kombe la dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia 2026: Hakuna timu kutoka Afrika itakayoingia robo au nusu fainali

    Habari wakuu, hii michuano ya kombe la dunia hakuna timu kutoka Afrika itakayoingia robo au nusu fainali. Hawa Morocco wameotea tu ila kiama cha timu za Afrika chaja round 2. Nipo Pape mwanaa asipulika!!!
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kulaumu USA kwenye kombe la dunia kuhusu mashabiki kutoingia, huko kuna hili jambo

    Leo nimekumbuka wenzangu waliopta bahati kusoma USA kwa msaada wa serikali ila wote walikataa kurudi nchini. Kuna nchi ambazo raia wake wakifa huko ni ngumu serikali yake kumchukua. Kuna mataifa ambayo yanaweza kutumia njia hii japo mnaona ubaguzi ila mtasikia mbeleni. Mfano yule refa Somalia...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Joe Gaetjens, shujaa wa Kombe la Dunia, aliyesulubiwa na Dikteta wa Haiti

    Mwaka wa 1950 timu dhaifu ya USA ilipanda mtumbwi na kuvuka bahari ya Atantic kuingia nchini Brazil kushiriki kombe la dunia la tatu. SIku chache kabla ya kwenda baharini kocha wa Marekani alimchukua mwanafunzi wa chuo na muosha vyombo mahotelini viunga vya Brooklyn, New York, JOE GAETJENS...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Timu ya taifa ya England imepata pigo kubwa kwa kuibiwa vifaa kabla ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia

    Timu ya taifa ya England imepata pigo kubwa kabla ya mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia. Kiasi kikubwa cha vifaa vya timu kimeibwa Kansas City, Marekani, wakati vilipokuwa vinasafirishwa kutoka Florida kwenda kambi yao ya mazoezi. Vitu vilivyotajwa kuibiwa ni pamoja na: • Viatu vya...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa Afrika ya kusini dhidi ya waafrika wenzao utawatafuna wenyewe kombe la dunia!

    Waangalie hapa walivyosheheni kwa silaha za jadi: pinde, mapanga, fimbo, marungu wakiwa tayari kuwashambulia waafrika wenzao walioko Afrika ya kusini.
  6. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: MAKONDA ATINGA MEXICO KUPATA UZOEFU WA KUANDAA KOMBE LA DUNIA

  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Makonda ndani ya ufunguzi kombe la dunia Mexico

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ni miongoni mwa waliohudhuria ufunguzi wa Fainali za Kombe la Dunia. Uzinduzi huo umefanyika katika Uwanja wa Azteca uliopo Mexico City, Mexico. Soma Pia: Full Time: Ufunguzi Kombe la Dunia 2026 | Mexico 2-0 Afrika Kusini | Uwanja...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania David Eby: Omar Artan anapaswa kuruhusiwa kuchezesha mechi za Kombe la Dunia ndani jimbo la British Columbia

    David Eby, Waziri Mkuu wa jimbo la British Columbia nchini Kanada, ametangaza kuwa jimbo lake liko tayari na litafurahi sana kumkaribisha Omar Artan. Alieleza kuwa Artan anapaswa kuruhusiwa kuchezesha mechi za Kombe la Dunia ndani ya eneo lake la utawala, haswa katika jiji la Vancouver ambalo ni...
  9. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama kombe la dunia linaanza leo!

    Hamna siku inayo pita bila kufuatilia chombo cha habari pamoja na social network ila nipo mbali sana na habari za mpira. Mchana niliona instagram shamra sahara za fifa lakini akili yangu najua bado mwezi mmoja nikawa dili na bajeti! Kumbe ni leo bwana! Japo siupendi mpira ila nitafuatilia ...
  10. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Kombe la dunia mwaka huu halina mvuto ni vile tu napenda mpira, ila US sio bora kwenye uandaaji

    Tulizoea kuona mambo mengi sana kabla ya kombe la dunia. Nashangaa sijaona logo rasmi, sijaona font rasmi sijaona katuni(mascot) hakuna amsha amsha. Kilichoboa zaidi ni vigezo vya kuingia Marekani. Maafisa wa Iran na baadhi ya nchi nyingine kufukuzwa kwa refarii wa kisomali yani katika kitu...
  11. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Nimefarijika sana TBC kuonesha kombe la dunia

    Hamjambo Naomba wasiwe wanachagua mechi waonyeshe mechi zote Na waache tabia ya kukata mechi kipindi inaendelea Nafikiria kidogo kuunganisha mawazo yangu Azam Tv na TBC kuhusu kuonyesha hizi mechi lakini binafs hainihusu Sina pesa ya kulipia king’amuzi kwa miez hii miwili mitatu na stress...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FIFA yazikataa jezi za Haiti za Kombe la Dunia kwa madai ya ujumbe wa kisiasa

    Haiti imelazimika kubadilisha jezi zake za Kombe la Dunia Saa chache kabla ya kuanza kwa Kombe la Dunia 2026 baada ya FIFA kubaini kuwa baadhi ya vipengele vya muundo wake vinakiuka kanuni za taasisi hiyo kuhusu ujumbe wa kisiasa. Jezi hizo zilikuwa zimetengenezwa na kampuni ya Colombia ya Saeta...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa Kombe la Dunia 2026 atapata Tsh. Bilioni 131, wa Pili Tsh. Bilioni 92

    World Cup 2026 prize money – how much do teams earn for taking part and winning? THE 2026 FIFA World Cup will reportedly have a record prize pool, a stark increase from the £380million ($440m) up for grabs in 2022. This prize money is set to be split between the 48 competing teams. Here we...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FT: Ufunguzi Kombe la Dunia 2026 | Mexico 2-0 Afrika Kusini | Uwanja: Estadio Azteca | Mexico City

    Ndiyo, leo ndiyo siku ya ufunguzi wa Kombe la Dunia 2026! ⚽🌎 Mexico itafungua Kombe la Dunia dhidi ya Afrika Kusini mjini Mexico City. Hii ni marudio ya mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia 2010, ambapo timu hizi zilitoka sare ya 1–1 nchini Afrika Kusini. Jambo la kipekee ni kwamba Estadio...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania MAREKANI: Urusi imefungiwa na Marekani kucheza Kombe la Dunia?

    Kama USA imemrudisha refa wa Somalia, basi ile ni isue ndogo sana kwa Marekani, hili la Urusi Gen Z na millenia hamjui. Urusi haishiriki Kombe la Dunia la 2026 kwa sababu FIFA iliweka kizuizi rasmi kinachozuia timu hiyo kushiriki katika mashindano yake yote tangu mwezi Februari 2022. Hali hii...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Huu ndio utabiri wa Likud kuhusu kombe la Dunia 2026

    Bingwa atakuwa Croatia. Mimi sio mchawi. Sio mtabiri. Sio Ostaz. Sio Mtume na Nabii. Ni Mwanahisabati/ Mwanasayansi ( my mindset is scientific and mathematically oriented)/ Mwanamichezo. Nimefanya uchambuzi wa kisayansi, nimepiga hesabu zangu zote na nimejiridhisha pasi na Shaka yoyote...
  17. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Mwamuzi wa Somalia wa Kombe la Dunia akataliwa kuingia nchini Marekani

    Gazeti la New York Times hivi karibuni limetoa ripoti ikisema, mwamuzi wa Kombe la Dunia la mwaka 2026 ambaye ni raia wa Somalia Omar Artan, amekataliwa kuingia nchini Marekani. Artan alikuwa mmoja wa waamuzi 7 wa Afrika waliochaguliwa kwa Kombe la Dunia la mwaka 2026 litakalofanyika nchini...
  18. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Michuano ya Kombe la Dunia 2026 huko USA itakuwa michuano MIBOVU kuwahi kutokea tangu kuanzishwa kwake

    Sasa sababu ya Trump akalazimisha kinguvu michuano hio ifanyike nchini kwake ili kujipa ujiko usio na maana yoyote , Sasa tunaona michuano imeshakua MIBOVU hata kabla haijaanza...joto Kali, wachezaji wanafanya mazoezi kwenye viwanja vyenye nyoka wakali, timu Zinazuiwa kuingia nchini, mara...
  19. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Msanii mliyesema kaishiwa, Rayvanny kashachaguliwa huko kutumbuiza kwenye Kombe La Dunia

    Msanii wa muziki, Rayvanny ametangaza kuwa atakuwa miongoni mwa wasanii watakaoshiriki katika tamasha la FIFA Countdown Concert kuelekea mashindano ya 2026 FIFA World Cup, Huko Toronto, Nchini Canada Siku ya Kesho Jumatano Juni 10
  20. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wekundu wa Msimbazi Point Zenu 3 Hizi Hapa FIFA Dhidi Ya Utopolo

    Subject: Formal Complaint – Atletico de Utopolo’s Violation of FIFA Regulations To: Fédération Internationale de Football Association (FIFA) From: Chief Executive Officer, Wekundu wa Msimbazi Date: May 4, 2026 1. Introduction Dear FIFA Disciplinary Committee, On May 3, 2026, at 18:00...
Back
Top Bottom