kituo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Polepole alikuwa sahihi, Unaijua V-8 wewe? Ni sawa na kituo kituo kimoja cha afya

    Yaani kaaa kwa kutulia mtoto mdooooogoooo, mnuka jasho a.k.a MNYONGE, sasa kwa taarifa yako kila mwaka v-8 za billions 600 zinaagizwa, V-8 MOJA NI MILLIONS 500 SAWA NA KITUO CHA AFYA Zinajazwa mafuta full tank, full Ac na hakuna kuzimwa hata kama boss yuko bar na mrembo wa bongo movie wanakula...
  2. Hakuna kitu kinanikwaza Kama matangazo kwenye kwenye post

    Vipi wakuu tunawezaje kudhibiti matangazo kwenye post za watu kwenye mitandao ya kijamii kiukweli matangazo yanakwaza Sana mtu una stress zako umechoka unafunguka post unakutana na mtu sijui utoto wa wapi anatangaza tangazo la kujiuza. Hii sio sawa kwa msitakabali wa kizazi chetu. Naumia Sana...
  3. Abiria kulazimishwa kuteremka Kituo cha Mbezi tuliambiwa Wafanyabiashara walilalamika kukosa wateja, leo mmh!

    Hii amri ya abiria toka mikoani kushushwa Mbezi mbona hatupewi ukweli, siku zilizopita ilidaiwa mkuu wa mkoa alilalamikiwa na wafanyabiashara kuwa wanakosa wateja! Hivi sasa tunaambiwa eti ni usalama kudhibiti wahamiaji! Kwani wahamiaji hawawezi kushuka au kupanda Kibaha au Bagamoyo! Mabasi ni...
  4. Changamoto za kituo cha Mabasi cha Magufuli Mbezi

    Kituo cha mabasi cha Magufuli Mbezi kimekuwa na idadi kubwa ya watu wenye nia mbaya na abiria ikiwemo wezi na matapeli wanaosababisha usumbufu mkubwa sana kwa abiria wanatumia kituo hiki. Kituo hiki kinaweza kuwa genge la wezi na matapeli wanaoleta usumbufu mkubwa kwa abiria kwa kuwaibia mali...
  5. Serikali yaahidi kupeleka kituo cha afya Chato

    Kweli zama huja na kuondoka. Serikali imeahidi kupeleka kituo cha afya Chato ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma safi za afya. My take: Uwanja wa ndege haukuwa na faida wakati huduma za kijamii kumbe zilikuwa bado.
  6. Ushauri kwa IGP: Ukitaka uwazi katika uwajibikaji wa Polisi ruhusu wawe wanarekodiwa na Raia hata ndani ya kituo cha polisi

    IGP Ukitamani uwajibikaji na uwazi kwa jeshi lako we tangaza kwa vyombo vya habari kuruhuri matumizi ta teknolojia yaan Raia waruhusiwe kurekodi matukio ya polisi akiwa katika kazi zake hata ndani ya kituo cha polisi Na iwe ni sheria na pia marufuku kumkataza raia kurekodi matukio hata ndani...
  7. Natafuta Mwalimu wa kubadilishana naye vituo vya kazi

    Habari. NATAFUTA MWALIMU WA KUBADIRISHANA NAYE KITUO CHA KAZI, YEYE AJE KIGOMA MJINI NA MIMI NIENDE KASULU MJINI. Idara : SEKONDARI
  8. Propozo ya kufungua kituo cha kujaza mafuta

    Poleni na mihangaiko, Nimepata wazo la kufungua kituo cha kujaza mafuta. Kama kuna yeyote ana mfano wa propozo ya kufungua kituo cha kujaza mafuta naomba anisadie. Ahsanteni.
  9. Kenya2022 Nairobi: Ruto ashinda Kura kituo walichopiga Kura familia ya Uhuru Kenyatta

    Licha ya Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, kuwataka Wakenya wasimpe kura mgombea urais wa Kenya Kwanza na Naibu Rais, William Ruto bali wampe kura hizo mgombea urais wa Azimio la Umoja, Raila Odinga ameshindwa kumbeba mgombea huyo katika kituo alichopigia kura. ====== Licha ya Rais wa Kenya...
  10. Moshi: RPC afafanua vielelezo vya wizi kuibwa Kituo cha Polisi na Askari Polisi kuchangishana kumlipa mwenye mali

    Polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi Uchira, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wanachangishana kumlipa shilingi 560,000 mkazi wa eneo hilo kabla ya Agosti 5 mwaka huu baada ya kuibwa vitu vyake vilivyokuwa ndani ya kituo hicho. Vitu hivyo vilivyoibwa Julai 26, 2022 ni...
  11. Msaada wa Namba za Simu za Askari wa Kituo cha Stakishari au kituo kizuri kwa adhabu Mwili

    Nina jambo limenipata nina mwizi wangu ambae nina vithibitisho kwa 98% lakini kutokana na maeneo nilipo na yeye alipo nikimuweka ndani kwenye vituo hivi atapata Dhamana haraka. Naomba msaada wa namba za simu wa askari wa kituo cha stakishari ili nikafungulie kesi yangu kule au namba za simu za...
  12. SoC02 Umuhimu wa kuwepo kituo cha sayansi ya anga nchini na jinsi kitakavyochochea maendeleo na mabadiliko ya uchumi wa taifa

    (Pichani ni mwana anga Wa NASA) Utangulizi maendeleo, ni hatua inayochukua nafasi kwenye kuboresha jambo na kuhakikisha jambo linakuja kufanikiwa kupiga hatua moja kwenda nyengine na kuleta mabadiliko na matokeo chanya. Sayansi ya anga, ni miongoni mwanguzo kuu za maendeleo ambazo nchi...
  13. L

    Trekta ya umeme yaoneshwa katika Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa mjini Luoyang, China

    Wafanyakazi wa Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa waliendesha kutoka mbali trekta ya umeme aina ya ET1004-W mjini Luoyang, mkoani Henan, katikati ya China. Katika miaka hii ya hivi karibuni, Kituo cha Mavumbuzi ya Vifaa vya Kilimo cha Kitaifa kimetengeneza chip ya kwanza ya...
  14. Kituo gani kizuri kwa Dar es salaa kinafundisha A-level(form 5&6) kwa mwaka mmoja.

    Wadau wa Elimu kwa Dar es salaam kituo kipi kinafundisha vizuri masomo ya A-level (form 5&6) kwa mwaka mmoja.
  15. Baada ya Urusi kuikomboa Luhansk, kituo kinachofuata ni Donetsk?

    Baada ya vikosi vya jeshi la Urusi kufanikiwa kuikomboa Luhansk kutoka mikononi mwa jeshi la Ukraine; taarifa zilizopo zinaeleza kwamba vikosi vya Urusi vimeanza kuielekea Donetsk na gavana wa eneo hilo ameomba raia waondolewe haraka ili kuacha uwanja wazi kwa vikosi vya Ukraine kuweza...
  16. Serikali imetenga zaidi ya Sh160 milioni kwa ajili ya kujenga kituo cha kukusanya maziwa Msomera

    Serikali imetenga zaidi ya Sh160 milioni kwa ajili ya kujenga kituo cha kukusanya maziwa Msomera ili kuhakikisha wawekezaji wanaenda kuwekeza. Serikali inataka kuwa na vituo vya kukusanya maziwa na kituo kikubwa kwa Handeni kitakuwa Msomera. Hii itasaidia wawekezaji zaidi kwenda Msomera na...
  17. J

    Twaha Mwaipaya wa CHADEMA hajapewa dhamana na haijulikani yuko kituo gani. Je, hizi ni hujuma kwa maridhiano?

    Sikilizeni kilichomtokea Twaha Mwaipaya kada wa CHADEMA. Wapinzani wanalalamika kuonewa pamoja na kwamba Rais amesisitiza kufungua ukurasa mpya wa siasa Tanzania
  18. L

    Beijing: Kituo cha mbegu za kutoka anga ya juu chazalisha mbegu zilizoboreshwa za mboga na matunda

    Tarehe 22 Juni katika kituo elekezi cha kuzalisha mbegu za kutoka anga ya juu kilichoko wilayani Tongzhou mjini Beijing, China, aina mbalimbali za matunda na mboga zilipandwa kwa kutumia mbegu zilizopelekwa kwenye anga ya juu. Ikilinganishwa na mbegu za ardhini, mbegu kutoka anga ya juu...
  19. Ripoti: Ndege Yashambulia Kituo Muhimu Cha Kijeshi Tehran!

    IRANIAN ARMY OFFICE / AFPAn Iranian missile being fired during the last day of the air defense exercise of 'Aseman Velayat 99', in an unidentified location in Iran on October 22, 2020. The attack was allegedly launched from inside Iran Overnight Friday, a drone reportedly struck a ballistic...
  20. Mitaa ya Gongo la Mboto kituo cha Mzambarauni mpaka kituo kipya ndio makao makuu ya kunguru hapa wilaya ya Ilala

    Kwa wakazi wa Gongo la Mboto mitaa ya Mzambarauni kuna kunguru wengi sana kila siku jioni huwa wanakusanyika wakitoka kwenye mahangaiko ya kila siku sasa sijajua kama wakazi wa Gomz wanafuga kunguru hawa au wameamua tu kuchangua pale ndo pawe makao makuu kwa upande wa Ilala.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…