Fursa ya wastaafu wenye mafao wasiojua la kufanya kufungua maduka ya kuuza dawa ya kuacha pombe pembezoni mwa Baa kubwa.
Pia kwenye vituo vya daladala kama Bifara ambapo wanauza pombe zote na bange, morroco na sehemu nyingine hizi awa ziwepo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe...