Nimesamehe lakini sitasahau

WOLF SEPTICEMIA

Senior Member
Dec 11, 2017
168
102
Hodi wakuu!

Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru Mungu nilifanikiwa, taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye!

Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.

Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae!

Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake, je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie?

Je wanawake wakweli wapo wapi? Au ndo utandawazi huu!

Nawasilisha.
 
UNAOKOTA MALAYA HUMU ASOJITAMBUA, ANAKUENDESHA WEEE, UNAVUMILIA.

UMEFANIKIWA KUMUACHA ,ALAFU ANAKUJA KUKULETEA UMALAYA WAKE WAZIWAZI

"ET ANAOMBA HELA ZA SHULE?"


HILO DUBWASHA LIMEKUONA WEWE NI BWEGEEE JINGAAAA FALAAAAAA



Baada ya Miezi kadhaaa ya kuachanaa...simu inapigwa



Dubwasha.... Halo

Robert ......Halo mambo

Dubwasha.... Poa my zasiku

Robert .... Nzuri tu ,niambie

Dubwasha.... My sorry ila jamaan ninashida na hela ya kumpeleka mtoto shule

Robert....mmmhhh sawa lkn unakumbuka ulivyonitenda..mimi nilikua nakupenda sanaaa, nmekujali mnooo, yaan nilitaka ujione wee ni malaika lkn mmmhh

Dubwasha.... Jamaan My hayo tuyaache

Robert...poa ngoja nitaangalia alafu nitakujuza.( huki kichwan akiwaza kua demu akija kufata helaa, atampa na mbususu ajipigiee) ..........

Dubwasha... Anajisemea ( Bwege weweee nakuja nikiwa hedhi)

Mimi Carlos The Jackal nikifanya Analysis ya hayo mazungumzo nakuja namambo haya

Robert toka atemane na demu, hajawahi kutia hata siku moja.

Robert ..sio tu aliacha, bali aliacha kwa sababu demu aliimiza sana kuachanaaa nahii nibaada ya Mwenye mtoto kumwambia achika, uje tulee mtoto.

Robert ..ni wanaume madome zege, kutongoza ni waoga..ndio maana aLitafuta mwanamke humu JF.

Robert anaweza kua kila mwanamke alokua naye alimkimbia .

Robert sio kwamba aliamua kutafuta mwanamke humu ,hata kama anamtoto yeye anabeba, sio kwasababu ana UPENDO bali hakua na chaguo jingine.

Demu alikua na stress nyingi za maisha, kuwaza kulea mtoto, maisha magumu sanaa kula, kuvaaaa ( enzi hizo vyuma vilikaza)

Demu ni kanamke ivi kembamkemba kana micheruko sio ya nchii hiii, yaan ni tulw tudemu tinavyoshindia chips au chai ya asubuhi, lkn kamejaza CD za tamthiliya na remote kanashikilia masaa 24.

Demu alikua anampelekesha humo ndani.

Kwa haya machache niseme kua, DEMU NI KIBOKO YA ROBERT...

ILA KWA WANAUME KAMA SISI..DEMU NI KAMALAYA KAMOJA KAPUMBAVU KAMEJAZA PUMBA KICHWANI.
 
Ukiamua kusonga mbele, vunja madaraja yaliyoko nyuma yako. Baba halali wa mtoto alipe ada na matunzo. Sio vinginevyo!

Lakini pia wewe nae ugangamale asee. Umekua dhaifu mpaka mkeo wa ndoa anakuambia usimsumbue kwenye simu eti "anaenda kwa wanaume". Huo ni ufala.

Man up, and have a nice day!
 
Mkuu umemaindi balaa lakin kama ataelewa na aelewe
LIJAMAA LIMENIUDHI MNOOO, NMEUMIAA , NATAMAN HILO DUBWASHA LAKE NDIO LINGEKUTANA NAMM!

KWA HAKIKA LINGEJUTA 7 MARA 70

HUWEZ KUTA MWANAUME WA KANDA YA ZIWA, ANAHANGAIKA HIVI

YAAN NILIKUA TWITA NAFATILIA KESI YA MBOWEE

NIKASEMA NIINGIE JF..LA HAULAAAA NAKUTANA NA LIJIUZI LIMENICHAFUAAA ,NASIJUI SIKU YANGU KAZIN LEO ITAISHIJE
 
Wewe ni mpumbavu , msengee kabisa maninaa


UNAOKOTA MALAYA HUMU ASOJITAMBUA, ANAKUENDESHA WEEE, UNAVUMILIA.

UMEFANIKIWA KUMUACHA ,ALAFU ANAKUJA KUKULETEA UMALAYA WAKE WAZIWAZI

"ET ANAOMBA HELA ZA SHULE?"


HILO DUBWASHA LIMEKUONA WEWE NI BWEGEEE JINGAAAA FALAAAAAA
Haya Matusi naona hayajamtosha! Anastahili kutukanwa Matusi mazito zaidi ya haya Aisee...

Huyo mwanamke ana uchi unaondosha ute ute wa dhahabu?
 
KUNA MIZIGO, ILISHAJICHOKEA ,IKO MITANDAONI KUTAFUTA PAKUMZIKIA.

LIKISHAPATA, BAAI KWAKO NI KULA, KULALA, KUVAA, KUISHI.

LKN HALIACHI TABIA YAKE ILE YA MWANZO

HALIJITAMBUI, NI MBUMBUMBUUUUU YAAN TOPE KICHWAN ,LIMEJAZA KAMASI KICHWANI.

DUBWASHA LA AINA HIYO, USILICHEKEE HATA KIDOGO ETI KISA NI LIJIKE .

KUA MWANAMKE, HAKUMPI UHALALI WA YEYE KUSAMEHEWA HATA KATIKA MAUJINGA YAKE YA KIPUMBAVU.
 
Umegeuzwa bwege... Asee hajakulisha limbwata !? Hiyo kizaramo inaitwa midabwada
Hapo cha kufanya usimhudumie mpaka afungue mashtaka panapohusika. Huko ndo ataenda kusema ukweli ukamfunga yeye na atakapopata wa kumshauri afungue genge. Broh mke hatafutwi hivyooo... Mitandaoni humu
 
Haya Matusi naona hayajamtosha! Anastahili kutukanwa Matusi mazito zaidi ya haya Aisee...

Huyo mwanamke ana uchi unaondosha ute ute wa dhahabu?
SINDO HAPO MKUU, YAAN K ?? K ZILIVYOJAAA HIVI DUNIAN PANDE ZOTE ZA DUNIA ???

HATA KAMA K YAKE INADONDOSHA DHAHABU.

AISEEEE, MWANAMKE LAZIMA AKUHESHIMU, YAAAN MWANAMKE NI LAZIMA, NASEMA NI LAZIMA AKUHESHIMU , UWE HAI, UWE UMEKUFA, LAZIMA AKUHESHIMU KWELIKWELI

" ET LEO NAENDA KWA BWAN"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom