Kuacha kazi pasipokutoa notice

Kuacha kazi pasipokutoa notice

Bunchari

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2017
Posts
695
Reaction score
878
Habari
Jamaa aliacha kazi pasipo kutoa taarifa kwa mwajiri baada ya kutopewa mshahara kwa miezi mitatu,ajira haina mkataba ni zile za kupatana pasipo maandishi

Alipofatilia akajulishwa anapaswa kukatwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kutotoa notice kwa mwajiri.

Jamaa anadai alisitisha ajira pasipo kutoa notisi kwasababu mwajiri aliacha au alikataa kumlipa mshahara na ni sababu inayotambuliwa na sheria,ameamua kusonga mbele kupinga maamuzi haya

Anaweza kufanikiwa??
 
Anakatwaje mshahara wa mwezi mmoja na hajalipwa miezi mitatu?

Anyway, asonge mbele tuu,kufanya kazi kwa mtu miezi mitatu bila kulipwa uongo.
 
Habari
Jamaa aliacha kazi pasipo kutoa taarifa kwa mwajiri baada ya kutopewa mshahara kwa miezi mitatu,ajira haina mkataba ni zile za kupatana pasipo maandishi

Alipofatilia akajulishwa anapaswa kukatwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kutotoa notice kwa mwajiri.

Jamaa anadai alisitisha ajira pasipo kutoa notisi kwasababu mwajiri aliacha au alikataa kumlipa mshahara na ni sababu inayotambuliwa na sheria,ameamua kusonga mbele kupinga maamuzi haya

Anaweza kufanikiwa??
Two wrongs don't make it right.

Muajiriwa amekosea na mwajiri amekosea ,wote mnatakiwa mkutanieni kati.

Mwajiriwa kutoonekana kazini kwa siku tatu (A.W.O.L) - Ni Automatic umejifukuzisha kazi.
 
Two wrongs don't make it right.

Muajiriwa amekosea na mwajiri amekosea ,wote mnatakiwa mkutanieni kati.

Mwajiriwa kutoonekana kazini kwa siku tatu (A.W.O.L) - Ni Automatic umejifukuzisha kazi.
Vipi kuhusu kukatwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kutokutoa notice
 
Vipi kuhusu kukatwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kutokutoa notice
Mishahara mitatu aliyoifanyia kazi ni haki yake haitakiwi kukatwa ,ukitoa notice ya mwezi mmoja means utalipwa na kama umeondoka huo mwezi hautolipwa ila ile mitatu uliyoifanyia kazi ni haki yako lazima ulipwe.

Kwa kuwa wote wamekosea ni kukutana kati hapo....Kama ameridhia kuendelea na ajira hapo ni kuanza upya,kwamba ulipwe mishahara mitatu uliyoifanyia kazi.
 
Hapo ni kuelewana tu baina ya mwaniri na mwajiriwa. Wote wana makosa. Hata kama hakuna makubaliano ya maandishi yapasa kuwe na hata ya mdomo ingawa kisheria hayana ushahidi wa moja kwa moja.
 
Sasa nyie mnaosema mwajiriwa ana makosa, mlitaka afanye nini na hajalipwa miezi mitatu, mnataka aishi vipi bila malipo?

Jamaa ameona akapambane huko nje ili kupunguza ugumu wa maisha afu nyie mnakuja kusema nae ana makosa, Wabongo bhana 🙌

Mnasema hajatoa taarifa, kwan mwajiri ametoa taarifa kwamba sikulipi miezi mitatu? Na hata akitoa hiyo taarifa mnategemea mwajiriwa aishi vipi bila malipo hata kama amepewa taarifa?

Acheni uuaji nyie aisee, kuweni na huruma kummke zenu.
 
Mimi nlisepa serikalini mpka leo sjarudi ila nliambiwa barua za mashtaka zilipelekwa pale kituoni
 
Habari
Jamaa aliacha kazi pasipo kutoa taarifa kwa mwajiri baada ya kutopewa mshahara kwa miezi mitatu,ajira haina mkataba ni zile za kupatana pasipo maandishi

Alipofatilia akajulishwa anapaswa kukatwa mshahara wa mwezi mmoja kwa kutotoa notice kwa mwajiri.

Jamaa anadai alisitisha ajira pasipo kutoa notisi kwasababu mwajiri aliacha au alikataa kumlipa mshahara na ni sababu inayotambuliwa na sheria,ameamua kusonga mbele kupinga maamuzi haya

Anaweza kufanikiwa??

Lolote linaweza kutokea kwenye sanaa za sheria.
Hivi kwa nini jamaa asisongeshe malakamiko yake huku akiwa tayari kakikunja kitita chake cha miezi miwili? Haelewi dana dana za mahakama zinavyoweza kumnyima hata kile kidogo angeambulia? Kuziamini hizi mahakama za Kangaroo ni kujitoa ufahamu.
 
Back
Top Bottom