Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili
Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
Habari ndugu!
Nimeleta uzi huu ili uliunganishe jamii ya watanzania ambao wameathirika na uraibu wa kamari na wanaoazimia kuachana na uraibu huu.
Kamari/kubeti ni moja ya janga linaloangamiza watanzania na binaadamu kwa ujumla hapa duniani. Ushawishi wa kuingiza watu katika huu uraibu ni...
"Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watajinyenyekesha, na kuomba, na kunitafuta uso, na kuziacha njia zao mbaya;
basi, nitasikia toka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao."
(2 Mambo ya Nyakati 7:14. Hili ni ahadi maarufu sana).
MJI WA NINAWI
Ninawi, mji wenye watu...
Wadau myimwike,
Nimefanya kazi baadhi ya sehemu za pwani, wakati wadau humu wanazungumzia kuoa au kutoa kuoa singo maza Wenzetu pwani hawana stori hizo.
Kuoa rahisi kuachana ni rahisi pia hawana mambo mengi. Hao masingo maza wanaolewa kila siku na wanaachika Kila siku. Kumkuta mwanamke...
Habari wana jamvi
Duniani kumekuwa na kila aina ya mambo yanayo msonga mwanadamu.
Je ni Uraibu gani umekushinda kuacha licha ya kupambana?
Sakwe bin sakwe
Binadamu mashaka
Rais Donald Trump ametangaza kuingia mkataba wa amani na Iran.
Amefanya hivyo kwenye maadhimisho ya siku ya kuzaliwa kwake?
Je, mkataba huu utafuatwa au kuvunjwa kama ilivyokuwa huko Gaza ambapo ni utapeli mtupu au DRC?
Je, ni baada ya kushindwa kufikia malengo yake kisiasa au kuchapwa kimya...
Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema;
"Watanzania, hasa vijana ambao kwa bahati mbaya watu wanaojiita wanaharakati wakiwa na wafadhili wao huko wanapokujua, wamejipa kazi ya kuhamasisha vijana wa...
Habari wakuu mi ni kijana wa kiume Miaka 27 sijaoa Bado nafanya biashara (x) .Nimezaliwa kwenye familia ya walokole mi mwenyewe nimeokoka ila sasa Nina changamoto kuu mbili kwenye maisha yangu kununua Malaya na pombe.Naweza nikasema nijitahidi sasa nisifanye nifocus na mambo yangu ya kazi n.k...
Nakumbushia tu siyo kwa ubaya.Niliwahi kutoa maandiko zaidi ya manne nikionyesha jinsi biashara ya uuzaji dhahabu feki ilivyoathiri maendeleo ya wanafunzi mashuleni na kujikuta wamelowea kwenye biashara hiyo na kuacha masomo.Matokeo yake wengi wamepata vilema kwa vipigo,na baadhi kupoteza...
Wakuu kutekwa sasa basi kila mtu ajilinde anavyojua tutakwishaaaaa.....
Hivi ni vitu nimejaribu kuacha na nimeshindwa kabisa
1. Kutosalimia salimia watu
2. Kutongoza mwanamke akizingua mara moja tu sihangaiki naye tena.
3. Kutamani na kuwala wake za watu
4. Kupenda sn muziki nipo tayari...
Mwana dada na mwanaharakati Mange Kimambi amewaambia Viongozi wa Chadema kuwa wanapotoka kupiga miziki na kucheza wakati wa mikutano
Hii haina tija ukizingatia wananchi wana majeraha ya kupoteza wapendwa wao, majeraha, hujuma katika uchaguzi , ufisadi n. K
Kucheza mziki ni kuingia kwenye...
Habari wanajamii
Hivi ni tabia gani au mazoea ambayo umeshindwa kabisa kuacha?
Mfano kwa upande wangu huwa siwezi kujisaidia haja kwenye Choo ambacho hakuna ndoo ya maji na lazima nimwage maji nisafishe choo na nijaze maji tena kwenye ndoo kabla ya kujisaidia hata kama hotel hiyo ina uhakika...
Wanaume wengi wanapo balehe , miaka 13 wakiwa kidato cha kwanza, wenye kuweza kutongoza huanza ngono na waoga huanza kujichua.
Je, Wewe ulianza kujichua mpaka sasa upo na miaka zaidi ya 30 uliwezaje kuacha?
ni kweli kila siku unasema unaacha alafu unajikuta unapiga ya mwisho?
CCM OYEEE ,Kazi na Utu tunasonga mbele.
Watanzania tume ya uchunguzi ya matukio ya octoba 29/2025 ya jaji chande ilishamaliza kazi yake na Ripoti ilishawasilishwa kwa mheshimiwa Rais .
Hii tume ni ya watanzania ,na Mambo na uchunguzi umefanywa na wanasheria wetu nguli wakiongozwa na jaji jaji...
Kwanza nawasalimia wakubwa kwa wadogo. Sasa ni almost two weeks nimeacha pombe, hapo mwanzo nakili kuwa nilikuwa mnywaji mzuri tu (moderately drunken) yaani ni ile hali ya kunywa hata siku tatu mpaka nne mfululizo in a week kwa hali ya kawaida. Na hii iliwezekana kwasababu kazi ninayofanya...
Eti Samia anataka kuwaachia tabasamu la kauli mbiu ya PESA kwa Watanzania. Kwamba kila Mtanzania anachofanya kitakuwa ni pesa. Je, yeye pesa hazitaki? Anawaacha Watanzania anaenda wapi?
Mbona kama kakata tamaa?
Je anataka kutukimbia watanzania?
Anataka kwenda wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.