Plot4Sale Kiwanja kizuri kibiashara kinauzwa Kimbiji-Kigamboni, Dar es Salaam

ntakisigae

Senior Member
Nov 26, 2013
177
58
Eneo liko Kimbiji-Kwa Moris, Kigamboni.Ukubwa wake ni mita20 kwa22. Eneo lipo karibu na barabara kuu na njia panda kwenda ufukweni (beach)
Bahari ya Hindi.

Panafaa sana kibiashara,hasa kujenga duka,hoteli,kufyatulia matofali,mashine ya kusaga na kukoboa, kuoteshea miche ya miti na maua nk.Umeme upo jirani,umbali wa nguzo moja na panafika kirahisi.

Eneo liko karibu na kiwanda cha Saruji (sementi) cha Lake Cement na panachangamka sana kwa ujenzi mbalimbali.

Bei ni milioni6. Maelewano yapo, dalali hatakiwi.
Mawasiliano:0685381338

4FB01BD4-F4E9-481F-B0B4-E77271E97497.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom