kiwanja

  1. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Pata ramani ya nyumba aina yoyote kwa bei nafuu

    Habari wakuu, Ninatoa huduma ya michoro ya ramani za nyumba. Ramani zipo nyingi za aina na ukubwa tofauti, hivyo nitatoa kulingana na mahitaji ya mteja na kufanya marekebisho kidogo ili kukidhi hitaji husika. Utanipa 'details' zako kamili na maelezo ya kiwanja chako. Marekebisho ninayofanya ni...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Bei ya kiwanja Mbezi, Bunju au Kigamboni unapata nyumba Chanika au Mbagala

    Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure? Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana? Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na viunga vyake. Mimi nilinunua kiwanja 400 square miter chanika kwa 1 M. Tu tena kimepimwa. Nilinunua...
  3. kibovu

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kiwanja cha bata leo

    Wadau habari zenu, ndugu zangu ni muda wa mwaka sasa nikiwa kikazi mkoani. Leo nimeingia jijini Dar es salaam hakika jiji linazidi kukua na kupendeza kila siku. Wadau nisiwachoshe naombeni mnielekeze kiwanja kilicho happen kwa sasa unakula bear huku unacheza na chenye watoto wakali wa kike...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar Es Salaam

    Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili. Bei: Tsh. 950,000/= Umeme Upo na maji visima vipo karibu Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18 Hakuna Dalalii Piga namba 0627864823 Huduma za kijamii kama shule na zahanati zipo karibu. DEAL DONE!
  5. Clemoo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Mvuti Kimeshuka bei

    Kiwanja kinauzwa kipo Mvuti -kiboga, Mvuti ipo katikati ya mbagala na Chanika now kinauzwa kwa tsh 1.2m tu ukubwa 30x16m.kutoka Mvuti stand mpk site bodaboda tsh 2000 0657999034
  6. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Kiwanja Kinauzwa Ukubwa SQM 30 kwa 30 Kigamboni

    Kiwanja kinauzwa Kina ukubwa wa 900 sqm Kiwanja Kipo Kigamboni Gezaulole Umbali wa KM 2 kutoka Barabara kuu ya lami.Kiwanja hakina hati.Bei ni TZS Mil 14.5 Kiwanja kina ukubwa wa sqm 300 kipo Gezaulole km1 kutoka barabara kuu ya lami.Hakina hati-Bei ni TZS Mil 7. Kiwanja Chenye ukubwa sqm 225...
  7. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Mzee Mkapa (RIP) aliomba Tume Huru anazawadiwa Kiwanja cha Mpira

    Nimefuatilia leo kwenye sherehe za kumuaga Rais Mtaafu BW Mkapa. Kilichotokea ni kuwa Rais ameamua kuwa Uwanja wa Mpira Uitwe Uwanja wa Mkapa kama watu wengi walivyopendekeza. Pia, alisema kuwa Mzee Mkapa hakupenda jina lake liwe kwenye kumbukumbu kama hizo lakini kwa vile hayupo basi ameamua...
  8. Jamaa Fulani Mjuaji

    JamiiForums Tanzania Naona kama kupata hati pengine ni suala la wachache hapa nchini

    Wadau Naombeni msaada kidogo pengine hapa naweza kusaidiwa hata mawazo, hili jambo limenitesa sana nimekuwa nikifuatilia kupata hati ya eneo langu ambalo limepimwa na nimelipia kila kitu na risiti ninazo ila changamoto nilizokutana nazo mpaka nafanikiwa kupata invoice ya kwenda kulipia na kupata...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dar es Salaam (Tabata au Kinyerezi)

    Habari ndugu, Mimi ni kijana niko katika harakati za kujenga maisha japo kwa kujitutumua sana natafuta kiwanja kisichozidi bei ya 5mil Tsh maeneo ya Tabata au Kinyerezi, kiwanja kilichopimwa na size ianzie angalau 600 Sqm kwa ajili ya makazi. Mwenye kujua kinauzwa au kipo anicheki DM Shukrani.
  10. Mmasihiya

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa mawelewele iringa 800 sq. Meta

    Kiwanja kinauzwa kipo eneo la mawelewele Iringa manispaa kimepimwa na kinafikika kwa barabara ya lami urefu ni 40m na upana 20m eneo la tambarare. Bei 28,000/= kwa meta moja ya mraba
  11. G

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar es Salaam

    Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili. Bei: Tsh. 950,000/= Umeme Upo na maji visima vipo karibu Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18 Hakuna Dalalii Piga namba 0627864823 Huduma za kijamii kama shule na zahanati zipo karibu.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa burudani, je ni kiwanja gani kikali kati ya hivi?

    Nina likizo ya kama siku 21, sasa nina kajisenti hapa ka kula burudani kwa muda huu wa likizo kisha nirudi kuendelea kutumika kwa mwajiri. Kwanza mimi situmii aina yoyote ya kilevi ila nina kilevi changu. Sasa naomba kujua kati ya maeneo haya ya burudani wapi napata kilevi changu au vilevi...
  13. East Wind

    JamiiForums Tanzania Upo kiwanja gani ( Sehemu ya burudani shangwe ) mwana JF

    Upo kiwanja gani ( SEHEMU YA BURUDANI SHANGWE ) mwana JF .. tujumuike kuinuana 😇
  14. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja Kizuri kwa biashara kinauzwa Kigamboni, Dar kwa mil4.5

    Kiwanja kipo Kimbiji kwa Moriss,km30 kutoka Kigamboni.Ukubwa ni mita20 kwa 20. Kipo jirani na barabara kuu lakini nje ya mawe ya hifadhi ya barabara.Kipo jirani na ufukwe(beach). Panafaa kwa minara ya simu,fremu za maduka, mashine za kusaga,duka la hardware,hoteli ,baa,kufyatulia na kuuzia...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kiwanja kilichoko mbele ya barabara kubwa (Budget-8m)/Goba/Bunju/Salasala/Madale nk)

    Habari . Natafuta kiwanja kuanzia maeneo ya Goba/Bunju/Salasala/madale nk ambacho kipo pembezoni mwa barabara kubwa. Kiwanja kinachofaa kwa kuweka biashara. Mwenye nacho ani DM. Shukrani.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Plot4Rent Kiwanja cha makazi kinauzwa maeneo ya Chanika Mwisho - Dar es Salaam

    Eneo: Mtaa wa kwa wa mbili - Zogoali Bei: Tsh. 1,300,000/= Umeme Upo na maji yapo Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18 Hakuna Dalalii Piga namba 0627864823
  17. amaketa

    JamiiForums Tanzania Kiwanja sq 487 naweza jenga ghorofa na kubaki na parking ya kutosha?

    Wana Jf nina kiwanja kipo Dodoma ukubwa na sq 487 nawenza kujenga ghorofa na kupata nafasi ya parking?
  18. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja, ardhi au shamba Morogoro Manispaa

    NATAFUTA KIWANJA , SHAMBA , ARDHI MOROGORO MANISPAA Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, natafuta Kiwanja, Shamba au Ardhi ya kununua Morogoro Manispaa.Ardhi ninayohitaji iwe aidha imepimwa (i.e Surveyed land) au haijapimwa (i.e unsurveyed land or Squatter ), isipokuwa kitu cha...
  19. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Nitajie kiwanja kizuri Chenye totoz mkoani kwenu

    Kwa sisi tunaopenda kusafiri,tukifika huko tuendako huwa tunapenda kufahamu sehemu ambazo tutafurahia maisha tukiwa huko ugenini.Moja ya vitu tunavyopenda ni kwenda kwenye viwanja vyenye watoto wakali,hata kuwaona tu ni raha vyakula na vinywani vinashuka vizuri.Miongozo yenu ni muhimu kuwaza...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, Mkundi Morogoro, 945 meter square

    Hello
Back
Top Bottom