Ulirudisha au kurudishiwa vitu mlipoachana?

Hua simpi mwanamke kitu cha maana kwahiyo ata tukiachana hamna cha kurudisha.
Wewe una protocol kama yangu.
Huwa nampa mwanamke vitu vyenye thamani ndogo ambavyo hata tukiachana haviniumizi.
Mwanamke usimnunulie vitu vyenye thamani kubwa kama kiwanja,nyumba,gari kwani baadae mkiachana utaumia sana ukimuona anatanulia na wanaume wengine.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Huo ni umasikini na kua na roho mbaya kwani kuachana nikama ajali nikama kufa, huwezi kukata kujenga nyumba yako kwa kwasabb eti utakufa
 
Hivi mpaka mtu unafikia kumnunulia mwanamke gari, nyumba nk anakua amekupa nini hasa chenye thamani kiasi hicho? Aisee mimi bado sijakutana na mwanamke wa kumhonga hata simu tu..😂😂
 
Hivi mpaka mtu unafikia kumnunulia mwanamke gari, nyumba nk anakua amekupa nini hasa chenye thamani kiasi hicho? Aisee mimi bado sijakutana na mwanamke wa kumhonga hata simu tu..
Mkuu iko hivi,mapenzi huwa yanaanzia kwenye saikolojia yako.
Yaani unampata manzi halafu unamuelewa kinyama anapita kwenye njia zako unazotaka wewe yaani inakuwa kama alikutabiri vile.
Hapo ndio unaanza kumuonyesha upendo kupitiliza hadi watu wanasema umerogwa lakini huwaelewi kabisa upo tayari kwa lolote hata undugu ufe potelea mbali

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Huo ni umasikini na kua na roho mbaya kwani kuachana nikama ajali nikama kufa, huwezi kukata kujenga nyumba yako kwa kwasabb eti utakufa
Na mwanamke unayemjengea nyumba kisha baadae anakukimbia na kwenda kuitumia na mwanaume mwingine hiyo sio roho mbaya?
Tena hii ndio unaweza kufa kabisa kwa presha

Back
Top Bottom