kongole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kongole nyingi sana kwa Dr. Nchimbi kazi yako inaonekana baba

    Chama kimetulia, chama kina kubalika, chama kinaaminika, chama kimeimarika mno. Ruvuma na Songea wamedhihirisha kwamba wewe Dr Emmanuel Nchimbi katibu mkuu CCM Taifa, ni agenda ya Taifa na karata muhimu ya chama, wanainchi na serikali baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha majukumu yake...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kongole Simba SC kwa Awesu Awesu tumelamba Dume na natamani sana Kocha awe anamchezesha hasa 'Wing Midfield' atatusaidia sana

    Sasa naona kabisa ule muda wa Wazee Majini FC Kupimwa Umri umekaribia na kuna Watu wataikimbia hiyo 8.08.24.
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kongole nyingi sana kwa walimu

    Watoto wanaonyesha umahiri mkubwa sana juu ya walichojifunza mashuleni Academic improvement kwa watoto wetu imeimarika sana na inatia moyo mno... Uelewa na ufahamu wa watoto wetu katika kusoma, kuhesabu, kuandika, sayansi na stadi za maisha umeongezeka sana Watoto wanapenda kusoma, wanabidii...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Kongole Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Saad Mtambule

    Nampongeza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule kwa utumishi wake uliotukuka. Tumpe mtu maua yake anapostahili sawa na tunavyowakosoa. Sifa kuu za DC Mtambule ni hizi: 1. Msikivu sana, katika kupokea mashauri, kero na malalamiko ya wanachi na watendaji 2. Ni mfuatiliaji mzuri wa mambo...
  5. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Pale upinzani unapoacha kujadili mambo msingi na kuweka nguvu zao kumjadili Makonda! Tuna wapinzani wa ovyo sana!

    Naanza kuelewa Sasa, huwenda ni kweli kwamba Watanzania ni watu wa hovyo na ambao hawawezi Kila kitu na hawawezi Kuibadirisha nchi Yao kutoka Hali mbaya ya umasikini na kuwa nchi yenye neema na uchumi mkubwa Tumeshindwa kuendesha bandari zetu wenyewe, mbuga zetu tunawapa wageni, Bado tutawapa...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Filamu ya Royal Tour ya Rais Samia, Yapewa Kongole Kuhamasisha Utalii Kulikopelekea Kuongezeka Watalii Wanaotembelea Tanzania

    Wanabodi, Filamu ya Royal Tour ya Rais Samia, imepongezwa kwa kuchangia kuhamasisha utalii nchini kulikopelekea kuongezeka kwa idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania, kutoka watalii 1,454,000 mpaka watalii 1,806,000, kati ya Desemba 2022 na Desemba 2023, ongezeko ambalo limechangiwa, Pamoja na...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

    Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua. Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini. Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kongole Rais Samia, Kongole Awamu ya Sita Ngurdoto Imesimama Tena, Ajira Zimerejea kwa Watanzania

    Kwa siku kadhaa sasa Tanzania imekuwa mwenyeji wa mikutano kadhaa mkoani Arusha katika Hotel wa "NGURDOTO" Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) unaojadili masuala ya Mabadiliko ya Tabianchi na Usalama wa Chakula Ngurdoto pamoja na mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Awapa Kongole Banda la Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu

    WAZIRI MHAGAMA AWAPA KONGOLE BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU SERA, BUNGE NA URATIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama afurahishwa na ushiriki wa ofisi yake katika uzinduzi wa Wiki ya Vijana pamoja na maadhimisho ya kuelekea...
  10. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Kongole Serikali kwa kutoa fedha ununuzi wa vifaa tiba na dawa

    Mkurugenzi wa MSD, amedhibitisha kuwepo kwa ongezeko la upatikanaji wa Bidhaa vya afya kwa mwaka 2022/2023, ambapo ambapo juni 2022, ongezeko lilikuwa kwa asilimia 51, na kupanda hadi asilimia 64, juni 2023, wakati upatikanaji wa dawa kwa sasa umefikia asilimia 82, mwezi juni 2023 kutoka...
  11. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Kongole LATRA kwa kusimamia mfumo mtandao

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imepongezwa na Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu kwa kusimamia mfumo wa tiketi mtandao hatua hiyo imesaidia kupunguza kero kwa abiria wa usafiri Nchini. Pongezi hiyo imetolewa wakati Kamati hiyo ikipokea taarifa ya Utendaji ya...
  12. Uboboh

    JamiiForums Tanzania TBT: Story iliyofanya nikajiunga JF, story iliyofanya nikapata my favorite nickname, Kongole kwa huyu member japo kapotea

    Hahah kwanza ni kitambo kipindi hiko nina kasimu kadogo kwenye batani na browser ya operamini (itel) huduma ya freebasic ilikuwepo Airtel hivyo JF niliipata bure kabisa. Niliisoma hii story for 3yrs (darasa la 5 mpaka darasa la 7 Nilisoma story nyingi humu za mapenzi pia Facebook nilisoma soma...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mawakili katika mkutano mkuu Arusha wasema sasa hawakamatwi ovyo kama enzi ya Magufuli, wamwaga kongole kwa Rais Samia

    #MauaYaSamia Mawakili wasomi wanaokutana Arusha mwaka huu 2023 wamekunwa na sera nzuri na tamu za SSH. Mawakili hao wamesema Sasa wanafanya kazi kwa Uhuru mkubwa na utawala wa sheria umetamalaki. Mawakili hao walionekana kukerwa kabisa na uongozi wa awamu ya tano. Mawakili ni moja ya makundi...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yaondoa raia wake nchini Sudan, watumia mabasi raia wa nchi nyingine walisaidiwa na mabasi hayo pia

    Kwa muda sasa mji Mkuu wa Sudan, Kahrtoum umegeuka uwanja wa vita ukishuhudi mapigano makali ya kati ya jeshi la nchi hiyo na wanamgambo nchini humo ambapo miundombinu imeharibiwa kwa kiasi kikubwa sana. Mshike mshike wa nchi mbalimbali kuwaondoa raia wake nchini Sudan unaendelea huku nchi za...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Katazo na Marufuku ya Michango mashuleni hapa Nchini ni Kongole kubwa kwa Awamu ya 5 na ya 6. Michango ilikuwa mzigo kwa wananchi

    Moja ya Vitu ambavyo Serikali inapaswa kupongeswa navyo katika swala la Elimu ukiachilia mbali miundombinu ya madarasa nk basi huachi kabisa kuipongeza serikali hii inayoongozwa na Dk. Samia Suluhu pamoja na ile ya mtangulizi wake Hayati John Magufuli kwa katazo na marufuku ya Michango mashukeni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Wananchi mnazidi kudhihilisha ubora wenu, mnaongoza kundi na mpira mkubwa

    Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama sintowapongeza wachezaji na benchi zima la ufundi kwa kazi kubwa mliyoifanya mpaka kutinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho, timu kwa sasa inajiamini pakubwa, ikichagizwa na usajili bora uliofanyika. Mchakato wa kuitengeneza Yanga mpya umekuwa na tija...
  18. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Neno ‘KONGOLE’, hivi lilikuwepo kweli? Historia yake na nani amelitunga ?

    Ukitaka kuandika hongera baadhi ya keyboard zinakupakazia eti kongole! Kongole wich, who are you kongole? are you normal?🤷‍♂️ Je ni kutohoa congratulations au ni nini? Kwani kiswahili lini kilikosa, au kilikuwa na upungufu wa misamiati ya kupongeza? Hongera ilikuwa wapi. Tuna upungufu wa...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, TISS ya Diwani haikuwa na mawaa; ni moja kati ya waliopambana na timu ya jiwe iheshimu katiba. Kongole kwake!

    TISS ya Diwani Athumani ndio walau ilitulia, kutekana kukaisha, mambo ya hovyo hovyo yakapungua, hata Jiwe naye akapunguza machachari. Tofauti na Ile ya kipilimba na wenzake walioshughulika kwelikweli na akina Mdude na wengine. Ni TISS ya Diwani Athumani, pamoja na taasisi nyingine...
  20. Mpigamimba

    JamiiForums Tanzania Mwanamke first born. Nilisoma hapa habari zake. Kongole

    Mwenza wangu ni first born . Hana upuuzi wa ki DSM kihoma Arusha au mwanza. Anajali familia, ananijali na analea watoto wake. She is genius. Oeni watoto wa kike first born. Hawana ungese..... Na mafanikio niliyonayo she is infront. Ndio njia yangu, goal, intelligent, brilliant na hajawahi...
Back
Top Bottom