kiwanja

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nauza boma langu lililo kwenye kiwanja cha zaidi ya robo eka!!

    Salam kwenu wakuu. UPDATES; Shukrani kwa wote mliochangia na hata waliosoma tu,JF iliwezesha kufahamiana miongoni mwetu na jambo langu limepata ufumbuzi!! Mbarikiwe!! Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area. Lina vyumba vitatu. Masterroom 1 Vyumba vya kawaida...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo zuri kwajili ya hospital, yard, shule etc. Linauzwa

    Tsh. 180 MILLION NEG, KIFURU HALI YA HEWA, NJIA YA KUELEKEA MBEZI LOUS SUITABLE FOR, school, hospital, yard 🎁2 Acre SIZE🗞️Surveyed Area with beacon☎️0767264754/0739441351
  3. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja maeneo ya Kibugumo Kigamboni, Bajet 2.5M

    Habari Wana jukwaa Natafuta kiwanja BAJETI 2.5M, maeneo ya kibugumo Kigamboni,
  4. F35-Bomber

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuangalia uhalali wa kiwanja kwa smart phone

    Wakuu habari zenu, nawasalimu, pia niki wapongeza kwa kumaliza matumizi ya mshahara bila maumivu. Ok naomba kujuzwa, je inawezekana kuangalia barcode au mawe ya viwanja vilivyopimwa kwa kutumia App au formula yoyote ile kwa simu janja. Naomba msaada wenu juu ya hili.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi, sio lazima kisheria jina la mke na mme kuwa kwenye hati ya kiwanja

    NDG. LUKUVI, SIO LAZIMA KISHERIA JINA LA MKE NA MME KUWA KWENYE HATI YA KIWANJA. Na Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Lazima tunapotoa kauli tuwe tunatofautisha matamanio yetu, na kile sheria inachosema. Tuangalie haya 6 kuhusu kauli ya ndg Lukuvi. 1. Mpaka sasa hakuna sheria...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi: Kuanzia sasa ukiwa na kiwanja kinatakiwa kiitwe kwa jina lako na la mke wako

    Serikali imesema sheria inaruhusu hati ya kumiliki viwanja kuandikwa majina ya familia ikiwemo mume, mke pamoja na watoto hatua ambayo itasaidia kuondoa migogoro ya mirathi. Akizungumza leo Jumamosi Desemba 19, mkoani Kilimanjaro. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Wiliamu Lukuvi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Kiwanja kinauzwa Kigamboni Magogoni

    Eneo Lilipo: Kigamboni Magogoni Aina ya eneo: Eneo la makazi Ukubwa wa kiwanja: 1350 sq meters Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu Umbali kutoka ferry km 5 na umbali kutoka barabara ya lami ni mita 150 Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo Nyaraka: Full Documents...
  8. Jemima Jackson

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa 70 kwa 70 Kigamboni Mwembe Mdogo

    Habari wadau! Nauza kiwanja changu mwembe mdogo kigambo mbele kidogo na ya Dege umbali kutaka Ferry nikama km 25 kufika kwenye kiwanja. 1.UKUBWA hatua 70 kwa 70 2.MUONEKANO Kiwanja kiko tambalale akuna milima wala mabonde kimenyooka 3.DOCUMENTS Hati za serekali...
  9. JAMBONIA LTD

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha hati ya kiwanja ya kijiji/ kitongoji kuwa legal doccument

    Habari wataalam, Kuna sehemu nimeomba mkopo ila katika kipengele cha dhamana (Collateral) nina hati ya kiwanja kupitia serikali ya kijiji, wahusika wamenambia ili waikubali niipeleke kwa mwanasheria ili iwe legal doccument. Sasa nnachotaka kujua hii hati yangu nikiipeleka kwa mwanasheria...
  10. hp4510

    JamiiForums Tanzania Naitaji Kiwanja cha makazi na biashara Dodoma

    Salaam. Jaman naitaji Kiwanja kwa matumizi ya makazi na biashara Mjini dodoma Ningependa Sana ukubwa wa kiwanja uwe Sq m 1500 to 2000. Na maeneo ambayo naitaji ni ilazo, Nkuhungu, au nje ya mji kidogo njia ya kwenda Dar au Iringa. Kwa yeyote ambae anauza au anamjua anaeuza basi anijulishe...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbagala Chamanzi

    KIWANJA KINAUZWA KIPO-DAR ES-SALAAM Tz MAHALI-MBAGALA ENEO - CHAMANZI ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ UMBALI DK 4 TOKA BARABARA KUU YA LAMI __________ NYUMA YA SHULE YA SEKONDARI YA CHAMANZI _______ UKUBWA WAKE KIMEPIMWA #SQM_2643 _____ NYARAKA ZA UMILIKI KINA #HATI SAFI _____________...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa mwanza

    Nauza kiwanja mwanza maeneo ya bwiru kwa maelezo zaidi nicheki
  13. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Kubadirisha jina la kiwanja

    Habari zenu wakuu..! Mimi nimenunua kiwanja lakini hicho kiwanja kina mambo ya mirathi..Lakini kila kitu tumeweka sawa mahakani. Tatizo kubwa lipo kwenye kubadirisha jina kutoka kwa muuzaji kuja kwangu.Kiwanja nimenunua kwa Sh 4500000. Afsa Ardhi ananiambia gharama za kubadilisha majina ni Sh...
  14. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dar es Salaaam

    Wakuu natafuta kiwanja 25*30 au 30*30 kusiwe mbali sanaa na City center angalau 16-22km
  15. Inevitable

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kiwanja cha kujenga jijini Dar. Nina Sh. Milioni 40

    Wakuu, Bajeti yangu ni TSH. 30,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 40,000,000 nikipata kiwanja kizuri. Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Goba lakini maeneo ambayo tayari yameendelezwa. Kama unacho kiwanja (chako mwenyewe) au unamjua mwenye kiwanja maeneo haya, tafadhali...
  16. MrsPablo1

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Mwisho, Sqm 1100

    Nimeshauza tayari
  17. Fuga Kisasa

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja chenye msingi kinauzwa - GOBA

    Tayari kimeuzwa
  18. A

    JamiiForums Tanzania Ujenzi kwenye kiwanja chenye sqm 473

    Habari za wakati huu wadau, natumaini mpo salama. Naomba kufahamu kwa ukubwa wa kiwanja che nye sqm 473 ninaweza kuje nga nyumba yenye vyumba vingapi na nafasi ikabakia ya kutosha. Ninataraji kuanza ujenzi siku za karibuni. natanguliza shukran zangu za dhati.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ninauza kiwanja Cha makazi Kiegeya Morogoro Manispaa

    Habari wanna jamii. Ninauza kiwanja ambacho kina ukubwa wa sqm 558, Kiegeya Morogoro mjini,tayari kina misingi ya nyumba mbili,mmoja una vyumba 3 ikiwemo master bedroom, sitting room,stoo jiko na choo, msingi wa pili Ni wa vyumba viwili, ikiwemo master bedroom, sitting room jiko na choo.
  20. JFK wabongo

    JamiiForums Tanzania Yanga SC tununue hili shamba Kiluvia Makurunge tujenge uwanja tuuite Jakaya Kikwete

    Kichwa cha habari kinajieleza. Kwa nini kiwanja pande hizi? Jibu: Ni rahisi kufikika na mashabaki hata wa mikoani. Jiji la Dar linakua kuelekea Kibaha na Bagamoyo. Hivyo kujenga uwanja pande hizo kutaongeza ari ya mashabiki kuhudhuria uwanjani. Kwanini tuuite Jakaya Kikwete? Jibu: Ni rais...
Back
Top Bottom