kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Hii kitu haikubaliki, hii nchi udini umeota mizizi sasa

    SAKATA LA KUPOTEA RAJAB OMARI MTANA KIJIJI CHA LULAGO HANDENI 2013 NA HUKUMU YA KUNYONGWA MASHEIKH 10 TANGA 2013 Waislam 10 wamehukumiwa kunyongwa kwa tuhuma za kuua mlinzi mmoja. Kufikia hukumu hii kuna mengi na chanzo chake kilianzia katika biashara ya hiliki na malipo ya ushuru kijijini...
  2. Kitu rahisi kuliko vyote dunia ni kulalamika

    Habari wakuu, nimefanya utafiti mdogo nimegundua kitu rahisi kuliko vyote dunia ni kulalamika. Asilimia kubwa ya watu wanaopenda kulalamika huishia kuwa masikini, na ndio maana umasikini ni synonym ya kulalamika. Na pia nimegundua kitu kigumu zaidi duniani ni kuwajibika. Kuwajibika na kutimiza...
  3. Kama ni kweli hawa wasanii wanapelekwa Dubai kwa mission maalum Dubai Port, hakika inafikirisha!

    Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi tuligawe Taifa na rasilimali zetu. Safari za namna hiyo za watu maarufu na wasanii wetu kwenda huko Dubai...
  4. Kila kitu hapa duniani ni mahesabu ty

    Nakupa salamu sasa,je mnzima wewe?? Mangi shangali.. HESABU ndo kila kitu duniani, chochote kili chopo duniani kipo kimahesabu. Kipindi tukiwa shule ya msingi walimu walitusisitizia sana hesabu,tena tulichapwa fimbo nyingi sana sababu ni hesabu.. Ebu tuingie deep sana...
  5. Usifagilie mtu, Mungu ndio kila kitu

    Nikupe salamu za kazi gani kwanza sikujui.. Aisee usije ukamshobokea mtu katika haya maisha: Hata kama wewe ni masikini, kuwa masikini jeuri. Sisi sote pua zetu zimeangalia chini, sote tuna share hii pumzi inamaana kwamba sio yetu.. Asikupande raia kichwani ukamtukuza kisa ana...
  6. Single Moms njooni tuelimishane kitu hapa

    Mwenzenu huu usinglemom ulinikuta chap Kwa haraka. Yaani bila kutarajia mtu niliyemwamini na niliyekuwa na malengo nae alinigeuka. Nikisema iliingia kwa bahati mbaya nitakuwa nadanganya tulipanga nami nilijiaminisha kwa sababu kuna hatua tulipitia ambazo nikajua yessss, nimelipata bwana! We...
  7. Huwa unampongezaje mtoto wako akifanya kitu cha kukufurahisha?

    Hello Africa, Kwangu mimi huwa namuita na kumpongeza kwa maneno mazuri sana, zaidi huwa namfanyia kile kitu ambacho anakipenda sana, mwisho wa siku my son anakuwa mtoto mwema sana nampenda sana mwanangu.
  8. Je ni katika hali gani ulikosa kitu unachokipena , halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi kweny maisha yako.

    Amani iwe na nanyi! Kama kichwa cha mada hapo ,je ilishawahi kukutokea kukosa au kupoteza kitu ulichokipenda iwe kazi ,masoma ,mpenzi, ajira halafu ukapata kingine kikawa bora zaidi. Kama baadhi yetu tunavyoaamini "kama kitu sio riziki yao au halali kwako basi huwezi kukipata ". Niongezee...
  9. Tetesi: Uzi maalumu wa tetesi mbalimbali za usajili kuelekea msimu mpya wa ligi 2023/24

    Salaam ndugu zangu, Kama ilivyo ada katika wakati huu ligi yetu ya Tanzania inaelekea ukingoni tetesi ndiyo mahala pake. Nimeona nisogeze uzi huu wa tetesi na sajili mbalimbali ili tuweke rekodi sawa. Hivyo, uzi huu nitajitahidi kuweka baadhi ya tetesi za sajili za Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC...
  10. Mbinu za Kisaikolojia zinazoweza kukusaidia kushawishi na kukufanya ukafanikiwa katika kitu chochote

    Nilipokuwa napitapita zangu kwenye kitabu kinachoitwa Dark Psychology nikakutana na mambo ya kuvutia sana. Do you know kwamba watu wanatumia hiyo skill kukufanya ufanye maamuzi nje ya tabia yako ya kawaida? Ukiwa unatangaziwa kitu alafu unaambiwa "offer hii ni ya wiki moja pekee" au unaambiwa...
  11. Kitu gani umewahi kujiapiza hutofanya lakini mwishowe umefanya tena?

    Mie nilijiapiza sitopenda tena toka moyoni nitapenda juujuu tu, we bhana weee☹️ ndo nimejikuta nimependa toppest. Yaani nimepitiliza kama ni temperature basi imekuwa 45 C. NB: Najua tutaachana🙄 maana hamkawii🤒
  12. Lofa hawezi kumiliki kitu cha thamani, Ukitaka kujua kuwa wewe si lofa tazama miliki zako utapata majibu.

    Hii ndio nature ya ulimwengu kwamba lofa au mpumbavu asimiliki kitu chenye thamani. Hata kama uvunguni mwako kuna lulu nyingi za aina tofauti, dunia ikijua tu kuwa wewe ni lofa itatumia gharama yoyote ili tu kukunyang'anya ile lulu. Ni wakati sasa tuache kuomba utajiri kwa Mungu badala yake...
  13. N

    Mijadala yote inayofanyika haitasaidia kitu. Hakuna chochote kitakachobadilishwa katika suala DP World na Bandari zetu

    Mijadala yote inayofanyika haitasaidia kitu. Hakuna chochote kitakachobadilishwa katika issue DP world na Bandari zetu. Ukweli ni mchungu, huo ndio ukweli, hakuna lolote litakalobadilika. bunge limesharidhia, Mkuu wa Nchi ameshaweka sahihi yake, hivyo chochote kinachoendelea ni janja janja...
  14. Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai. Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu...
  15. Mpenzi wako ulienae hivi sasa unamfananaisha na kitu gani kizuri hapa duniani?

    Kuna misemo mingi wapenzi huwa wanapenda kutamka/ kutamkiwa na wapenzi wao. Kwa mfano: your my chocolate, my honey, my apple, my banana, my angel, my bank. Etc embe share idea ni kitu gani kizuri huwa ukimtamkia mpenzi wako huwa anajiisi yupo peponi.
  16. CHADEMA inapinga uwekezaji wakati wao wanafundishwa kila kitu na KAS ya Ujerumani

    Leaders’ Capacity Building: Workshop in cooperation with CHADEMA CHADEMA: 2011/2016 Strategic Plan From 01/09 until 05/09/2011, KAS Tanzania will hold a workshop for national trainers in order to prepare the implementation of CHADEMA's training programme.
  17. M

    Spika Tulia na usomi wake wa kiwango cha PhD anataka bunge libariki kitu kama hiki?

    Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya. Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui...
  18. T

    Mimi ni mwalimu, nje ya kazi yangu nifanye kitu gani nitoke kimaisha?

    Wakuu habari za muda huu, Kuna mijadala inaendelea hapa jukwaani juu ya Hali za maisha ya walimu. Ni kweli walimu tuna maisha magumu, kwa pamoja tumelipokea. Ndugu zangu tunaomba ushauri wenu, tufanye biashara Gani ambazo zitatuingizia angalau kiasi Cha shilingi 10000 kama faida. Natumaini...
  19. J

    Hiki ndio kitu ukiwaonyesha mashabiki wa Yanga wanaweza kukupiga mawe kwa hasira

    Hii ni Wyadad ambayo imeitoa Simba ligi ya mabingwa kwa penalti baada ya kutoshana nguvu, na sasa ipo fainali ya mabingwa CAF na inaweza kutwaa ubingwa wa ligi Kwa chini ni timu ambazo Yanga imekutana nazo, moja nusu fainali, na nyingine Fainali
  20. Wauza mechi hiki kipindi cha baridi msisahau kununua ARV, Azuma na Powercef

    Wasaalam wadogo kwa wakubwa😀😀 Natumai nyote wazima wa afya. Niende kwenye mada kama mnavyoona huu ni mwezi wa 6 sasa, na mjuavyo baridi imeingia mpaka DSM sasa. Na kama mnavyojua miili yetu, baridi ikiingia akili na mwili hutafuta joto na hilo joto lenyewe, hupatikana sehemu za siri huko😋...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…