu kufukuzwa kazi , matatizo ya kiafya na mengineyo mengi. Pamoja na matatizo yote hayo lakini bado...
  8. WOLF SEPTICEMIA

    Nimesamehe lakini sitasahau

    Hodi wakuu! Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru Mungu nilifanikiwa, taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa...
  9. Noel wa ruben

    Nimenasa kwenye ulimbo wa ndoa natamani kutoka nashindwa

    Mimi ni kijana ambaye tayari nina miaka 30, nilifunga ndoa yangu mwaka 2019. Ndoa yangu imekuwa ya furaha kwa miezi 6 pekee baaada ya hapo mambo yaliharibika na sijui ni kwanini. Nakumbuka siku moja natoka zangu kazini namkuta wife kajamu, nilipouliza kulikoni sikupata jibu, kuanzia hapo hatuna...
  10. HUKU ABROAD

    Cha kufanya baada ya kuachana na mpenzi wako

    Ukweli ni kwamba mkiachana. Sio kwamba mmeachana. Ni kama mme pumzishana Sasa akitokea ni mwanamke ameringa kabisa Cha kufanya 1. FUTA namba yake ya What's App asione Picha zako 2. Kama ulimfollow . Mu unfollow chap chap alafu mblock 3. Kama ulikua na mchongo una. Fanya, utaona pole pole...
  11. M

    Hawa ndiyo Wachawi namba Moja wa kuifanya Yanga SC isifanikiwe; wajitahidi Kuachana nao kabla hali haijawa mbaya zaidi Kwao

    Ni Mpumbavu tu pekee kwa Maandalizi hafifu ya Yanga SC kuelekea Mechi yao ya leo ya CAF CL dhidi ya Rivers United FC ndiyo alijua kuwa ingeshinda. Ila kwa tuliocheza Mpira, tunaoujua vyema Mpira na tumebobea vyema katika Sayansi na Sanaa ya Mpira na Wachambuzi Binafsi wa Soka la Tanzania na...
  12. Twyn

    Anasema mpeane ”break time“ ina-make sense kweli?

    Mfano mwanamke wako anakuambia msiwasiliane kwa muda, anasema mpeane” break time “ ina make sense kweli?
  13. Kilenzi _Jr

    Wakati gani wa kuachana na Mahusiano yanayokuweka roho juu?

    Kuachana na mpenzi uliyetumai atakuwa mwenza wa maisha siyo jambo rahisi. Lakini vipi mahusiano yanapopitia mawimbi yasiyo na mwisho. Dharau, vipigo, kuvunjiana heshima au hata usaliti. Bila shaka ni sharti kuwe na mstari mwekundu kwenye mahusiano. Ama sivyo?
  14. Kasomi

    Ulirudisha au kurudishiwa vitu mlipoachana?

    Hakuna kitu kinaumiza kama mkiachana harafu mwenzio alete madoido. Je, wewe ilikuwaje mlivyo achana. Rejea STAN BAKORA alicho sema yeye.
  15. incredible terminator

    Ku - date na mabinti wa 18-28 ni mateso tupu hamna furaha kabisa

    Habari wakuu, Kwa uzoefu nilioupata kutokana na kupitia mahusiano mbalimbali hatimae leo nimeona nilete hitimisho kuwa kudate na mabinti hakuna furaha kabisa, yaani hawa watoto maisha yao katika mahusiano yamejaa vioja na mateso chungu nzima, yaani ni mahusiano ya wasiwasi tupu, Kwanza haupati...
  16. EL ELYON

    Kuachana si uadui

    Habari za wkend wakuu hongereni kwa kuchanjwa pia kukubali tozo ya kizalendo Wakati nmemalza chuo nilianza kuishi na mdada ambaye tulimalza mwaka mmoja lakini vyuo tofauti Tulifanikiwa kupata watoto wawili mmoja WA kike na WA pili WA kiume ( marehemu ) Kiukweli Dada nilimpenda sn ingawa yeye...
  17. Semahengere

    Nahitaji mwenza wa kike aliyeko serious

    Salaam! Mimi ni kijana wa 44 years Mjasiriamali Niko Arusha Nimekaa kwenye ndoa miaka 16 ila ilikuwa ni ndoa yenye vioja vingi sana Na hatimaye tukaachana rasmi Nina watoto 3 Maisha yangu ni ya uchumi wa kati kama Tanzania vile Nahitaji Dada mzuri wa umri wa si chini ya 30 - 40 Asiwe Mchaga...
  18. M

    Hivi hapa nina haja ya kuendelea na mahusiano au nijiongeze

    Wadau nina demu wangu tuna kama miez 6 sasa alisafiri kwenda mkoa kikazi! Siku moja kabla ya kuja mjini alinipa taarifa kuwa anakuja na kuniomba nimfate stend nikampokee. Ila alipokuwa njiani tuliwasiliana kama mara 2 Tatizo ni kwamba muda aliokaribia kufika simu yake kila ukimpigia inatumika...
  19. Dam55

    Ungekuwa wewe ungemshauri nini huyu dada?

    Habari Kaka, mimi ni Mama wa watoto wawili, nimeolewa ndoa yangu ina miaka 7 sasa, mwkaa jana nilikorofishana na mume wangu, nilimfumania na dada wa kazi. KutoKana na kunidhalilisha nilichukua jukumu la kuondoka ili kumuacha, lakini alikuja kuomba msamaha nikamsamehe, lakini nilishindwa...
  20. K

    Anataka Kuachana na Ualimu kwa ajili ya Kazi hii

    Wasalaam. Nina mdogo wangu hapa, ni mwajiriwa wa Serikali mwalimu sekondari kazi aliyoifanya karibia miaka 6 na juzi kapanda hadi daraja. Aliomba kazi UKaid na wamemwita kwenye interview mshahara ni 1m+, kwenye ualimu bado hajafikia hiyo pesa. Unamshauri nini? Aachane na hii ya serikali?
Back
Top Bottom