Ex wako anapokuwekea FBI wakuchunguze, anakua na maana gani?

kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
6,565
12,662
Habari wapendwa?

Mfano, wewe na aliyekuwa mpenzi wako mmeachana, lakini cha ajabu huyo ex wako anakuwekea mashushushu(FBI) wakufuatilie nyendo zako, inakua na maana gani hii wakuu?
 
Ukikuwekea FBI wa kike hakikisha anajutia uamuzi wake kwa kupindua meza kibabe..akikuwekea wa kiume tafuta mademu zao halafu malizana nao tu kisha waambie wakaripoti kwa boss wao kwamba umechakata madem zao..

Hii ni kama mahusiano yako beyond repair..kwamba huna interest tena za kuendelea nayo.
 
Ngoja FBI wenyewe sasa waje
IMG_20210826_094537.jpg
IMG_20210826_094545.jpg
 
Habari wapendwa?

Mfano, wewe na aliyekuwa mpenzi wako mmeachana, lakini cha ajabu huyo ex wako anakuwekea mashushushu(FBI) wakufuatilie nyendo zako, inakua na maana gani hii wakuu?

Anakuwekea mashushushu au anakuwekea wambea wa kibongo?
 
Back
Top Bottom