itakua wewe sio mtanzania halisiWakuu
Nikila kitimoto nawashwa sehemu mbalimbali za mwili,nikioga kuwasha kunaisha.
Hii ni allergy au?
Ale wapi realMamy 😅🐸Badilisha mahali unapokula
sasa kwa hali hiyo si atakufa huyuFakamia mdudu daily mpaka hiyo hali iishe yenyewe automatically.
Acha maswali mengi.Usile tena.Wakuu
Nikila kitimoto nawashwa sehemu mbalimbali za mwili,nikioga kuwasha kunaisha.
Hii ni allergy au?
Kwanini unakula mnyama aliyekatazwa kwenye maandiko matakatifu.Wakuu
Nikila kitimoto nawashwa sehemu mbalimbali za mwili,nikioga kuwasha kunaisha.
Hii ni allergy au?
Kwamba mdau aliwai kung'atwa na kupe (tick) wakamsababishia hiyo shida?Hiyo hali yako inaitwa Alpha-Gal Syndrome ni Allergy.
Haya ndio tunaita MapeeenziWakuu
Nikila kitimoto nawashwa sehemu mbalimbali za mwili,nikioga kuwasha kunaisha.
Hii ni allergy au?
Hapana hii ni Allergy ya sugar molecule inaitwa alpha-gal inapatikana zaidi kwa wanyama kama Pigs na Ng'ombe,Kwamba mdau aliwai kung'atwa na kupe (tick) wakamsababishia hiyo shida?