Je kwenye soka umri ni namba tu kama ilivyo kwenye mahusiano? Je Ronaldo(41) na Messi(39) bado wana cha kuonesha na kuwakosha mashabiki kiukweli kabisa au watabebwa na majina tu bila kuonesha soka safi la ushindani?
Je wamewazibia tu vijana wengine ambao walipaswa kupewa nafasi kuliko vijeba...
Gepu limepungua sana baina ya mataifa yalitokuwa yanatawala soka na mataifa mengine chipukizi katika kusakata kandanda.
Tutarajie matokeo yasiyotarajiwa maana kuna vigogo wataadhirika kwa kichapo kutoka nchi zisizokuwa na historia kubwa ya soka. Kuna nchi toka Afrika na Asia zitashangaza...
Huu ndiyo wakati muafaka wa Ureno kubeba kombe la dunia. Ina vipaji lukuki na bado wanaye veteran CR7 wa kuwahamasisha ndani ya uwanja! Bila shaka haya yatakuwa mashindano ya mwisho CR7 kushiriki kombe la dunia kama mchezaji! Mashindano yajayo atakuwa na miaka 45!! Nadhani baada ya Euro 2028...
Hiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote.
kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og.
Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika...
Kombe la Dunia (FIFA World Cup) limechukuliwa na mataifa 8 tu tangu mashindano hayo yaanze mwaka 1930.
Brazil ndiyo nchi yenye mataji mengi zaidi ya Kombe la Dunia ikiwa na mataji 5. Bingwa wa sasa ni Argentina, iliyoshinda Kombe la Dunia la 2022.
Kwa bara:
Ulaya imetoa mabingwa 5 (Germany...
Nike hivi karibuni wametoa tangazo kubwa la kimataifa la mpira wa miguu linaloitwa "Rip the Script" likiwakutanisha mastaa wakubwa duniani kama Cristiano Ronaldo, Kylian Mbappe, Erling Haaland, Ronaldinho, Zlatan Ibrahimovic, LeBron James, Kim Kardashian na wengine wengi.
Tangazo hilo...
Wakuu,
Haya ndugu zangu, wale wapenzi wa Sports mmefikiwa
Sina shaka na Dauda ila hapa kwa Meena mmmh
Mbona kuna female presenters wazuri tu (mfano Salama Jabiri) ambao wangeweza kufit hapa kuliko yeye?
Huyu si alikuwa mtangazaji wa XXL? Kipindi cha kwenye entertainment sasa inakuwaje...
Mwaka huu katika kombe la dunia, aina ya mpira ambao utatumika utakuwa na teknolojia mpya ya kisasa zaidi.
Mipira hiyo ya Adidas inaitwa Trionda, itakuwa na sensor maalum na chip ya IMU inayokusanya taarifa mara 500 kwa sekunde itakuwa na uwezo wa kutambua
Mpira umeguswa,
Location ya mpira...
Natamani kila Mtanzania aelewe namna ambavyo viongozi wetu wanatuchukulia
Wanatuchukulia kama mazwazwa,mapwoyoyo flani yasiyotofautisha mambo serious na ishu extra yaani za burudani kama mpira.
Siku Simba na Yanga wamecheza mpira tarehe Sikumbuki wa NBC premier league,tukiwa busy sijui na...
Neymar ameripotiwa kuumia siku cjache kabla ya Kombe la Dunia kuanza na ataukosa michezo wa Brazil dhidi ya Morocco
Katika majumuisho ya awali, kocha Carlo Ancelotti alikuwa amemuacha staa huyo kutokana na kutokuwa fit na kuandamwa na majeraha, lakini shinikizo kutoka kwa wanasiasa, mashabiki...
Lionel Messi, nahodha wa Inter Miami na Argentina jana aliumia kwenye mchezo wa ligi ya MLS.
Messi alitolewa dakika ya 73 na kuelekea moja kwa moja kwenye vyumba vya kubadilishia nguo huku akishika mguu wake.
Hii inatokea wiki chache kabla ya mashindano makubwa ya World Cup.
Jeraha la Messi...
Kikosi cha Kombe la Dunia cha DR Congo kitalazimika kujitenga kwa uangalizi maalum wa afya nchini Ubelgiji kwa siku 21 mfululizo ili kuruhusiwa kuingia Marekani. Hatua hiyo ya kiusalama imewekwa na maafisa wa Marekani kutokana na mlipuko unaoendelea wa ugonjwa wa Ebola katika Jamhuri ya...
Tayari mkufuzi Tuchel kataja majina ya wachezaji watakao wakilisha Taifa la Uingereza ( England ) kwenye mashindano ya Kombe la Dunia
Kikosi hiki kimepokelewa kwa mitazamo tofauti na wapenzi wa soka ulimwenguni ( mashabiki ) kukosekana kwa Wharton toka Cyrstal Palace , Levi Colwill toka...
Congrats nyingi sana Kwa Timu ya Tanzania.
Hongera Rais Samia na Mwinyi Kwa kuwanunulia mashabiki tiketi za Bure waje kushangilia timu yetu na hawajatuangisha.
https://www.instagram.com/p/DYKofFiDbNy/?igsh=MTU3dHI1NGR2em04Ng==
https://www.instagram.com/p/DYKismUjUz1/?igsh=MTcybGsycHV4NGxlcw==
Akizungumza katika jukwaa la CNBC la Invest in America, Infantino, Aprili 15, 2026, alisema ni muhimu kwa Iran kushiriki michuano hiyo hata kama ushiriki wake umekuwa na mashaka tangu Marekani na Israel zilipoanzisha mashambulizi ya anga nchini humo.
"Timu ya Iran inakuja bila shaka, ndiyo,"...
Kampuni ya vifaa vya michezo ya Nike imekiri kuwa na kasoro katika jezi mpya za timu za taifa kwa ajili ya Kombe la Dunia, zikiwemo zile za England zinazouzwa kwa takriban Pauni 135. Tatizo hilo linahusisha mshono wa mabega ambao unajivuta na kutengeneza uvimbe usio wa kawaida (bulging), hali...
Imeonya kwamba mashindano ya mwaka 2026 yanaweza kugeuka kuwa jukwaa la ukandamizaji na matendo ya kidikteta.
Ripoti mpya ya shirika la haki za binaadamu iliyotolewa Machi 30, 2026 imeonya kwamba mashindano ya Kombe la Dunia mwaka huu yanaweza kugeuka kuwa jukwaa la ukandamizaji na matendo ya...
Serikali ya Marekaninchini ya Rais Donald Trump inaweza kuwalazimu wasafiri kutoka nchi tano zilizofuzu Kombe la Dunia kulipa dhamana ya hadi Dola 15,000 ili kuruhusiwa kuingia nchini Marekani kwa ajili ya michuano hiyo.
Jinsi Dhamana Hizi Zinavyofanya KaziDhamana za viza zinafanya kazi kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.