IGP Ukitamani uwajibikaji na uwazi kwa jeshi lako we tangaza kwa vyombo vya habari kuruhuri matumizi ta teknolojia yaan Raia waruhusiwe kurekodi matukio ya polisi akiwa katika kazi zake hata ndani ya kituo cha polisi
Na iwe ni sheria na pia marufuku kumkataza raia kurekodi matukio hata ndani...
Kwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo cha Polisi Oysterbay mjadala umekuwa si msanii huyo kukamatwa bali uzuri wa Kituo cha Polisi Oysterbay ambapo Wa Nigeria wengi walionekana kuusifia uzuri wa kituo...
Polisi wa Kituo Kidogo cha Polisi Uchira, Kata ya Kirua Vunjo Kusini, Wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro wanachangishana kumlipa shilingi 560,000 mkazi wa eneo hilo kabla ya Agosti 5 mwaka huu baada ya kuibwa vitu vyake vilivyokuwa ndani ya kituo hicho.
Vitu hivyo vilivyoibwa Julai 26, 2022 ni...
Polisi wa Solai Kenya wanamshikilia Dennis Kibet kwa kuwashambulia kituo cha Polisi na Askari Polisi kwa mawe akiwa amelewa.
.
Ambapo baada ya kuhojiwa amesema alitaka kuona akirusha mawe kituo cha Polisi kutatokea kitu gani.
.
Kibet atafikishwa Mahakamani karibuni.
...
Msichana wa miaka 13 anaedaiwa kubakwa na wanaume wanne nchini India ,anadaiwa kubakwa tena na Askari Police wakati alipokwenda kuomba msaada wa police na kuripoti shambulio la kwanza
Mamlaka ya Uttar Pradesh ilithibitisha Kwamba police huyo amekamatwa kutokana na kitendo chake hicho kilichozua...
Muda mfupi baada ya RC wa zamani wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuandika mtandaoni kuwa kuna makundi matano yanamuwinda ili kumuua, Jeshi la Polisi limesema kama kweli ana hofu anatakiwa aende kutoa taarifa Kituo cha Polisi.
Akizungumza na Kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi...
Sitaandika yote kuficha kujulikana Kwasababu za usalama wangu na sitataja Kituo (mojawapo ya vituo vya police DSM) Kwasababu walio nifanyia hayo mateso, wapo na wanaendelea na utumishi wao kuumiza wa Tanzania.
Sitosahau mwaka 2021 mwezi March nilipokea simu ya mtu aliyejitambulisha kuwa ni...
Salaam Wakuu,
Leo Milipuko Miwili ya mabomu imetokea jijini Kampala.
Wabunge watawanyia kuokoa maisha.
Wabunge wa bunge la Uganda wakiwa nje ya jengo baada ya Mlipuko kutokea Jijini Kampala. Kila mtu anaokoa maisha yake
Ndugu wanajamvi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Mida ya saa 10 jioni hii katika eneo la Uswahilini hapa Arusha (Mjini), maaskari wa kituo cha Murieti wamemkamata mke wangu nakumpeleka kituoni kisa nyumba tunayoishi haina matundu yakutosha ya vyoo.
Ukweli uliopo:
1. Nyumba hii huyu...
Siku moja nikapita maeneo karibu na kituo cha Police. Hiyo sehemu ya kituo kwa karibu kidogo kuna mama ntilie wanauza chai na chakula cha mchana.
Kufika pale yaani si unafahamu zile tabia za Polisi walivyo vituoni kama kujibu kwa zadhau, shurta, kujiskia sana wakiona uwanyenyekee.
Basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.