Polepole naamini kuna kitu anakijua kuhusu kilichompata Lissu

Polepole naamini kuna kitu anakijua kuhusu kilichompata Lissu

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,789
Reaction score
22,445
Ukiachana na SAGA za kundi mtandao na arithmetic equation ya Nida+Inec +ccm, kuna kitu polepole atakuwa anakifahamu kuhusu shambulio la TAL2017. Itoshe kusema kwamba nimemsikiliza BETWEEN THE LINES , kwa jinsi anavyogusiagusia kwa juu juu Chadema, ni kama kuna kitu kinamkaba koo kuhusu shambulio lile.. ofcourse hata kama hakuhusika kwa namna moja au nyingine katika ku orchestrate shambulio lile ila kuna "a,b,c,d fulani au. Clues anazijua sema ndio hivyo... GUILTY, GUILTY, GUILTY.

Ukiwa balozi ,,automatically wewe ni jasusi per se(sorry to say this) kuna vitu utavijua tu ndani ya mifumo kwenye "mhimili ule". Na hata kama hauna background ya kitengoni kabla ya kuteuliwa na kutumwa kwenye "Station " , lazima utakalishwa vikaoni na kitengo kupeana orientation za hapa na pale.. hata kama polepole yupo humu atadhibitisha hili...

Naamini kuna vitu au kitu anakijua kuhusu lile shambulio. Watu watakunyima chakula lakini sio maneno.
downloadfile-11.jpg
 
Chadema wenyewe walishindwa kuweka ushahidi tukio la Lissu..
Hili ndo tukio mpaka leo limebaki kusemwa tu kama vile hakikutokea kitu.
 
Chadema wenyewe walishindwa kuweka ushahidi tukio la Lissu..
Hili ndo tukio mpaka leo limebaki kusemwa tu kama vile hakikutokea kitu.
Itajulikana tu..
 
Back
Top Bottom