Kuna mbinu mbalimbali wanapewa watu ambao wanataka kuacha pombe.
Mfano wa hizo mbinu wanazopewa lakini mwisho wa siku wanarudi kulekule ni hizi.
1)Kupunguza kiasi cha unywaji.
Hapa ushauri wanaopewa ni kupunguza idadi ya pombe au siku za kunywa pombe.
Mfano kama alikuwa anakunywa bia 10 kwa...
Ukweli muhimu ambao watu wengi husahau:
Watu hawa hawakuacha chuo wakianza kutafuta mafanikio.
Waliondoka chuo kwa sababu:
Tayari walikuwa na ujuzi maalum
Tayari walikuwa na miradi au biashara inayoanza kukua
Tayari kulikuwa na fursa kubwa mbele yao
Tayari walikuwa na connections nzito za...
Kuna binti mmoja, ni mke wa mtu, lakini ananiumiza kichwa sana siku hizi. Mume wake alimfungulia duka kubwa tu awe anakuwa bize, na kwa kuwa hata mimi nina duka katika mitaa hiyo, tulianza kuzoeana kama majirani. Kila nilipopita na kumuona, sikusita kumsalimia na mara nyingi tulikuwa tunapiga...
Mtoto mmoja wa kike mwenye umri wa miaka 11, darasa la sita anayefahamika kwa jina la Lightness Mkiindi, mkazi wa Mtaa wa Namayana, Kata ya Ilboru, wilayani Arumeru mkoani Arusha, amefariki dunia akidaiwa kujinyonga
Kwa mujibu wa maelezo ya mama mzazi na bibi wa marehemu, siku ya tukio Januari...
Kwa yeyote ambaye amewahi kulea vifaranga, atakubaliana nami kuwa hatua hii ndiyo ngumu zaidi kwenye ufugaji wa kuku.
Binafsi, kitu kilichonichosha sana mwanzoni ni kuamka usiku kuongeza mkaa ili kuhakikisha vifaranga vinapata joto la kutosha.
Unalala kidogo, unaamka mara kwa mara, na bado huna...
Kwa Takwimu zinazotolewa na TAMISEMI kuhusu elimu zinaonesha kwa mwaka 2024 jumlay ya wanafunzi 100,109 waliacha shule. Katika idadi ya watoto hao, idadi ya wanawake na wanaume ina tofauti ambapo watoto wa kike walioacha shule ni 49661 na wakiume ni 50448.
Mikoa inayoongoza kwa kuacha shule ni...
Hatua ya kubalehe ni mbaya kama usipokuwa na mshauri au uangalizi wa mzazi na kupitia ndoto nyevu na zile nyege za kubalehe wengi wamezama humo kwenye NYETO na mpk leo hii wengine wameshindwa kuoa wanajiridhisha wenyewe mwingine hana habari na madem yeye na sabuni.
Wapo pia madem ndo kitulizo...
Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la kuaga mwili. Ulikuwa mahakama ya dhamiri ya taifa. Ilikuwa ni mahali ambapo historia, maumivu, hofu, na matumaini vilikutana uso kwa uso. Katika jukwaa hilo, Freeman Mbowe—mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA—alisema maneno yaliyotikisa mioyo ya wengi...
NIliwahi kuwa na shida ya ajira nikaenda kiwandani nikafurahia kuambiwa ajira zipo bila rushwa lakini nilipoanza kazi siku ya kwanza tulipelekwa godown, ule mziki wa kubeba viroba si wa kitoto, mimi na rafiki yangu tuliacha viatu na hela, pesa tulikuwa tunaihitaji ila sio kwa mazingira yale...
📌 KUMBUKIZI
Tulipata fursa ya kumtembelea Afande Ntale, askari mpambanaji na mwenye maono. Licha ya majukumu yake kazini, hakuona sababu ya kuachana na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa.
Kwa kupitia ufugaji huu, ameweza kujenga chanzo imara cha kipato cha ziada, bila kutegemea mshahara pekee.
👉...
Habari wadau.
Nashukuru Kwa wote mlio nijenga juu ya namna ya kuacha pombe nilipoomba USHAURI MWAKA 2022. Naelekea miaka 4 Sasa bila kunywa pombe Nilikuwa mlevi sanaaaaaaaaaaaaaaa wa pombe aina zote za dukani na kienyeji.
Nimelewa Toka 2010 mpaka 2022 nimeacha. Mali zimekwisha ila Mimi nipo...
Baada ya kujua ugali ni matofali sasa hivi nimekuwa mwingi wa kula protein na mavitamini , na starch nikiipata kwa ubwabwa etc.
Tutengeneze kizazi cha ma-genius kwa kuacha kula matofali
KATAA UGALI, UGALI NI MATOFALI, UGALI NI MATESO
Kitabu Uamuzi wa busara kinazungumzia maamuzi mbalimbali magumu yaliyofanywa na Mwalimu JK Nyerere na TANU. Kuanzia Mwalimi kujiuzulu kazi ya ualimu, TANU kuamua kutosusia uchaguzi, Mwalimu kujiuzulu ubunge, Mwalimu kujiuzulu Uwaziri Mkuu, Muungano, Azimio la Arusha. Kinapatikana ndani ya app ya...
Taarifa za ndani kutoka jeshi la polisi, ni kwamba zaidi ya polisi 100 wameomba kuacha kazi ya Upolis with immediate effect.
Shida kubwa ni walichokiona tarehe 29/10/2025 na hofu ya maandamano ya tarehe 09/12/2025.
Jeshi linakataa kuwakubalia. Vikao vinafanyika na viongozi wa kisiasa juu ya...
Kwanza kabisa sababu kuu za harakati za kudai mabadiliko hazihusiani na muungano hata kidogo, ni za kisiasa tu.
Hata hivyo kumekuwa na shutuma za ubaguzi zinazofanywa na wazanzabar kwa watanganyika hali hii inaweza kuwagharimu sana kwa ubaguzi wanao uanzisha na kupanua harakati za mabadiliko...
Mwenyekiti wa Serikali za mitaa Mtendeni, Kata ya Kisutu Mustaquim Darugar amewaomba Watanzania wasiwe na hofu ifikapo Siku ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 29 ambao ni wakati sahihi wa kupiga kura na Wananchi wasiogope badala yake wajitokeze kwa wingi kutekeleza jambo hilo ambalo ni haki yao kikatiba...
Wakuu.
Google Maps kila mtu anaitumia. Mfano unaenda Kilosa, unataka ujue wapi utalala au utakunywa bia au ofisi flani ipo wapi bila kuuliza wenyeji, Google Maps anakusaidia.
Pia kupitia Maps, unaona reviews mbalimbali katika iyo sehemu, ambazo zinatolewa na wateja au watu waliowahi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.