Makonda ndani ya ufunguzi kombe la dunia Mexico

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,925
Reaction score
6,573
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda ni miongoni mwa waliohudhuria ufunguzi wa Fainali za Kombe la Dunia.

Uzinduzi huo umefanyika katika Uwanja wa Azteca uliopo Mexico City, Mexico.

Soma Pia: Full Time: Ufunguzi Kombe la Dunia 2026 | Mexico 2-0 Afrika Kusini | Uwanja: Estadio Azteca | Mexico City

Makonda ameonekana akiwa anacheza wakati wasanii wakitumbuiza kwenye tukio hilo ambalo limefuatiwa na mechi baina ya wenyeji Mexico na Afrika Kusini.

Ataishia Mexico US hakanyagi.
 
Avuke mpaka aingie US
 
Haelewi chochote hapo.. kvalisha translator
 
Huyu fala mnampaisha sana.. binafsi simpendi kheri Sa💯
 
Aje hapa USA na msichokijua ule utekaji na maujinga yake aliyafanya Kwa raia wa Tanzania angemfanyia mmarekani ndani ya Tanzania kama alivyomfanyia lissu basi CIA wangemnyakua hapo hapo mehiko kama walivyomnyakua Maduro.
 
Back
Top Bottom