kituo cha polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania RPC Pwani akanusha mkuu wa kituo cha polisi Kongowe kuhusika kupotea kijana Hussein

    Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani, kupitia kwa Kamanda wake ACP Salim Morcase limekanusha vikali taarifa zinazodai kuwa Mkuu wa Kituo kidogo cha Polisi Kongowe alishirikiana na askari Mgambo kumkamata kijana Hussein Abdallah Mkwame (26), ambaye kwa takribani miezi miwili (2) sasa hajulikani halipo...
  2. Mindyou

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maelfu ya vijana waandamana wakiwa wamebeba jeneza la Marehemu Albert Ojwang na kisha kuvamia na kuchoma kituo cha Polisi

    Maelfu ya vijana siku ya Alhamisi walivamia na kulichoma kituo cha Polisi cha Mawego kilichopo Rachuonyo Mashariki, Kaunti ya Homa Bay, huku wakibeba jeneza la marehemu mwanablogu Albert Ojwang’ ambaye anatarajiwa kuzikwa kesho (Ijumaa). Mwili wa Albert ulikuwa umepangwa kupelekwa kwa ajili ya...
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ajinyonga kituo cha polisi Kenya, Familia yatilia mashaka maelezo ya polisi ikidai uchunguzi ufanyike kubaini kilichojiri

    Vyombo vya habari nchni Kenya vimeripoti kwamba mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 44 amefariki akiwa chini ya ulinzi wa polisi katika Kituo cha Polisi cha Turasha kilichoko Wadi ya Githioro, Eneo Bunge la Kipipiri, Kaunti ya Nyandarua Kwa mujibu wa ripoti ya polisi, Simon Thumbi Kihanya...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi kilichogharimu Shilingi Milioni 798 chazinduliwa Namtumbo Mkoani Ruvuma

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Aly Senga Gugu, amezindua rasmi kituo kipya na cha kisasa cha polisi cha daraja B Wilaya ya Namtumbo, kilichojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 798. Uzinduzi huo umefanyika tarehe 20 Juni 2025 katika eneo la Namtumbo, mkoani Ruvuma...
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi aliyekamatwa asema walipewa maagizo kumtia adabu Ojwang'

    KONSTABO James Mukhwana, ambaye kwa sasa anashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya kikatili ya mwanablogu na mwalimu Albert Ojwang’, hatimaye amevunja ukimya na kufichua kwa kina kilichotokea usiku wa Juni 7, 2025, akiwa rumande katika Kituo Kikuu cha Polisi Maelezo ya kina, ambayo Citizen TV...
  6. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtaalamu aliyevuruga mfumo wa CCTV kwenye kituo cha polisi alichoshikiliwa Ojwang' kwa malipo ya Ksh 3,000 amekamatwa

    Mtuhumiwa wa pili amekamatwa kuhusiana na mauaji ya kikatili ya mwalimu mwenye umri wa miaka 31, Albert Ojwang’, hatua inayozidi kuongeza uzito wa uchunguzi wa tukio hilo la kusikitisha. Vyanzo vya karibu na Citizen Digital vimethibitisha kuwa fundi aliyedaiwa kuvuruga mfumo wa CCTV katika...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Haji Manara anashikiliwa na Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam

    wakuu ====== Aliyekuwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara anashikiliwa Kituo cha Polisi Central. Manara muda huu anahojiwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma mbalimbali za udhalilishaji mtandaoni na nyinginezo.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Hongera Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga kwa kuchangia tone tone!

    Mkuu wa Kituo cha Polisi Igunga ameomba samahani kwa vurugu zilizotokea katika mkutano wa Chadema mjini Igunga. https://twitter.com/Rydx_017/status/1932698774637318410?t=NO05ylCjFuDIiqyK310g0g&s=19
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba ingetakiwa mpaka mda huu wawe either wapo kituo cha polisi au wameshajulishwa wito wa kwenda kituo cha polisi

    Walichofanya viongozi wa Simba ni utapeli wa maksudi 👇👇👇👇👇👇👇👇 Uwanja umefungiwa hakuna taarifa ya kufunguliwa umeanza kuuza tiketi bila go ahead, umepewa taarifa rasmi ukajitoa ufahamu ukaendelea kuuza tiket ukijua unachofanya sio sahii Baada ya mechi ya berkane ukaambiwa mechi inayofuata ni...
  10. Shakala

    JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Polisi Mtumba, Dodoma muache uonevu

    Imekuwa miezi kadhaa sasa askari toka mtumba wanapita na difenda zao Mahoma, Ipala na Hombolo kubeba vijana wasio na hatia na kuwavisha kosa la uzururaji. Wanapita saa 3 usiku wakakamata mpaka madogo wanaorusha movie tena wakiwa ndani ya vibanda vyao. Ndugu zao kufika kituoni wakatozwa 50000...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Familia yadai ndugu yao kauawa mikononi mwa Askari katika Kituo cha Polisi Tabata Shule

    Mnamo Tarehe 6 Aprili 2025, kijana mwenye umri wa miaka 29, Nestory Raphael Majembe, aliripotiwa kukamatwa na kupelekwa katika kituo cha polisi Tabata Shule kwa tuhuma za wizi wa simu. Saa chache baadaye, familia yake ilipokea taarifa ya kifo chake ndani ya kituo hicho, hali iliyoibua maswali...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania RPC Geita: Ofisi za Kata sio Kituo cha Polisi

    Jeshi la polisi mkoa wa Geita limepiga marufuku watendaji kuanzisha vituo vya polisi katika ofisi za kata bila kuwa na vibali kutoka serikalini. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Kamshna Msaidizi Mwandamizi Safia Jongo ameyasema hayo jana wakati wa muendelezo wa semina ya polisi jamii pamoja na...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wajitolea kujenga kituo cha polisi ili kudhibiti matukio ya uhalifu

    Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wameonyesha juhudi za kujitolea kujenga kituo cha polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kitakacho saidia kudhibiti matukio ya uhalifu pamoja na kuchukua hatua stahiki kwa wahalifu hao. Kauli hiyo imetolewa na wananchi hao...
  14. KING MIDAS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Akamatwa kwa kuanzisha kituo cha polisi bandia

    Polisi nchini Kenya wameanza uchunguzi kufuatia kukamatwa kwa Collins Leitich, anayejulikana pia kama Chepkulei, kwa tuhuma za kuanzisha kituo cha polisi bandia bila idhini ya Huduma ya Kitaifa ya Polisi (NPS). Inadaiwa kuwa Leitich alipaka jengo hilo rangi rasmi za polisi, akilifanya lionekane...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa kituo cha polisi kwa milioni 81 wakamilika Nkinga Tabora

    Wananchi wa Kata ya Nkinga, katika Tarafa ya Simbo, wilayani Igunga, mkoani Tabora, ambao awali walikuwa hawana uhakika wa Kituo cha Polisi na kulazimika kupeleka malalamiko ya uhalifu umbali wa zaidi ya kilomita 80 wilayani Igunga, adha hiyo imeisha baada ya kituo kipya cha polisi kilicho...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Nilivyojikuta Kituo cha Polisi baada ya kumsajilia Mtu Line ya simu

    Nakumbuka 2021 kuna mshkaji wangu aliniomba nimsainie line ya simu kwa NIDA yangu kwa sababu alikuwa hana kitambulisho cha Taifa. Basi mimi si nina muamini nikamsajilia kwa wale wakala wanaozungukaga mitaani, kipindi hicho niko Arusha yeye akaenda kufanya mishe zake Morogoro Baada ya miezi...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Wanaolalamika kuibiwa Simu wanakutana na Nenda rudi nyingi kituo cha Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema wananchi wamekuwa wakilalamikia ucheleweshaji wa upelelezi wa simu zilizoibiwa, hali inayowafanya wahalifu kuepuka kukamatwa kwa wakati ambapo ameagiza Jeshi la Polisi kushughulikia changamoto hiyo kwa haraka. Bashungwa amesema...
  18. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Ukishangaa ya Magufuli njoo uyaone ya Mbunge Musukuma na Kituo cha Polisi

    Kwa kweli nalilaani tetemeko la ardhi lililotokea Bukoba na kusababisha vifo vya baba, mama, bibi, anko, shangazi na wadogo zangu. Pia ninalaani vikali wale waliotumia rambi rambi zilizochangwa na ndugu na jamaa wema kwa wahanga wa tetemeko kutumika kuboresha magereza mkoani Kagera. "Hivi...
  19. F

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kituo cha Polisi USA River kinabambikia watu kesi

    Nimeona clip Mkuu wa Mkoa Arusha anasema kuna mwananchi kanunua nyumba kashindwa kukabidhiwa nyumba aliyolipa asilimia 70 na kapewa kesi yaani ujambazi wa kutumia silaha na kituo cha polisi Usa River Arusha. Nathibitisha baada ya ufuatiliaji wa miezi minne (4 ) Kituo cha Polisi Usa River...
  20. Frustration

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa kijiji na serikali yake wahitajika kituo cha polisi kwa kosa la kuwahoji wafugaji walioingia kijijini bila utaratibu wa kisheria

    NAMTUMBO -RUVUMA Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Mimi ni mkazi wa mjini Songea ila mzaliwa wa wilaya ya Namtumbo katika kijiji cha Songambele. Kutoka na maisha ya mjini na changamoto zake nikaamua kuja kijijini kwa ajili ya kilimo cha mahindi ili mambo yaende sawa...
Back
Top Bottom