Ronald Koeman amejiuzulu rasmi kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uholanzi baada ya timu hiyo kutolewa kwenye Kombe la Dunia 2026 katika hatua ya 32 bora kufuatia kufungwa na Morocco kwa mikwaju ya penalti.
Koeman ametangaza uamuzi huo siku moja baada ya kipigo hicho kilichokatisha safari ya...
Timu za Afrika kwenye Kombe la dunia zimeonesha tabia zetu halisi kwenye mashindano ya Kombe la dunia.
1. Wachoyo wa kupasiana (ubinafsi)
2. Wazito wa kufanya maamuzi Kwa wakati.
3. Kila anayepata mpira anatamani yeye pekee ndiyo afunge.
4. Uvivu kwenye kukaba adui.
5. Kutokufuatilia...
Baadhi ya waislam wanaacha swala ya Alfajiri na kukaa ktk TV kuangalia kombe la Dunia. Hili ni kosa kubwa kwa muislam tena dhambi kubwa.
Quran unasema:
"Hakika Swala imefaradhishwa kwa Waumini kwa nyakati maalumu." (Surah An-Nisa 4:103)
Na pia:
"Ole wao wanaoswali, ambao wameghafilika na Swala...
Kombe la Dunia 2026 limeonyesha kuwa soka la Afrika limefikia hatua mpya. Mataifa mengi ya Afrika yamefanikiwa kuvuka hatua ya makundi na kuthibitisha kuwa yanaweza kushindana na vigogo wa soka duniani. Hii ni fahari kwa bara zima.
Lakini mafanikio haya yanapaswa pia kuwa somo kwa Tanzania...
Mashabiki wageni kutoka mataifa mbalimbali walioenda kuangalia weldi cup wamekumbana na usumbufu na sintofahamu nchini Marekani katika huduma za migahawa na bar kutokana na utamaduni wa Marekani wa mteja kulazimika kulipa 20% ya ziada juu ya gharama halisi kama tip/ ahsante/ bakshish kwa...
Habari za msimu huu wa Kombe la Dunia Wana-JamiiForums!
Mambo yamepamba moto, na ratiba ya mechi za usiku inatupa burudani sana. Scenario iko hivi: Mechi imeisha saa sita au saa nane usiku, ulikuwa "Bar" au nyumbani kwa mshkaji mnatupa vyombo (drinks), mnapiga kelele, na furaha au machungu ya...
Juzi tumeona Davido nyota wa mziki wa Nigeria aki protest jukwaani utekaji na mauaji ya raia nchini mwake. Ni kawaida kwa ma star wanaojielewa.
Kijana Pele akiwa na miaka 29 alishinda kombe la dunia mara ya tatu na ya mwisho. Mwaka unaofuata 1971 akastaafu mpira.
Baadae akaeleza akasema...
Ebana Wanajamvi inakuwaje pande za huko? Poleni na majukumu, pilka pilka na mikiki mikiki ya hapa na pale ya kutafuta riziki maisha yaende.
To my side really I can't complain as long as am sure of smoking it's something am overwhelming grateful.
Faster kwenye mada watu wangu. Hiki kitu...
Kama unajisumbukia kuwasikiliza CCM utapata shida sana.
Hapa na zungumzia dunia ambayo ina watu nyuma ya dunia wanaweza kukupa signal,habari ambazo kwa mwenye akili ndogo unaweza kusema yule kichaa.
Afrika inarudishwa kwa wazungu tena.
Na kombe la dunia finali kutakuwa Portuguese vs...
Aiseeee .... Kunatisha watu wamejaa sana viwanjani. Kombe limevutia sana. Tulisema halitakuwa na watu lakini tumeona hali ilivyo huko USA, Canada na Mexico.
Hongera zao kwa kweli.
Kachezeni mnapochezaga!
Sitaki salamu zenu za kichawi msije nipotezea ndege wangu.
Mlifikiri nimekwama na maisha yangu yataishia hapahapa ndani. Hahaha! Hamtaweza na mmeshindwa kwa jina lile la maajabu.
Oooh! Mtibeli usitoe siri zako kuna watu watakuloga safari utajifia. Thubutu! Kusema nasema...
Mfungaji wa bao la Ramin Rezaeian wa timu ya taifa ya Iran na Nyota wa mchezo dhidi ya New Zealand katika michuano ya Kombe la Dunia, alimwambia mwandishi wa habari kuwa kelele za kuzomea kutoka kwa waandamanaji wa diaspora ya Iran wakati wa wimbo wa taifa wa nchi yake “hazikuhusu wewe,” baada...
Kitimoto kimeuzwa na kimelika kiwanjani World Cup Mexico kwenye game ya Tunisia na Sweden!
Hakika mpira ndilo jambo la kuwaunganisha binadamu wote duniani, tuheshimu sana nguvu ya football. Huenda ndio maana hata wapinzani wameshindwa kuondoa akili za raia katika Simba na Yanga.
Wakati mashindano ya Kombe la Dunia yanaendelea na mamilioni ya watu wakifuatilia kwa hamu kuona nani atainua kombe, nakukumbusha kwamba mashindano makali zaidi duniani hayafanyiki katika viwanja vya michezo bali ndani ya moyo wa mwanadamu.
Ni mashindano kati ya mwili na roho.
Mwili unatamani...
AzamTv wanarusha mechi sote 104 za Kombe la Dunia kwa Kiswahili na Kiingereza.
Wasomi wetu wapo idhaa ya Kiswahili kupitia Azam Sports 2HD hapo unawakuta akina Shaffih Dauda, Edo Kumwembe, Ally Mayai, Muro na wengineo wakichambua kwa manjonjo yote.
Kule Azam Sports 4HD wapo akina Chiko Lawi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.