Hawa ndiyo Wachawi namba Moja wa kuifanya Yanga SC isifanikiwe; wajitahidi Kuachana nao kabla hali haijawa mbaya zaidi Kwao

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Ni Mpumbavu tu pekee kwa Maandalizi hafifu ya Yanga SC kuelekea Mechi yao ya leo ya CAF CL dhidi ya Rivers United FC ndiyo alijua kuwa ingeshinda.

Ila kwa tuliocheza Mpira, tunaoujua vyema Mpira na tumebobea vyema katika Sayansi na Sanaa ya Mpira na Wachambuzi Binafsi wa Soka la Tanzania na Afrika haya Matokeo ya Yanga SC wala hayajatushangaza.

Labda lawama zangu pekee na nyingi nizipeleke tu kwa Wachezaji wa Rivers United FC kwa Kuwaonea Huruma Yanga SC kwa kutotaka Kuwafunga Goli zaidi ya Nne ( 4 ) za wazi nilizoziona na badala yake wakaamua Kuwafundisha Yanga SC jinsi ya Kucheza Mpira wa Pira Biriani na Pira Sharma ambalo mara nyingi huchezwa na Simba Sports Club.

Yanga SC na wana Yanga wote leo msiponielewa Mightier basi hamtonielewa tena na nawatajieni Maadui zenu Wakuu ambao ndiyo Wanawaponza Kutwa na mmeshaonywa kuwa muachane nao lakini kwa Ujuha wenu bado mnawakumbatia na Kuwaamini wakati ndiyo Chanzo Kikuu cha Anguko lenu Kimichezo.

Maadui zenu Yanga SC ni wafuatao..

1. Magazeti ya Mwanaspoti na Championi kwa kila Siku tu Kuandika Vichwa vya Habari vya Kuipamba, Kuisifu na Kuipendelea Yanga SC kwa Gharama ya Kuisema na Kuikandamiza Simba SC.

2. Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni Maulid Kitenge EFM, Yusuph Mkule na Paul Mkai Wasafi FM, Yahaya Njenge Clouds FM na Goza Chuma EA Radio.

3. Wachambuzi wa Michezo akina Edward ( Edo ) Kumwembe, Jemedari Said, Edgar Kibwana na David Kampista.

4. Haji Manara kwa Kuwaaminisha Uwongo na Upumbavu kila Siku na mnamuamini.

5. Mwenyekiti wa Yanga SC Dkt. Mshindo Msolla ambaye Yeye yuko busy tu Kuunda Kamati za Fitna badala ya Kuiandaa Timu yake Kisayansi zaidi ili ilete Ushindani.

6. Injinia Hersi Said na GSM yake ambao wanatumia muda mwingi Kufanya Biashara na Kujipatia Pesa huku wakitumia nguvu ya Pesa katika kufanya Propaganda ili waaminiwe na wakubalike na Mashabiki.

7. Makomandoo ambao Kutwa Kazi yao ni Kutisha Waamuzi ( Marefa ) Uwanjani pamoja na Washika Vibendera, Kuzunguka hovyo katika Matawi ya Yanga SC ili Kuwaaminisha Uwongo Mashabiki wao kuhusu Uimara usiokuwepo wa Yanga SC ambao na Wao ( Mashabiki ) wakishajazwa huo Upuuzi nao huusambaza kwa Wengine na kuanza Kuvimba ( Kutamba ) Mitaani kama vile wana Timu ya maana na ya Kiushindani.

Msipoachana na hawa ( haya ) nawahakikishia mtaendelea tu kupokea Vipigo kila mara na kutofanya vyema Kimchezo na kujikuta mnabaki na ile ile tabia yenu ya Kuilaumu TFF, Marefa na kusema Simba SC inabebwa au inahonga ndiyo maana inafanikiwa hivi wakati Kiuhalisia si kweli isipokuwa Simba SC ya sasa imeshaondokana na huo Upuuzi ambao mnao na Unawagharimu vilivyo kwa sasa.

Poleni kwa Kipigo mlichokistahili leo.
 
Umeandika kama utani vile lakini kumbe ndio uhalisia wenyewe

Gazeti la mwanasport sio lakulaumiwa, lipo kwa ajili ya kibiashara zaidi kwa sababu wanajua washabiki wengi wa yanga wanapenda mpira wa magazetini

Kuhusu wachambuzi wa mpira nao hawana makosa kikubwa wanaangalia matumbo yao-kwa sababu mdhamini wao ndiye anayewatumia kueneza propaganda ili akubalike na mashabiki
 
Umeambiwa Mimi ni Yanga SC Ndugu?
Kama wewe si yanga Hilo kundu linakuwashia nn kushauri yanga yaani ww unaweza kukubali kushauliwa na adui yako mko vitani na Rwanda halafu mkuu WA majeshi WA Rwanda au wanajeshi WA Rwanda wanawashauri wanajeshi WA tz kwamba ili washinde vita bs wasitumie siraha Fulani. Naenda kashauri makolo huko mkundu-chi wewe
 
Hii post inaonyesha kuna maiti zipo hai duniani Na zilistahili kuwa kaburini
 
Mechi yenyewe moja tu hii unatokwa povu namna hii mkuu.
Pamoja na changamoto zoote lakini bado yanga ni timu inayosumbua na kuogopeka ligi kuu, hata simba mnalijua hilo. Haijalishi inapitia wakati gani hii timu bado ni nzito kinoma.

Hizo ulizoandika ni porojo na propaganda tu mkuu, vingi havina ukweli na nimeidharau hii post zaidi ulipomtaja manara aliekuja juzi tu hapo.
 
Levo zako zinaishia hapo hapo kuifunga simba ligi kuu, Kuna mdau alisema humu kabla yanga hajacheza ngao ya hisani tar 25 atakuwa ameshatolewa champions league hahaa hahaha MAKUBWA JINGA FC
 
Kama wewe si yanga Hilo kundu linakuwashia nn kushauri yanga yaani ww unaweza kukubali kushauliwa na adui yako mko vitani na Rwanda halafu mkuu WA majeshi WA Rwanda au wanajeshi WA Rwanda wanawashauri wanajeshi WA tz kwamba ili washinde vita bs wasitumie siraha Fulani. Naenda kashauri makolo huko mkundu-chi wewe
Are you mental and physical well?
 
Levo zako zinaishia hapo hapo kuifunga simba ligi kuu, Kuna mdau alisema humu kabla yanga hajacheza ngao ya hisani tar 25 atakuwa ameshatolewa champions league hahaa hahaha MAKUBWA JINGA FC
Sio levo zinaishia hapo ndgu, tatizo lenu mnapayuka mno. Kwahiyo kilichoandikwa hapo kina ukweli gani zaidi ya hisia tu zisizo na uthibitisho wowote wa kiithibati.
 
Ni Mpumbavu tu pekee kwa Maandalizi hafifu ya Yanga SC kuelekea Mechi yao ya leo ya CAF CL dhidi ya Rivers United FC ndiyo alijua kuwa ingeshinda.

Ila kwa tuliocheza Mpira, tunaoujua vyema Mpira na tumebobea vyema katika Sayansi na Sanaa ya Mpira na Wachambuzi Binafsi wa Soka la Tanzania na Afrika haya Matokeo ya Yanga SC wala hayajatushangaza.

Labda lawama zangu pekee na nyingi nizipeleke tu kwa Wachezaji wa Rivers United FC kwa Kuwaonea Huruma Yanga SC kwa kutotaka Kuwafunga Goli zaidi ya Nne ( 4 ) za wazi nilizoziona na badala yake wakaamua Kuwafundisha Yanga SC jinsi ya Kucheza Mpira wa Pira Biriani na Pira Sharma ambalo mara nyingi huchezwa na Simba Sports Club.

Yanga SC na wana Yanga wote leo msiponielewa Mightier basi hamtonielewa tena na nawatajieni Maadui zenu Wakuu ambao ndiyo Wanawaponza Kutwa na mmeshaonywa kuwa muachane nao lakini kwa Ujuha wenu bado mnawakumbatia na Kuwaamini wakati ndiyo Chanzo Kikuu cha Anguko lenu Kimichezo.

Maadui zenu Yanga SC ni wafuatao..

1. Magazeti ya Mwanaspoti na Championi kwa kila Siku tu Kuandika Vichwa vya Habari vya Kuipamba, Kuisifu na Kuipendelea Yanga SC kwa Gharama ya Kuisema na Kuikandamiza Simba SC.

2. Watangazaji wa Vipindi vya Michezo Redioni Maulid Kitenge EFM, Yusuph Mkule na Paul Mkai Wasafi FM, Yahaya Njenge Clouds FM na Goza Chuma EA Radio.

3. Wachambuzi wa Michezo akina Edward ( Edo ) Kumwembe, Jemedari Said, Edgar Kibwana na David Kampista.

4. Haji Manara kwa Kuwaaminisha Uwongo na Upumbavu kila Siku na mnamuamini.

5. Mwenyekiti wa Yanga SC Dkt. Mshindo Msolla ambaye Yeye yuko busy tu Kuunda Kamati za Fitna badala ya Kuiandaa Timu yake Kisayansi zaidi ili ilete Ushindani.

6. Injinia Hersi Said na GSM yake ambao wanatumia muda mwingi Kufanya Biashara na Kujipatia Pesa huku wakitumia nguvu ya Pesa katika kufanya Propaganda ili waaminiwe na wakubalike na Mashabiki.

7. Makomandoo ambao Kutwa Kazi yao ni Kutisha Waamuzi ( Marefa ) Uwanjani pamoja na Washika Vibendera, Kuzunguka hovyo katika Matawi ya Yanga SC ili Kuwaaminisha Uwongo Mashabiki wao kuhusu Uimara usiokuwepo wa Yanga SC ambao na Wao ( Mashabiki ) wakishajazwa huo Upuuzi nao huusambaza kwa Wengine na kuanza Kuvimba ( Kutamba ) Mitaani kama vile wana Timu ya maana na ya Kiushindani.

Msipoachana na hawa ( haya ) nawahakikishia mtaendelea tu kupokea Vipigo kila mara na kutofanya vyema Kimchezo na kujikuta mnabaki na ile ile tabia yenu ya Kuilaumu TFF, Marefa na kusema Simba SC inabebwa au inahonga ndiyo maana inafanikiwa hivi wakati Kiuhalisia si kweli isipokuwa Simba SC ya sasa imeshaondokana na huo Upuuzi ambao mnao na Unawagharimu vilivyo kwa sasa.

Poleni kwa Kipigo mlichokistahili leo.
Katika wachawi wote huyu ndiye anakula maisha sana
FB_IMG_1631647099990.jpg
 
Back
Top Bottom