kombe la dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania FIFA yakataa ombi la Iran la kucheza mechi za Kombe la Dunia nje ya Marekani

    FIFA imeripotiwa kukataa pendekezo la Iran la kuhamisha mechi zake za Kombe la Dunia 2026 kutoka Marekani hadi Mexico. Ombi hilo limekuja baada ya Maofisa wa Iran kuibua wasiwasi wa kiusalama na kueleza upendeleo wa kuepuka kucheza kwenye ardhi ya Marekani huku kukiwa na mvutano wa kisiasa wa...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Iran yataka kucheza mechi za Kombe la Dunia nje ya Marekani

    Iran's embassy in Mexico on Tuesday said the country is negotiating with FIFA to move Iran's World Cup matches from the U.S. to Mexico after President Donald Trump discouraged the team from attending the tournament, citing safety concerns. It was already unclear whether such talks were even...
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Waamuzi wa Afrika watakaochezesha mechi za FIFA World Cup 2026

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF), limetoa orodha ya Waamuzi wa Afrika na Maafisa wa VAR waliochaguliwa kuchezesha Kombe la Dunia la FIFA 2026, huku maafisa kadhaa wenye uzoefu wakipata fursa ya kuwakilisha bara kwenye Mashindano makubwa zaidi ya Kandanda. Michuano hiyo ya Kombe la Dunia...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Naona kama Kombe La Dunia la mwaka huu halina 'mzuka'. Ni mimi peke yangu?

    Wakuu, Kombe la Dunia nimejulishwa ni mwezi wa 6 hapo lakini tofauti na miaka mingine kama 2010 au 2014 au 2018 ambapo miezi miwili au 3 kabla unaona kabisa kuna heka heka na shamrashamra lakini so far naona kimya Sioni nyimbo za World Cup zikitrend. Nakumbuka kipindi kile kulikuwa na ule...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Trump: Kwa kweli ‘sijali’ kama Iran itashiriki Kombe la Dunia 2026

    Donald Trump amesema ‘hajali’ iwapo timu ya taifa ya Iran itashriki katika Kombe la Dunia la FIFA 2026, michuano itakayofanyika majira ya joto mwaka huu. Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema ‘hajali’ kama Iran itashiriki katika Kombe la Dunia mwaka 2026 litakalofanyika majira ya joto mwaka...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia la FIFA 2026

    Kombe la Dunia la FIFA 2026, mashindano makubwa ya kimataifa ya soka, yanaanza rasmi Juni 11, 2026 na kuleta pamoja timu bora za Taifa kutoka duniani kote. Kwa mara ya kwanza katika historia, mashindano haya yanaandaliwa kwa ushirikiano wa nchi tatu: Marekani, Canada, na Mexico. Idadi ya timu...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kenya, Tanzania kufuzu kwa raundi inayofuata ya mchujo wa kufuzu kwa Kombe la Dunia la FIFA la Wanawake U-20

    Luanda, Angola Septemba 28, 2025 Tanzania imesonga mbele kwa jumla ya mabao 7-0 dhidi ya Angola. Baada ya kushinda 4-0 katika mechi ya kwanza, Tanzania ilipata ushindi wa 3-0 katika mechi iliyochezwa Jumamosi mjini Luanda. Winfrida Hurbert Gerald, Asha Omary Ramadhani na Neema Paul Kinega...
  8. Zacht

    JamiiForums Tanzania Hispania yatishia kususia Kombe la Dunia la 2026 endapo Israel itaruhusiwa kushiriki kombe hilo

    Kutokana na msimamo wa kisiasa wa Hispania kuhusu mgogoro wa Gaza na shutuma za ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya Israel. Serikali ya Hispania, chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Pedro Sánchez, imesema kuwa inaweza kuondoa timu yake ya taifa kutoka kwenye mashindano ya Kombe la Dunia la 2026...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Cape Verde kisiwa chenye watu wapatao 600,000 kufuzu kwenda kucheza kombe la Dunia ikishinda mechi moja ijayo

    Carpe Verde ni kisiwa kilichopo kwenye Bahari ya Atlantiki, magharibi mwa pwani ya Afrika, likiwa ni taifa dogo lenye wakazi wapatao 600,000. Juzi kati Cape Verde aliifunga Cameroon mabingwa wa mara tano wa fainali za mataifa huru ya Afrika goli 1-0 katika mechi ilofanyika katika mji wa kisiwa...
  10. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Kombe la Dunia, Afrika imepewa nafasi 9

    Pamoja na kuwa mtu hazuiliwi kuongea chochote kuna watu washaanza mdomo et tanzania itafuzu kumbe la dunia kwa kushika nafasi ya pili. Ukweli nikwamba timu itakayoongoza kila kundi ndiyo utakayofuzu kombe la dunia. Baada ya hapo Fifa ilitoa nafasi mbili kushindaniwa na mabara yote. Ambapo...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania FT' Congo Brazzaville 1-1 Tanzania inaisaka nafasi ya kucheza Kombe la Dunia 2026, Septemba 5, 2025| Saa 1:00 Usiku| Alphonse Massemba

    Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimbani hii leo kuivaa Congo Brazzaville katika mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026. Mchezo huu ni sehemu ya harakati za Stars kusaka tiketi ya kushiriki fainali za dunia kwa mara ya kwanza katika historia yake. Baada ya mchezo...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Thomas Tuchel Aitaja Kikosi cha England kitakachowavaa Andora na Serbia kufuzu Kombe la Dunia

    Kocha wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, ametangaza kikosi cha wachezaji watakaoshiriki Kombe la Dunia mwezi Septemba. Kikosi hicho kinajumuisha wachezaji wenye nafasi mbalimbali: Goalkeepers: Dean Henderson, Jordan Pickford, James Trafford Defenders: Dan Burn, Marc Guehi, Reece James...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Chelsea yaingiza dola milioni 150 baada ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la Klabu, ambalo tiketi zake zote ziliuzwa. Huenda FIFA hawakukosea!

    Wapo waliokuwa wakisema kuwa mashindano ya FIFA Club World Cup hayana mvuto. Lakini je, kauli hizo zilianza kabla au baada ya Chelsea kutwaa ubingwa na PSG kupoteza? Ikumbukwe kuwa kupitia mashindano haya, Chelsea imevuna kiasi cha dola milioni 50, huku mashindano yote yakihitimishwa kwa...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    JamiiForums Tanzania Kihasibu imekaaje? Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika

    Moja kwa moja kwenye mada. Nimeipata kwa Micky wa Ghana. 🚨 Kombe la Dunia la Klabu 2029 – Mchujo wa Afrika! 🌍 ✅ Pyramids FC ndio timu ya kwanza ya Afrika kufuzu! 🎟️ Nafasi 3 zaidi zitakwenda kwa mabingwa wa CAF Champions League wa misimu ijayo: 2025/26 2026/27 2027/28 📌 Iwapo timu itashinda...
  15. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Figisu figisu za mpira wa Africa zimefanya tuaibike kombe la dunia la vilabu

    Mpira wa Africa haupo stable na haupo serious. Licha wa Africa wengi kuwa na wendawazimu wa mpira labda uongozi wa mpira Africa ni kama Wana project yao tofauti na matarajio wa watu wengi. Na kitu cha kushangaza zaidi asilimia kubwa ya timu za Africa zinazofanya vizuri kwenye AFCON huwezi kuona...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Siamini kama Aziz Kii kasajiliwa Wydad kwa ajili ya kombe la dunia la vilabu

    Game zote mbili alizocheza KAINGIZWA DAKIKA 5 ZA MWISHO
  17. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Kombe la dunia la vilabu na marefa wetu wa bongo

    Hivi nyie marefa mnaona wenzenu wanavyochezesha Mpira? Bongo mtu akiguswa tu kidogo filimbi inapulizwa hasa mkiwa mnachezesha hizo timu zetu za kurithi. Kama mna akili na mnataka mfike mabli fatilieni haya mashindano hamtabaki kama mlivyo msimu ujao. Naipenda Sana ligi ya Saudia hakuna...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa Kombe la Dunia la Vilabu waanza leo na timu 32 litafanyika kila baada ya miaka 4

    Kombe la Dunia la Vilabu kwa muundo mpya linaanza rasmi leo tarehe 14 Juni 2025, likifanyika nchini Marekani, na kwa mara ya kwanza likihusisha vilabu 32 kutoka mabara yote. Hili ni toleo la kihistoria kwa sababu litakuwa linafanyika kila baada ya miaka 4, sawa na Kombe la Dunia la Timu za...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania MWAMUZI DEHANE ALIECHEZESHA FINA L YA SIMBA VS BERKANE ACHAGULIWA KUCHEZESHA KOMBE la DUNIA la VILABU MAREKANI....CONGS MWAMBA

    Mwamba dehane N MMOJA WA WAAMUZI WALIOCHAGULIWA KUCHEZESHA MECHI ZA MAREKANI KOMBE la DUNIA LA VILABU Mwambaaaa nyotaaa inazidi kungaaa
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kama Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA lingefanyika 2026 Simba ingeshiriki

    Kombe la Dunia la Vilabu la FIFA 2025 ni mashindano mapya ya kimataifa yanayotarajiwa kufanyika Juni hadi Julai 2025 huko Marekani. Mashindano haya yanajumuisha vilabu bora kutoka mabara sita, yakiwa ni hafla ya kipekee ya kukutanisha vilabu vinavyowakilisha ubora wa soka duniani. Bara la Afrika...
Back
Top Bottom