kongole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kongole kwa uongozi wa mkoa Shinyanga kwa kuwafurusha madada poa

    Ni majumaa kadhaa nyuma nileta Uzi wa kuelezea jinsi biashara ya kuuza miili kwa wadada inavyofanywa hapa Shinyanga ktk eneo la Relini. Nilikuja Shy na kukaa kama wiki 1 tu hivi awali, then wiki hii nimerejea tena kikazi vile vile, nikapita eneo lile ambalo ni kuna njia fupi ya kutokea kata ya...
  2. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Kongole Precision air kwa kuongeza idadi ya safari kati ya Dar es salaam kwenda Hahaya- Anjouan

    Shirika la Ndege la Precision Air nchini Tanzania limeongeza idadi ya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda Hahaya-Anjouan Comoro hadi mara 3 kwa wiki ikiwa ni wito uliotolewa na Balozi wa Comoros nchini Tanzania kufuatia uwepo wa fursa mbalimbali za utali, kilimo na Afya baina ya Tanzania na...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nawapa kongole Simba Sc

  4. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaipa kongole Multichoice kutangaza Kombe la Dunia kwa Kiswahili

    Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeipongeza kampuni ya Multichoice kupitia DStv kuamua kutangaza kwa Kiswahili Mashindano ya Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu nchini Qatar. Akizungumza Septemba 01, 2022 Dar es Salaam katika hafla ya Maonesho kwa Vyombo vya Habari...
  5. Chendembe

    JamiiForums Tanzania Kongole TFF: Uchungu wa mwana aujuae mzazi

    TFF nawapongeza kwa kuamua kutumia wazawa kukinoa kikosi chetu Cha timu ya Taifa. Mtu chake. Mtoto wako ni wako hata akiwa na sura mbaya. Ninaimani na walioteuliwa. Tuwaunge mkono kwa hali yoyote ile, watatuvusha. "MECKY TAFADHALI MRUDISHE YONDANI NA NYONI KIKOSINI utakujanishukuru."
  6. Doyi

    JamiiForums Tanzania Basi la Bright Line Mwanza - Dodoma kwa hili nawapa kongole

    Ni gari namba T683DZE aisee kama mmepewa mafunzo huko kazini basi mmeyaelewa vyema maana TV mmeweka sauti ya chini kiasi kwamba abiria hata kusinzia unaweza kusinzia na kuifanya safari yako kuwa murua kabisa. Screen za tv zipo saba lakini utulivu ndani ya bus upo wa kutosha. Mabasi mengine sasa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kongole Yanga kwa kuushinda mtihani wa kwanza point 6 ngumu

    Napenda niwapongeze benchi la ufundi na wachezaji wa yanga kwa kuondoka ugenini na point 6 muhimu, akuna asiyejua namna ratiba yanga ilivyopangwa msimu huu, kamaliza mechi ngumu ya dabi jumamosi ikambidi asafiri km nyingi kwenda arusha jumatatu na kucheza jumanne kwenye mechi ngumu dhidi ya...
  8. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kongole Wallace Karia kwa Uongozi madhubuti

    Nani kama wewe Mkuu wa Kazi, umesimama imara ktk kuhakikisha mpira wa Tanzania haujinasiwi na makanjanja ... Katika awamu yako tumeshuhudia timu za taifa mbalimbali zikifanya vizuri, tumefuzu world cup ya wadada U17 pale India, tukija kwa upande wa Sponsorship ktk ligi yetu kuu pia ume...
  9. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha Intelijensia cha Simba kipewe kongole

    Kufuatia dili nono walilo saini Simba Sc leo na kampuni ya michezo ya kubaatisha ya M BET ni wazi Simba Sc ina stahili kongoleee. Na pongezi kubwa zinakwenda kwa kitengo cha inteljensia ambao wali angazia ili diki mapema kisha waka nyutii kimyaa kisha kumcholesha aliyekuwa mzamin wa zamqn kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kongole Masudi Kipanya kwa Ubunifu, hii ni challenge kwa wasomi

    Nampongeza Masudi Kipanya kwa ubunifu wa kile kigari chake, kuna watu wanajiita wasomi lakini hawajawahi kubuni hata mswaki, watu wengi wenye wivu tabia zao zinafanana yaani badala ya watu kumtia moyo na kumpongeza wanambeza, huku maprofesa wakijikita kukamata wasichana sapu ili wahongwe ngono...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wanavyuo Mwanza watoa kongole kwa Rais Samia

    WANAVYUO MWANZA WATOA KONGOLE KWA RAIS SAMIA Leo Jumamosi 26 Machi, 2022 Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa Mwanza wamempongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Mwaka Mmoja Madarakani. Kongamano hilo limeongozwa na Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka...
  12. OLS

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujasaini EPA, Msimamo wetu uko palepale

    Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imekanusha suala linaloendelea mtandaoni kuwa serikali imepitisha Economic Partnership Agreement(EPA) ambayo imetajwa na wasomi wengi kuwa itasababisha Tanzania kupoteza mapato yanayotokana na Importations kwa takribani 71% in the long run Wizara imesema...
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awatumbua Wakurugenzi wa Halmashauri wanne kwa ubadhirifu wa Fedha zikiwemo za UVIKO-19

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa njiani kutoka Mwanza kwenda mkoani Mara, leo Ijumaa ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa Halmashauri ya Buchosha, Iringa, Mbeya na Singida Mjini baada ya kubainika kutumia vibaya fedha za UVIKO-19. --- Rais Samia Suluhu Hassan...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu Daraja la Tanzanite. Kongole Rais Samia!

    Daraja limejengwa mita chache kutoka daraja la zamani la Salenda. Lina Urefu wa takribani Mita 1030, Upana wa Mita 20.3 na Urefu wa Barabara Unganishi yenye KM 5.2 zilizojengwa kwa kiwango cha lami. Daraja limekamilika kwa asilimia 100%. Tofauti na madaraja mengi ya namna hii barani Afrika...
Back
Top Bottom