Katika yale Mapambano ya Kuachana na Ulevi

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
9,080
16,342
Nimefanikiwa kuacha kunywa bia Balimi , Safari na kuvuta fegeree embassy na sportsman .. Nimebaki njia kuu ni KONYAGI NA BANGI tu ... Na nnaona nnaenda vizuri ... Konyagi ipo njiani kuachwa ila bangi sitoacha kamwe .
 
Kwanini bangi huachi??
 
Kila kitu kinategemea na uamzi wako binafsi kama kinakupa raha bila kukuletea majanga basi songa nacho ila kama kila ukitumia ni majanga na wewe basi NI BORA UPIGE VYOTE CHINI ILI ULINDE AFYA YAKO.
 
Nimefanikiwa kuacha kunywa bia Balimi , Safari na kuvuta fegeree embassy na sportsman .. Nimebaki njia kuu ni KONYAGI NA BANGI tu ... Na nnaona nnaenda vizuri ... Konyagi ipo njiani kuachwa ila bangi sitoacha kamwe .
Nilivokuja mbio nikijua umepata dawa

Kumbe umetoka uvulana sasa umekuwa mwanaume
 
Nimefanikiwa kuacha kunywa bia Balimi , Safari na kuvuta fegeree embassy na sportsman .. Nimebaki njia kuu ni KONYAGI NA BANGI tu ... Na nnaona nnaenda vizuri ... Konyagi ipo njiani kuachwa ila bangi sitoacha kamwe .
Nimebaki njia kuu ni KONYAGI NA BANGI tu ... Na nnaona nnaenda vizuri ... Konyagi ipo njiani kuachwa ila bangi sitoacha kamwe .
 
Nimefanikiwa kuacha kunywa bia Balimi , Safari na kuvuta fegeree embassy na sportsman .. Nimebaki njia kuu ni KONYAGI NA BANGI tu ... Na nnaona nnaenda vizuri ... Konyagi ipo njiani kuachwa ila bangi sitoacha kamwe .
Si bure hii bangi ndoiliyokusaidia kuchagua jina unalotumia
 
Nimefanikiwa kuacha kunywa bia Balimi , Safari na kuvuta fegeree embassy na sportsman .. Nimebaki njia kuu ni KONYAGI NA BANGI tu ... Na nnaona nnaenda vizuri ... Konyagi ipo njiani kuachwa ila bangi sitoacha kamwe .
We afisa ushirika acha mbwembwe
 
Back
Top Bottom