Ukiondoa ngono ni kitu gani kingine kinakupa thamani kwa mume/mpenzi wako?

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,347
11,447
Kwa maisha ya sasa na wanawake wengi, utagundua wengi hawatumii au hawana akili. Na ndiyo maana wanajibidiisha sana kwenye muonekano, ila kichwani hamna kitu kabisa. Hopeless.

Mwanaume : Fikiria huyo mwanamke uliyenaye kama ni mke au mpenzi. Ukiondoa ngono anabaki na nini kwako? Anabaki na thamani gani kwako? Utamtaka aendelee kuwepo kwa lipi? Utamjali kwa lipi? Utamkumbuka kwa lipi? Chukulia mmeamka siku hiyo sehemu yake ya kike haitakiwa tena kutumika, Dr. Anakwambia miaka 3 hapaswi kabisa kuingiliwa, akiingiliwa tu anakufa anakufa after 5 days.

Je, wewe mwanaume;

1. Utaacha kumuingilia na kuendelea kuwa naye ukimpenda na kumthamini?

2. Utaacha kumuingilia na kuachana naye kabisa maana hana thamani tena kwako?

3. Utamuingilia na kuacha akafie mbele, utakula mzigo mara ya mwisho mwisho na hutojali akifa?

Mwanamke jiulize, ukiondoa ngono nini ambacho jamaa yako anakuthamini nacho? Au ndo anaona mzigo tu kuwa na wewe na mara nyingine anaingia gharama kubwa wakati angeweza pata penzi kwa Tsh. 10,000 tu na maisha yakaendelea?

Unamshauri vizuri? Unampa faraja? Unamwelewa? Unamjali? Na hapo bado unawaza uje uwe mke? Wakati jamaa anakuangalia anaona bila kuwa na papuchi hubakiwi na kitu? Ni liability!

Kuna wanawake ambao nimewahi kutoka nao, hata ukimpigia simu huna cha kuongea naye cha manufaa. Mkienda kufanya tendo baada ya kumaliza hamna la maana tena. Hana mawazo, hana mchango wowote! Unamtafuta tena ukitaka kuosha bakora, sababu mbali na hilo atakutafuta akitaka umpatie pesa.

Jiulize mbali na ngono ana au unabaki na nini cha kukupa thamani?

Nimekaa pale 👉
 
Apart from sex,

1. Emotional support, unarudi unakutana na best friend wako, unamueleza ujinga wa kazini, ndugu wanaopiga vizinga, mnafurahi.
2. Watoto kama mmeshapata watoto, ni faraja mkiwa wawili mkiangalia procreation yenu
3. Home comfortability, unarudi unakuta nyumba safi, huwazi upike nini, nguo safi nk
4. Siri na utu. Sio kila mmoja ajue aibu yako, unapoumwa mkeo atakufanyia kila kitu, kama ni kibamia, kama uliugua fungas una mabakabaka nk, ndo maana ya mwandani
 
vyema
 
Wala ngono sio priority tena kwa umri wangu, companionship kwenye kuwasema majirani 😂,,,kuwasema workmates na partner in crime kwenye kula vitu vinono 😂!

Nje ya ngono ntamiss tu akili yake sababu huwa ni mtu wa kufanya mipango ya upesi na kusawazisha vipengele kabla ya time out.
 
She seem great
 
Back
Top Bottom