kiwanja

  1. Bwegemsela

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinahitajika Sengerema mjini

    Natafuta kiwanja Sengerema mjini kiwe katika eneo zuri la kibiashara ofa yangu 10m
  2. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kikubwa hatua 50 kwa 22 kinauzwa Mbezi Mwisho, 2km kutoka Morogoro Road

    Kiwanja kipo Mbezi Mwisho kilometa moja na nusu kutoka Morogoro Road njia nane na kilometer 2 kutoka Kituo kipya cha mabasi Ubungo . kiwanja kimepimwa Maji ya dawassa Umeme Na huduma zote za kijamii zipo Ukubwa wa kiwanja ni 50 kwa 22 sawa na sqm 1100. Bei ya kiwanja ni 28 million Tshs...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nijenge nyumba kubwa kwa muda mrefu au nijenge ndogo uani, kiwanja 20:30

    naombeni ushauri wenu ndugu, ninakiwanja cha 20:30 square meter, uwezo wa kujenga nyumba kubwa kwa haraka sina na maisha ya kupanga siyapendi, je mnanishauri nini? nijenge ndogo tu kwa nyuma kwanza nihamie au nivumilie nijenge kubwa ingawa itanichukua muda mrefu kutokana na hali ya kipato, na...
  4. mwakifamba

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja cha tsh 1M Kibaha

    Habari. Natafuta kiwanja kuanzia sqm 350 kuwndelea kwa ajili ya makazi kuanzia maeneo ya kibaha kwa matias kwenda hadi kiluvya pande zote pia hadi vikawe. Kilichopimwa au hakijapimwa. Ni PM km unajua kama kipo kinachouzwa
  5. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja chenye hati kinauzwa Morogoro Mjini Tshs Milioni 3

    Ninauza Kiwanja number 36 kilichopo Mkundi, Morogoro mjini, umbali mita miambili toka Dodoma road. Kina hati rasmi, siyo squatter. Gharama ya kubadilisha jina la hati itakuwa juu yako ambayo haizidi laki mbili na nusu. Ukubwa wa kiwanja ni 400 mita za mraba ( 20 kwa 20) . Bei ni Milioni tatu...
  6. Kingo

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa Lukobe-Morogoro 1242m²

    Kiwanja chenye ukubwa wa 1242m² kinauzwa maeneo ya Lukobe Morogoro Manispaa, kipo jirani na barabara kimepimwa na kulipiwa ada zote. Bei Tsh 6,000 000. Piga +255754202507 kwa maelezo zaidi
  7. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kizuri kibiashara kinauzwa Kimbiji-Kigamboni, Dar es Salaam

    Eneo liko Kimbiji-Kwa Moris, Kigamboni.Ukubwa wake ni mita20 kwa22. Eneo lipo karibu na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni (beach) Bahari ya Hindi. Panafaa sana kibiashara,hasa kujenga duka,hoteli,kufyatulia matofali,mashine ya kusaga na kukoboa, kuoteshea miche ya miti na maua nk.Umeme...
  8. hp4510

    JamiiForums Tanzania Mwenye kiwanja Kigamboni Geza

    Wakuu, Naitaji kiwanja maeneo ya Geza bajeti yangu ni milion 7 Kama kuna mtu yeyote mwenye nacho ani-DM
  9. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Madale

    Kiwanja kinauzwa kipo Madale mwisho wa magari karibu na barabarani kina ukubwa wa square 600. Kimeshapimwa bei million 8.5 no: 0655 628 795
  10. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania Pata ushauri kuhusu gharama halisi za ujenzi kulingana na mchoro wako, location ya site na landscape ya kiwanja

    Kwa mahitaji ya kutaka kujua gharama halisi utakazotumia katika kukamilisha ujenzi wa jengo lako (BOQ). Natoa huduma ya kufanya mchanganuao wa idadi halisi ya materials utakazotumia mpaka kukamilisha ujenzi. MAHITAJI 1. Mchoro 2. Kufika site. 1. MCHORO Mchoro utanisaidia kujua ukubwa wa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ni taratibu gani za kuuza kiwanja kilichowekwa kama dhamana zinazotakiwa kufuata baada ya mkopaji kushindwa kulipa deni?

    Naomba kuuliza iwapo mtu amekopa fedha na akaweka kiwanja kama dhamana na kukawa na mkataba wa maandishi kuwa akishindwa kulipa deni basi kiwanja alichoweka Kama dhamana kitachukuliwa na kuwa mali ya mkopeshaji na ambachi atakiuza ili kulipia deni. Kwa mfano,hata kama mkataba unamruhusu...
  12. Mikopo Chefuchefu

    JamiiForums Tanzania Kiwanja changu kimekaa kama sambusa, ninapanga kumega eneo la jirani kiwe square. Sheria inasemaje kuhusu hili?

    Kwa kweli siridhiki kuona kiwanja changu kimekaa kama sambusa.. Natamani kiwe square kama kiwanja cha mpira. Sasa ili 'kuboresha mipango miji' ninapanga kumega kama mita moja kutoka kwa jirani ili kikae sawa. Hapa ninakusanya nguvu ya tofali elfu mbili.. Nikija kuibuka naibuka na ukuta mmoja...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta shamba au kiwanja Mwanza/ Sengerema

    Natafuta kiwanja au shamba eneo la Busisi / Kigongo feli Mwanza au upande wa kuelekea Sengerema. Eneo liwe barabarani Ukubwa wowote kuanzia nusu hekari hadi hekari 2. -Eneo liwe barabarani linaweza kuwa na hati au halina. -Linaweza kuwa limepimwa au halijapimwa. Uaminifu ni muhimu malipo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Madale

    Kiwanja kinauzwa kipo Madale Mkoroshini, karibu na barabarani Kiwanja kina ukubwa wa square 625 Bei ni Tshs million 23 Mawasiliano: 0756855563
  15. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Madale

    Kiwanja kinauzwa kipo Madale kwa Kawawa ni karibu na barabarani kina ukubwa wa square 1500 bei million 15 no:0756855563
  16. 0

    JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja Dodoma Nala-Lugala

    Kiwanja kimepimwa..ni kwaajili ya shule (nursery) kina ukubwa wa square meter 2786. Bei ni 6000@square meter 1 (maongezi yapo) kwa yoyote alokua interested anicheki watsap no 0755322896
  17. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kiwanja

    Kama Kichwa kinavyo jielezea; nahitaji kiwanja maeneo ya Goba, Budget yangu ni 8,000,000/= Wahusikia karibuni 0786328632
  18. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza Kiwanja

    Wadau nauza Kiwanja changu, kipo wilaya mpya ya Kigamboni, Kimepakana na viwanja vya Kisota. Kiwanja kinaangalia barabara ya kutoka Ugindoni kuelekea Kisota. Kipo sehemu tambarale hakuna maji yanayotuama. Ukubwa wa Kiwanja ni Sqrms 576. Atakaekuwa anahitaji tuwasiliane kwa namba 0713851751, Bei...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinatakiwa

    Kiwanja kinatakiwa kiwe maeneo ya Kiluvya au Kibaha umbali usiozidi km 5 toka Morogoro Road. Ukubwa isiwe chini ya mita za mraba 750, bei ISIZIDI Tsh 2,000,000/=(milioni mbili). Zingatieni bei, umbali na ukubwa. Karibuni!
  20. nyamchele

    JamiiForums Tanzania House4Sale Kiwanja na nyumba vinauzwa Magomeni

    Sehemu: Magomeni Kagera (kinatazamana na Morogoro Rd) Ukubwa: 347 sqm Bei: Milioni mia moja na kumi tu (110,000,000) tu Kina Leseni ya Makazi Contact: 0655888268
Back
Top Bottom