Kiwanja kinauzwa mawelewele iringa 800 sq. Meta

Mmasihiya

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
389
Reaction score
172
Kiwanja kinauzwa kipo eneo la mawelewele Iringa manispaa kimepimwa na kinafikika kwa barabara ya lami urefu ni 40m na upana 20m eneo la tambarare.

Bei 28,000/= kwa meta moja ya mraba
 
Sasa si ungetuwekea tu bei ya Jumla ya kuuzia hicho kiwanja ni Tsh. ngapi!! Hayo mambo ya square meter 1 ni elfu 28, huoni unatuchanganya!!

Pia ikiwezekana tuwekee na picha! Utuambie pia umbali kutoka Iringa Mjini ni km ngapi, mawasiliano yako nayo hujaweka!! nk.
 
Mwenyewe roho yamsuta kuandika bei aliyoipanga mwenyewe (Sh 22,400,000), utadhani kalazimishwa vilee😅😅😅
 
Kiwanja kinauzwa kipo eneo la mawelewele Iringa manispaa kimepimwa na kinafikika kwa barabara ya lami urefu ni 40m na upana 20m eneo la tambarare.

Bei 28,000/= kwa meta moja ya mraba
Iringa eneo linaloeleweka ni Gangilonga tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom