kiwanja

  1. diamond d

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Buyuni Dar es Salaam

    Kiwanja kinauzwa Kipo maeneo ya Njia nne, Buyuni Dar es Salaam, Kimepimwa, Kina Hati, Kipo maeneo ya Hadhi nzuri kabisa, Umeme, Maji, Barabara, Maduka, Shule ✓✓✓ Kina ukubwa wa Sqm 1010m², BEI KWA SQ M² ni Tsh 22,000/= Bei ni Sh 22m Tuwasiliane Piga 0762027102/ PIA APARTMENT TATU ZIMEFIKIA...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri kununua kiwanja Kaole, Bagamoyo

    Habari zenu wadau.Kuna kiwanja nataka kukinunua Bagamoyo Kaole naombeni ushauri wenu.Sqm 1000 sh million 12 ni karibu na beach (500metres from the beach). Plan yangu ni baadae kujenga vi apartments hata vinne vidogo kwa ajili ya watalii wanaokuja kuvipangisha.Lakini pia nina option ya Kiromo...
  3. Battor

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa mwanza 4300sqm

    Kiwanja kikubwa kinauzwa Mwanza chenye ukubwa wa zaidi ya square meter 4300. Pia kina nyumba na miti mingi ya matunda na miti pori. Kipo buzuruga Mwanza sehemu nzuri kwa kuwekeza real estate, hotel ama hata kuweka makazi. Price imeshuka kutoka 400m hadi 250m tsh Karibu. Google map
  4. kibovu

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kikali cha bata Tabora

    Habari wadau, Leo niko tabora mboka manyema kikazi Naombeni mnijulishe kiwanja chenye watoto wakali kinachojaza hapa Tabora. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kikiwa kidogo inabidi uwe mbunifu

    Niliwahi kumtembelea rafiki yangu, alipewa sehemu ya kujenga nyumba na wazazi wake, eneo halikua kubwa sana lakini ni katikati ya mji. Alijenga ghorofa na juu aliweka vyumba viwili vya kulala. Ngazi za kwenda vyumbani zilikua za design hii hapa kwenye picha. Choo na bafu vilikua chini pamoja...
  6. Merci

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa kipo Mambwepande

    Kiwanja chenye ukubwa wa mita 20 kwa 40 kilichopo Mabwe Pande DSM kinauzwa bei TZS 7M na umeme upo karibu na kiwanja. Napatikana kwa 0736770052.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Viwanja Vinauzwa Dodoma

    Habari zenu ndugu Nauza viwanja viwili vipo dodoma cha kwanza kipo mahungu eneo la mnada mpya njia ya kwenda singida kimepimwa kina full document ukubwa wake ni km nusu heka (viwnja vya zaman hawakua wanaandika squere m) Bei ni milion 6 mazungumzo yapo kidogo Cha pili ni kiwanja cha kawida...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja shamba budget yangu milioni 3 na nusu

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Nina 3.5 m cash kwa ajili ya Kiwanja kipatikane maeneo jirani na dsm km vile vikindu nk. Njoo na bei na sifa za Kiwanja chako. Mi ninataka kikubwa kiasi chake.
  9. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Kiwanja Dodoma

    Nahitaji kiwanja Dodoma sifa za kiwanja na offer ni kama ifuatavyo: 1. Kiwanja kisiwe umbali wa Meter 600 kutoka barabara ya lami. 2. Kiwanja kisiwe sehem yenye mafuriko ya msimu wa mnvua. 3. Kiwanja kiwe sehem ambapo Hiace zinafika yani zifike lami ambapo mtu atashuka na kwenda mita 600...
  10. yuda75

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dar es Salaam

    Habarini natafuta kiwanja Dar es Salaam maeneo ya Kibamba, Goba kiwe kizuri si ndani sana wala mbali sana. Bajeti milioni 5. Kwa mwenye nacho aniambie.
  11. ViwanjaTanzania

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mbezi Juu unatazama bahari ya Hindi

    Kina ukubwa wa 2500 square meters Kimepimwa Kinafikika Huduma za maji na umeme zipo. Bei elekezi 200mil. Kwa habari zaidi kuhusu kiwanja hiki wasiliana nami kwa simu +255627660225
  12. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Dar es Salaam

    Wandugu natafuta kiwanja Maeneo ya Kimara, Salasala, Tegeta, Goba, Makongo juu, Madale. Kiwanja kiwe na ukubwa wa zaidi ya sqm1000. Mwenye nacho ani DM tuongee bei.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja nina 5M Dar es salaam

    Wandugu, Ninatafuta kiwanja maeneo ya Madale, Bunju, Goba , Kimara sema budget yangu ni 5m Tanzania shilling. Mwenye nacho ani PM. Ukubwa kuanzia 800sqm kwenda juu.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Fursa ya kiwanja Chanika

    Kiwanja kipo Chanika mwisho njia ya Mvuti (Kwa Bwaje) Ukubwa wa kiwanja ni 20 * 40 (sqm 800) Umeme na maji vipo karibu. Bei ni Millioni 4 mazungumzo yapo. Kiwanja hakina dalali ni cha kwangu na document zote muhimu zipo. Mwenye kuhitaji tuwasiliane PM tuyajenge.
  15. kibovu

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kizuri cha kula bia Mwanza

    Wakuu poleni na maumivu ya january, Ndugu zangu sina mengi ijumaaa nimeagizwa kikazi mwanza na ofsi na sijawahi kula bata Mwanza nawaomba mnipe ramani ya kiwanja kizuri kilichochangamka chenye watoto classic ambacho ntakula bia huku nimebambia mtoto classic wa jiji la mwanza Shukrani.
  16. ze future

    JamiiForums Tanzania Umeshindwa Hata Kununua Kiwanja?

    Wakuu, hii ngoma ya stamina ft prof jay ni ngoma ya kufikilisha sana yani, nakumbuka miaka 1990s mpk 2000s.
  17. Alberto Dominicos

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha biashara kinapangishwa

    Kiwanja kinapangishwa barabarani eneo la buyuni kuelekea Chanika ukubwa wa sqm 1300 bei 400,000 kwa mwezi. Mawasiliano 0784336063
  18. D

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri: Je, ninunue kiwanja kilichopimwa na kisichopimwa?

    Habari wadau, Binafsi nimeamua mwaka huu nami nimiliki eneo maana naona umri unazidi kuyoyoma sitaki kuja kuwa historia huko mbeleni. Mada ya huu uzi ni hivi nimeenda kuangalia kiwanja tuanze na kisichipomwa ni kuwa kinauzwa millioni 3 lakini mwenyewe anapokea hata 2M na nyingine kidogo kidogo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Kiwanja kinauzwa 5.5m

    Sifa za kiwanja Chanika mwisho-Zogo Ali Ukubwa 19m*19m Kina msingi imara, vyumba vitatu, kimoja master, sitting, dinning, public toilet, jiko Kina njia za gari pande mbili Umeme upo karibu Simu 0745321705
  20. K

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza Boma langu lililojengwa kwenye kiwanja, ukubwa wa zaidi robo eka

    Salam kwenu wakuu. Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area. Lina vyumba vitatu. Masterroom 1 Vyumba vya kawaida -2 Sitting room Dinning room Kitchen na store yake. Public toilet. Maji ya bomba yapo hapo hapo,bomba limepita mbele ya Kiwanja. Kumezungukwa na...
Back
Top Bottom